Wanaume Nisaidieni

Wanaume Nisaidieni

Kwa minajili hiyo uwe unachakachua konyagi Mwanajamii1,then utupe ukweli mgumu kama leo..................lol
Bahati mbaya mpenzi wa moyo wangu hataki.............nami namheshimu sina budi kustop sasa. Lol
 
kwakuwa wewe Michelle ni mwanamke,
najua umeniuliza hili swali kwa mitego tu!
Anyway, si wanaume wote ni wavumilivu,
pindi wanapozungushwa once wakimtongoza mwanamke,
kwahiyo kama itatokea mwanamke akaonyesha tabia ya sitaki nataka kwa sana,
anaweza kumkosa yule mwanaume ambae si mvumilivu wa kusubiri!
ndipo hapo nasema signs nyingine are not realistic,
mwanamke anakuzungusha sana ili aonekane machoni kwako sio mrahisi kiivyo,
kumbe na yeye amependezwa nawe,
anakuja kusema YES, wakati kidume umeshachukua maamuzi mengine!!!!!!(kwa wale wasio na uvumilivu)

Si mtego Bacha jamani,kweli tungependa kujua,realistic ni zipi na unrealistic ni zipi?
 
sorry kwa kujib bana hajaacha kwakuwa kapata mwingine bali mapenzi kwa AD yaliisha akaamua kulivua pendo,si unajua yy si mgeni wa mapezni na maumivu anayajua sanaaaaaaaaaaaaa
mmmhh asante mkuu
leo mi nakufuatilia tu
kwa nyuma na kusoma tu...
hata sintakusumbua kukujibu lol

lete mamabo lete
leo ndo nimeanza kumjua Bacha
asante mkuu[/QUOT)

By the way,AD Vipi?,
sakata lako liliishaje jana,
nilisikia kwa mbali tu,
kuwa kuna mtu kaachwa kwa kuwa bwana kampata mwingine,
hebu nambie bana!!!!
 
Lol..........I think you meant you deserve mwanaume ambaye atakuchukulia wewe kama his own.......sidhani kama kwa karne hii kuna mwanamke anayeweza kuwa na her own man michelle........................

Thanks, MJ1,
haya ndo mawazo ambayo mwanamke wa kileo anapaswa kuyajua mapema,
Na ukibishana na huu ukweli, utaumia maisha yako yote!!!
 
sorry kwa kujib bana hajaacha kwakuwa kapata mwingine bali mapenzi kwa AD yaliisha akaamua kulivua pendo,si unajua yy si mgeni wa mapezni na maumivu anayajua sanaaaaaaaaaaaaa
oraiti!!!
 
Babu yangu Kimey..................leo akili yangu nadhani imelewa hisia za konyagi.

Nimeamka alfajiri na kuisaka nyumba nzima.....bahati yangu sifanyi kazi karibu na Bar mbona ndo ingekuwa kifungua kinywa!!

Nimechakachuka.
teh teh teh habari yake konyagi.....
sababu nyingine ya kunywa bia leo ni kutafakari mapwoint ya mjukuu....!! lol
 
Lol..........I think you meant you deserve mwanaume ambaye atakuchukulia wewe kama his own.......sidhani kama kwa karne hii kuna mwanamke anayeweza kuwa na her own man michelle........................

Thats what i meant my dear...........lol,najua sitakuwa mwenyewe na kutokana na si kuwa wengi zaidi yao,hakuna neno,aniheshimu,anipende,anijali,anilinde,na atimize wajibu wake kwangu na kwa familia...........lol:smile-big:
 
Thanks, MJ1,
haya ndo mawazo ambayo mwanamke wa kileo anapaswa kuyajua mapema,
Na ukibishana na huu ukweli, utaumia maisha yako yote!!!
Unajua bacha na michele mapenzi ya sasa ni muhimu mtu kutofautisha hisia na facts..............Kaka Acid amekuwa akijitahidi sana kuapply theory hii sehemu nyingi............yale mapenzi ya zamani tukiwa shule, mtu unalala na picha ya mpenzi kifuani hadi asubuhi au chini ya mto hakuna tena eti unaamini naye anakupenda and he is looking forward to see you in the next coming debate day..........loh jua tu cheating ipo....kwa wote wanaume na wanawake cha kuomba MUNGU akuheshimu asikuonyeshe live na wala asichakachuliwe kiasi cha kuharibu hata kile kidogo mlicho nacho.
 
thats what i meant my dear...........lol,najua sitakuwa mwenyewe na kutokana na si kuwa wengi zaidi yao,hakuna neno,aniheshimu,anipende,anijali,anilinde,na atimize wajibu wake kwangu na kwa familia...........lol:smile-big:

good girl!!!!!!!
 
Bahati mbaya mpenzi wa moyo wangu hataki.............nami namheshimu sina budi kustop sasa. Lol

Nafarijika kuona MwanajamiiOne ametatua matatizo yake ya siku za nyuma yaliyokuwa yanamsonga kwenye familia yake na leo ametudhihirishia kuwa una mpenzi wako wa moyo unayempenda na kumheshimu na kuachana na yule aliyekuwa anakutenda.

Mungu apewe sifa na utukufu kumuondolea member huyu matatizo aliyokuwa nayo na leo amekuwa mshuhuda wa mapenzi.

Thanks MwanajamiiOne!!!!
 
unajua michele mapenzi ya sasa ni muhimu mtu kutofautisha hisia na facts..............kaka acid amekuwa akijitahidi sana kuapply theory hii sehemu nyingi............yale mapenzi ya zamani tukiwa shule, mtu unalala na picha ya mpenzi kifuani hadi asubuhi au chini ya mto hakuna tena eti unaamini naye anakupenda and he is looking forward to see you in the next coming debate day..........loh jua tu cheating ipo....kwa wote wanaume na wanawake cha kuomba mungu akuheshimu asikuonyeshe live na wala asichakachuliwe kiasi cha kuharibu hata kile kidogo mlicho nacho.

safi sana mama!!!!
 
michelle hapo mambo poa mie nijuacho ni kwamba wasichana wengi wakiwa bed huwa wanajisahau, mwonyeshe mwanaume kuwa unaweza lkini ukilemaa harudi tena hivyo nawaasa dada zangu jitumeni vinginevyo hata mkiolewa mtaachwa ndani na mume atakwenda kutafuta amridhishaye

Asante Theusmoses,we have noted that!sikujua unaweza kuwa unajipodoa,kujivalisha vizuri,kuhakikisha unanukia vyema,kumpikia,kufua,kupasi etc etc kumbe shida yako ni kitandani???? JF shule!
 
kwakuwa tunakuwa tumesha kamua wengi tunakuwa tunafanya comparson,sasa napo duu na wewe nikakuta huna jipya sana na mashine imeshachoka huwa tunasepa tuu.
 
Lol..........I think you meant you deserve mwanaume ambaye atakuchukulia wewe kama his own.......sidhani kama kwa karne hii kuna mwanamke anayeweza kuwa na her own man michelle........................
Sababu nyingine hii ya kunywa bia!!
 
Unajua bacha na michele mapenzi ya sasa ni muhimu mtu kutofautisha hisia na facts..............Kaka Acid amekuwa akijitahidi sana kuapply theory hii sehemu nyingi............yale mapenzi ya zamani tukiwa shule, mtu unalala na picha ya mpenzi kifuani hadi asubuhi au chini ya mto hakuna tena eti unaamini naye anakupenda and he is looking forward to see you in the next coming debate day..........loh jua tu cheating ipo....kwa wote wanaume na wanawake cha kuomba MUNGU akuheshimu asikuonyeshe live na wala asichakachuliwe kiasi cha kuharibu hata kile kidogo mlicho nacho.

Ukweli mgumu,but ndo hivyo tena,lazima tukubaliane nao! Bacha anapenda hili.....lol
 
Nafarijika kuona MwanajamiiOne ametatua matatizo yake ya siku za nyuma yaliyokuwa yanamsonga kwenye familia yake na leo ametudhihirishia kuwa una mpenzi wako wa moyo unayempenda na kumheshimu na kuachana na yule aliyekuwa anakutenda.

Mungu apewe sifa na utukufu kumuondolea member huyu matatizo aliyokuwa nayo na leo amekuwa mshuhuda wa mapenzi.

Thanks MwanajamiiOne!!!!
Amen..........ingawa unaweza ukawa umeelewa visivyo but yes I have my lovely one.............ambaye ndie ananifanya niwe na nguvu ya kuamka asubuhi nikafanye kazi kwa furaha na kuwa na siku ya amani ambayo siwezisubiria masaa yaishe ili nikamwone nyumbani...........Longlive my firstborn
 
mmmhh asante mkuu
leo mi nakufuatilia tu
kwa nyuma na kusoma tu...
hata sintakusumbua kukujibu lol

lete mamabo lete
leo ndo nimeanza kumjua Bacha
asante mkuu[/QUOT)

By the way,AD Vipi?,
sakata lako liliishaje jana,
nilisikia kwa mbali tu,
kuwa kuna mtu kaachwa kwa kuwa bwana kampata mwingine,
hebu nambie bana!!!!

mmmhhh jamani
bado tunayaongelea..

prenuptial agreements, time apart, open relation, mmmhh or forgiveness
bado hatujafikia muahafaka lol
 
Maswali yako ni muhimu na yamekuwa yakisumbua wanawake makini! Wanawake wengi hawana muda wa kutaka kujua kusudi au dhumuni kuu la mwamme anayemtongoza, wengi huamini haraka na kuweka matumaini makubwa hata kama amekutana na mpenzi wake huyo ndani ya basi. wanawake wengi hawatambui kuwa wanaume wengi sio wakweli na ni fahari yao kudonoadonoa wanawake wanojirahisi kutokana na sababu zao kadha wa kadha. wakati mwanamke akiamini kuwa anampenzi wake anayempenda, kutokana na kuamini kuwa kila mara anatumiwa msg, au anatumiwa salio, au amepewa ofa, wanaume wengi hutumia vitu kama hivyo ili kuwapata wanawake wasio makini na wanaopenda ofa na kufadhiliwa. wanaume wengi hawana Upendo wa dhati ila wana kutamani ambako ndiyo kunasukuma kutaka kujaribu kila mwanamke ili mradi amejichanganya. Ukishasex na mwanaume wa aina hiyo ujue, huo ni mwanzo wake wa kujaribu pengine, wanaume wengi swala la kusex huweka kama burudani hivyo sio tatizo kwao kutafuta kiwanja chochote na kucheza mechi. Nilishawahi kutoa thread inayohamasisha wanawake kujua tabia za wanaume. Ukishazijua tabia zao hawatakusumbua. Maana wakati mwanamke anamapenzi ya dhati Mwanaume (wengi ) wamejaa kutamani na are not fit for women consumption!!!
 
Back
Top Bottom