Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Michelle
Hizi ni kama mimi mwenyewe, sio kwa wanaume wote.
Msichana anayechukua muda mreeefu mpaka unampata, ni msichana atayefanya wewe(mwanaume) uamini kuwa umelamba dume.
Ni matarajio kuwa yale yaliyosababisha akupigishe kwata anayatekeleza.
Atasema hapendi starehe, hanywi, kasoma mpaka level Flan, hana marafiki wa ovyo ovyo, ashawahi kuumizwa so anajua uchungu wa mapenzi.
Ila mkishaanza unagundua kuwa aliongea kinyume.
Hapa hata huagi!
Ili kuonesha kuwa ulimpata kimakosa, lazima ufunge milango yote ya mawasiliano sababu wakati unafukuzia, wadau walishakuonya hukusikia sasa ukiyaona mwenyewe hamna pa kulalamika.
Hapa kumfungia vioo ndiyo tiba.
Tunachotaka msichana akupende, akutetee, hata anaposikia vijineno ajifanye anajua toka kitambo (ila mtamalizana home)
Awe tayari muda wowote kwa mahitaji ya kimwili kama ni mzima.
Asikulazimishe uvue condom sbb inamuumiza, asiwe tegemezi. Mkiwezeshana kila mmoja alete matokeo mazuri, (simaanishi usihudumie)
Atoe ushauri na pole pale unapoteleza kikazi siyo akutishe.
Asinune siku usipomsafirisha na ndege.
Asichukie kupanda boda boda au bajaj kama gari hamna.
Akutambulishe rafiki zake na ndugu zake
Asione aibu kuwa na wewe mbele ya wanafunzi/wafanyakazi wenzake na hata nduguze.