Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Maumivu ni makali zaidi kwa kina mama. Uzinzi kwa wanaume ni 'sifa chanya' (ingawa haipaswi kuwa hivyo). Mfumo unawapendelea kina baba.try to think both sides sio kuangalia KE tu..
Maumivu ni makali zaidi kwa kina mama. Uzinzi kwa wanaume ni 'sifa chanya' (ingawa haipaswi kuwa hivyo). Mfumo unawapendelea kina baba.try to think both sides sio kuangalia KE tu..
Hope you ok...nitajibu kadri ya uwezo wangu na experience yangu
1.kinachobadilika baada ya kufanya mapenzi ni nafsi ya mtu kuridhia nawe kwan mahusiano ya mapenzi yameunganishwa na sex kama ndio hitaji muhimu kati yenu kama hajaridhika nawe atakuacha au pia dhumuni alilokuja nalo kwako huenda alitaman kitu fulani tu hayo mengine yakafanyika for coincidence tu or lastly ikaambatana na kutoridhishwa nawe kwa mengineyo kwa mfano interest,usafi,ufanisi kitandan,tabia,mikwaruzo or malengo kutofautiana sometimes
Pia kuwahi kukubali au kuchelewa sio kipimo cha mapenzi depends na uvulivu wake but honestly ni vyema ukawahi kukubali ili kama hajaridhishwa nawe uwahi kujua mbivu na mbichi kuliko kuchelewa kwan for boys hata ikae 20 years anakufuatilia kama hajaridhia nawe atakuacha tu or kama target ilikuwa tamaa atakuacha mwisho wa siku utajikuta umepoteza muda sana cha msingi kuujua utu wake na kujali afya kama mtafiti hata mkutane nightclub na Kudo the same day mtadumu if not hata mufuatiliane vp at the end mtaachana tu..reminds you sio kila mahusiano ndoa hufikia but just a way to reach your destiny
2. Kama anakupenda hawez kukuacha kama amekuacha hakupendi pia kama hakupendi hakuna sababu ya kuumia ila kinachotokea as a human being kukumbuka goodtimes u gat before pia kwa kukukosea but baada ya muda mfup atarecover kwan hukuwa target yake ...reminds you ogopa misamaha ya mara kwa mara kwan kinachofanyika huwa kukumbuka tu kwa muda mfup at the end atarud for who he is...the person loves you will never let you go no matter what
3.target zote hizo ulizoainisha zinawezekana lakn bahat mbaya ni ngumu kuzitambua but huwa napenda shauri kama umempenda mtu jua wajibu wako as a wife kwenye mahusiano then chagua aliye na humanity heart hata kama hatakuwa na lengo zuri kwako ubinadamu alio nao atambue wajibu unaoufanya kama mke ili afikirie no body better than at the end kufanya maamuz sahihi kwako au kubadili mawazo mabaya aliyokuwa nayo before like kukuchezea kutaman na mengine....pia kupitia ubinadamu utakupa kazi rahis kushape tabia ambazo huzipendi pasipo kupunguza thaman yako kwake.
Thanks for your time ...but reminds you ones again...mapenzi sio maisha but used kama formulae ya maisha ones u have wrong formulae na jibu la maisha pia litakuwa wrong....umiza kichwa boys are very creative anaweza kuwa na long term plans pasipo we kujua unakuja shtuka umezeeka no ones loves tena watoto kibao umezalishwa umepoteza pesa nyingi and other recourses.
ALL THE BEST ...
I love you. Nichumu Michele.Awwww, hii thread ni ya miaka ya nyuma uwiii,imenifanya nijitahidi kukumbuka nini hasa kilinifanya niiandike na bado sijapata jibu. Nashukuru sana kwa yote yaliyoshauriwa yalikuwa na naamini yatakuwa kwa manufaa kwangu na kwa wengine wote!
hapan'shaka unafahamu kiumimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Hapa naona ume-generalise kwamba wanaume wooooote wako hivyo.
Nikuulize: Michelle umeshakutana na wanaume wangapi wakakufanyia hayo uliyoyataja hapo?
Love you just becouse of your ideasMichelle.......haya maswali uliyowauliza kina kaka ni magumu na kwa kweli kupata jibu straight huwa ni ngumu na mwisho some of the majibu yao au reactions zao tunazichangia sisi wenyewe.............
1. Why wanabadilika after ku-do: Inategemea na jinsi Do yenyewe ilivyokuwa (Utashangaa nikikwambia hii haihusiani na kuwa mrahisi wa kumchojolewa wala nini). Unaweza ukakutana naye leo na kesho ukajikuta umechojoa!! Kama game ilikuwa exciting na mdada umejua namna ya kuifanyia haki ule usemi wa 'First impression is the one which lasts' basi atarudi tena na tena na tena. But unaweza ukamzungusha mwaka na siku unachojoa ukayavurunda ..hutomsikia tena. Si it depends na mdada mwenyewe how you handle the situation- che muhimu jua basics za kumfanya astick ambazo zinaapply kwa wanaume wote na zile specifics za yeye anataka/pendelea nini.
2. Hakikisha unatoa full package.........some challenging ideas (asikuone we mwanamke sura tu) Cheza kwenye anga zake show your brain (If you dont have one, buy time to borrow). HAve that sense of humour, be cheerful and an entertainer (Do not overdo though).
3. Mnapokuwa hamko pamoja dont overshadow him with mijimessages, simu kila saa as if he is already committed to you ........na hapo atakapoamua kuuchuna (sometimes huwa wanatutega by just creating the gap) nawe kaa kimya........usinchoke na cm au sms za mbona hupokei simu zangu mbona vje.....mpe space.
But sikatai, some are just jerks
Ni kweli MJ1, uliyosema ni hali ambayo wanaume wengi tuliyonayo,
lakini kumbuka kuwa, wanaume wengi tunapowatongoza,
huwa tumeshajenga taswira ya umbo lako likiwa uchi, na yamkini,
hata taswira ya jinsi utakavyokuwa kitandani tuki do inakuwepo tayari kichwani,
isitoshe, immediately, baada ya kumaliza tendo (hasa baada ya ku- ejaculate),
akili inanituma nisiendelee tena kuku-entertain, kwani nakuwa nimeshakukinai,
sana sana kitakachonifanya niendelee kukuvumilia, ni
either, umeucheza mchezo vizuri, au ni hisani tu kwakuwa sitakuwa nimekutendea haki!!!!
lakini kwa ujumla hamu yetu inaisha pindi tunapomaliza tendo!
Sorry,
nawasilisha tu!!!!!!!!!
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Maumivu ni makali zaidi kwa kina mama. Uzinzi kwa wanaume ni 'sifa chanya' (ingawa haipaswi kuwa hivyo). Mfumo unawapendelea kina baba.
No. Vioja abifanyavyo mwanaume vinageuzwa sifa positive. Mfano, mwanaume akila kuku mzima, chips sahani sita na crate ya soda anasifiwa,mwanamke akifanya hivyo anakejeliwa, tena bahati mbaya, wanaoogoza kejeli hizo ni wanawake wenzake.naona mkuki kwa nguruwe .......