wanaume!!nimewanyooshea mikono

wanaume!!nimewanyooshea mikono

stephot hapo ni siri ya mtungi.

Hiki ni kivumbi,au mie ndio sielewi ,"ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.

Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua"
.Kwahiyo jamaa ali kiss au haku-kiss au hapo kwenye "alining'ang`aniza sana"inawezekana jamaa ali-kiss???
 
Last edited by a moderator:
Sifa ulizo mpa tu,afu kusema "mara ya kwanza kumuona" haya maneno yananipa full tabia yako...nikikosea ni asilimia chache sana. na napata picha ulimalizananae vipi...
hivi wanawake huwa wanataka waonane na mwanaume mara ngapi ndipo amkubali?maana kujitetea kwao ni kusema yaani tumejuana leo tuu unataka mzigo
 
KISASI! KASASI! KISASI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaaaaaaass!
 
huwezi jua kakuona lini...tunafatiliaga nyendo zenu kama Lwakaretelo alivyokuwa anatoa maagizo
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.

Pembeni yangu kulikuwa na mkaka aliyeoneakana ni mstaarabu, na kimuonekano alionekana mtanashati, alinisogelea na kunisalimia, akaniuliza naelekea wapi? Nkamwambia, kwakuwa alionekana mstaarabu tuliongea, mawili matatu, akanambia kuna mtu alikuwa na
appointment naye, but hawakuweza kuonana, so akanambia atanidrop home, kwakuwa usafiri ulikuwa shida, nilikubali, nilimshukuru
sana.

Baada ya kunifikisha maeneo ya karibu na home, kilichonifanya niandike thread hii ndefu, ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.

Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua.
 
Hapo kwenye bold ni siri yako usiseme ulivyoshuka maana kama nakuelewa vile.....Hivi wewe dada una akili timamu kabisa yaani shida ya usafiri inakufanya upapatikie lift kwa mtu usiyemjua au hata kuonana nae....Nakushauri ukatoe sadaka kwa mungu kwa kuepushwa na janga kwani wenzio waliopapatikia lift waliishia kupoteza laini zao za tigo na kujaziwa maziwa katika ndoo zao bila ridhaa yao. Uwe mlinzi wa maisha yako mwenyewe achana na tabia ya lift za wageni, kuna siku utajutia.
 
Sifa ulizo mpa tu,afu kusema "mara ya kwanza kumuona" haya maneno yananipa full tabia yako...nikikosea ni asilimia chache sana. na napata picha ulimalizananae vipi...

Good point, hata mimi umeniamsha usingizini
 
pole sana ila ujumbe umefika.

Blue G ujumbe gani umefika? kwamba aling'ang'aniwa hadi akajuta hapa tujiulize alijutia nini? Na pole uliyompa ni kwa ujinga wake wa kupenda A/C ya magari ya watu.....Sasa nagundua kwa nini ukianza shule lazima uanzie chekechea.
 
Kwahiyo uking'ang'nizwa tuu unakubali?natamani ningekuwa mimi huyo mng'ang'anizaji,ningekung'ang'aniza kukugonga hadi ungekubali.Wanawakee bana nimewavulia msuli!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ukweli
ndio
huo
nilioandika
hapo,
sifa
nilizompa
ni,phisical
apearance
yake,kwani
hujui
apearance
yako
inaweza
kukutambulisha
kuwa
wewe
ni
mtu
wa
naina
gani?

Jamaaa hapo juu amekuuliza kila unapoandika neno UNAGONGA ENTER? mbona uandishi wako upo tofauti na MBAYA sana Dada! duuuuuh hizo sentensi gani hizo wewe?
 
Hilo liwe fundisho, utakubalije lift za usiku huku humjui huyo mtu kisa tu umeona mtanashati, hajui siku izi watu wabaya walivyo wapole? Dunia imechafuka asirudie tena kuamini mtu kwa kumtazama.. mimisa nahisi hatwendi mbali any tm kila mmoja atajigawa
Yaani we ndio ulikuwa mwanaume unayemlazimisha mwenziyo akubusu siku ya kwanza tu?we manoah wewe umeanza lini hiyo tabia afu unajitaja tu bila hata aibu nikusemee kwa mimisa?
 
Last edited by a moderator:
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.

Pembeni yangu kulikuwa na mkaka aliyeoneakana ni mstaarabu, na kimuonekano alionekana mtanashati, alinisogelea na kunisalimia, akaniuliza naelekea wapi? Nkamwambia, kwakuwa alionekana mstaarabu tuliongea, mawili matatu, akanambia kuna mtu alikuwa na
appointment naye, but hawakuweza kuonana, so akanambia atanidrop home, kwakuwa usafiri ulikuwa shida, nilikubali, nilimshukuru
sana.

Baada ya kunifikisha maeneo ya karibu na home, kilichonifanya niandike thread hii ndefu, ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.

Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua.
Hiyo ndo ilikuwa nauli....
 
Alikuona mteremko thats why,next time vaa sura ya kazi,sio kung'atang'ata vidole
 
wadada mnapenda kukuza mambo kirahisi san! mbona kiss ni kitu cha kawaida tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom