Wanaume Nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume Nisaidieni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michelle, Jan 13, 2011.

 1. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi

  Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:

  1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????

  2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??

  3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?

  Natumai maswali si mengi sana.
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Du!!!
   
 3. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,793
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
  Michelle samahani sana kabla sijachangia kile nikijuacho hivi haya maneno umeyaandika kwa bahati mbaya (waga) unamaanisha nini
   
 4. kapug

  kapug Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pole dada mi kama dume napendela vyote ulivyovitaja yaani sex,feelings na company kikikosekana kimojawapo kati ya hayo basi naingia chaka.
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Unajua kiswahili changu ni kibovu kweli,but nimezoea hilo neno,nikisema waga namaanisha kama tabia,formality au utaratibu uliojengeka wa kufanya kitu???yani ni jambo nimeliona au kusikia mara nyingi......natumai umeelewa
   
 6. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  nadhani waga=huwa
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Daaa wakaka/wanaume tuambieni tu ukweli kuhusu haya.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Hapa naona ume-generalise kwamba wanaume wooooote wako hivyo.

  Nikuulize: Michelle umeshakutana na wanaume wangapi wakakufanyia hayo uliyoyataja hapo?
   
 9. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Acheni uzinzi. Subiri muolewe ndipo mmegwe. Mnahangaikia nini? Mwanaume hana akitafutacho zaidi ya kukutusua na akigundua uchi wako ni wa kawaida kama wengine anajiona mjinga alivyokuwa anahangaika kabla ya kukupata na anakudharau wewe uliyekuwa unamzungusha. Kama utapenda kuendelea kugawa uloda kabla ya ndoa, basi mtu akikuomba usimzungushe, mpe mara moja.
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Unajua baada ya muda gani kwamba kimekosekana,either sex,company or feelings?? Hiyo ina maana kuwa wanaume hulala na wanawake wengine without any feelings?siongelei wale wa kulipia naongelea decent gals wa kawaida tu.........................
   
 11. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:

  1. Ni nini waga kinabadilika kwenu baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
  Hii hutokea zaidi kwa wasichana wale ambao wanajifanya bab mkubwa much know sasa ukisha mpata tu unamtemea mbali.

  2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
  JIBU NI:SI NI AFADHALI KUFANYA HIVI KULIKO KUENDELEA KUMDANGANYA NA KUMTUMIA?Ni kama dala dala umepanda umekosa siti umeshuka

  3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
  HATUJUI TUKITAKACHO MAANA KILA TUKIONACHO KWA KILA MSICHANA TUNATAKA,NI TAMAA TU
  lkn MNA UHURU WA KUKATAA HATUWALAZIMISHI KUTUKUBALIA TAMAA ZETU
   
 12. B

  Bin G Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza naamini unamaanisha 'wanaume wengi', then nakuja kiivi:

  1. B4 sija DO nae(kutokana na alivyo kimuonekano) nakuwa tayari nshajenga picha yangu atakuwaje ktk bed! Hapo napata 'hisia' za kuwa naye, kwamba nampenda au namtamani, hilo ni suala jingine! Nikikuta kama nilivyohisi that's my girl! Akiwa kivingine, what next?

  2. Inashauriwa, unapotaka kumuua nyani....! Hatuumiagi ila yataka moyo.

  3. Vyote ulivyovitaja afu na mengine kama fashion, show, sifa kitaani, kuprove kama nami ni kidume, n.k!

  Nimejibu nikibase kwamba swali la 1-3 ni 'maswali pacha'!
   
 13. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Keep in mind kuna tamaa ya kimwili na kukidhi haja za kingono na really love. At first sight, we men are mostly driven na ku-jig jig, feelings or company may follow after sexing.... Kuumia kwa mwanamke inategemea na original intention ya mwanaume/mwanamke katika hayo mahusiano. If it was just to eat and run, company, mwanamke lazima aumie. Mwanamke "moyo kumdondokea mwanamme" binafsi siwezi umia cuz of the original intention of the relationship. Otherwise, the whole thing on relationship and love is complicated.
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,thanks for bn honest!
   
 15. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Tunapenda kujua kwanini unaringa.,
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Thanks Tatiana
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Whats kuringa?kuna ubaya gani kama mtu anaringa lakini anakupenda,anakuheshimu,ana mengi tu unayoyataka,why focus kwenye kuringa???kwanini umkomoe mtu pengine ndo alivyo??
   
 18. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  15,na bado ninaishi........
   
 19. n

  ndeletso Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaume wengi huwa wanatamani tuu No real love
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Sasa hao 15 tu ndo umeamua kutuweka wote mamilioni tuna tabia hiyo.
   
Loading...