wanaume!!nimewanyooshea mikono

wanaume!!nimewanyooshea mikono

Kwanza wewe umetuonesha ni mwanamke wa aina gani kukubali lift hata za watu tusio waju!
 
ukweli
ndio
huo
nilioandika
hapo,
sifa
nilizompa
ni,phisical
apearance
yake,kwani
hujui
apearance
yako
inaweza
kukutambulisha
kuwa
wewe
ni
mtu
wa
naina
gani?

Yasiwe malumbano sasa........ hebu nipe namba yake ya simu..... nimhoji vizuri alikuwa na malengo gani kwako!?
 
Ungekiss tu kama ishara ya kulipa fadhila za kudandia lift za usiowajua....

Angekubali ku kiss lips za mdomo jamaa angetaka ku kiss na zile lips nyingine, ilibidi dada atoke mbio tu.
 
Kwa kuwa umekuja Kuniandika humu,leo nakusubiri tena.

Alafu Mbona husemi kama nambari ya simu ulitoa?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa mwanamke anayejielewa na kujitambua hawezi kubali lift ya mtu asiyemfahamu maana matukio mengi yameshasababishwa na lift kama vile KUIBIWA, KUBAKWA hata kutapeliwa! sema na wewe ulikuwa unapenda kuombwa kiss na mengineyo (btn ur legs) sasa wajishauwa kuwa wanaume wabaya!
 
Wewe hukushangaa kituoni walikuwa watu kibao hakumwona mwingine yeyote mpaka akuchukue wewe. Hayo ndo madhara ya bure na nyie wadada mmezidi kwa jung'ang'ania vya bure, kwanini mtu usijikubali wewe kama wewe?
 
What's the problem my mdogo wangu?umenza ukorofi tena eeehhh?umemcheat nini maanake wewe!
Hilo liwe fundisho, utakubalije lift za usiku huku humjui huyo mtu kisa tu umeona mtanashati, hajui siku izi watu wabaya walivyo wapole? Dunia imechafuka asirudie tena kuamini mtu kwa kumtazama.. mimisa nahisi hatwendi mbali any tm kila mmoja atajigawa
 
Daaaaaaaaaahhh mkuu punguza hasira aisee so kuchukia huko.
Blue G ujumbe gani umefika? kwamba aling'ang'aniwa hadi akajuta hapa tujiulize alijutia nini? Na pole uliyompa ni kwa ujinga wake wa kupenda A/C ya magari ya watu.....Sasa nagundua kwa nini ukianza shule lazima uanzie chekechea.
 
mi bado cjakusoma,kwan kiss ni hatari?mi nilijua alikubaka jins ulivoanza kumbe kis tu na angetaka na k ingekuaje kama kis tu unaleta hii thread yako.mi nahis kuna kilichoendelea...either alikumega balaa mpaka humsahau
 
mi bado cjakusoma,kwan kiss ni hatari?mi nilijua alikubaka jins ulivoanza kumbe kis tu na angetaka na k ingekuaje kama kis tu unaleta hii thread yako.mi nahis kuna kilichoendelea...either alikumega balaa mpaka humsahau

wewe
wasema.
 
Kwa vile jana ulimnyooshea mikono tu kinachofata hapa ni kunyoosha vyote kwa pamoja mikono na miguu,alafu..
 
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.

Pembeni yangu kulikuwa na mkaka aliyeoneakana ni mstaarabu, na kimuonekano alionekana mtanashati, alinisogelea na kunisalimia, akaniuliza naelekea wapi? Nkamwambia, kwakuwa alionekana mstaarabu tuliongea, mawili matatu, akanambia kuna mtu alikuwa na
appointment naye, but hawakuweza kuonana, so akanambia atanidrop home, kwakuwa usafiri ulikuwa shida, nilikubali, nilimshukuru
sana.

Baada ya kunifikisha maeneo ya karibu na home, kilichonifanya niandike thread hii ndefu, ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.

Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua.

Mtu humjui, unakubali akupe lift! Mmmh. Hujipendi wewe? Labda kweli mkaka mstaarabu ila aliomba kiss kama mchango wa mafuta...
 
Na hzi rift mnazpenda kwel dada ze2!kla cku mnackia ktka vymbo vya habari mwanmke abakwa mara baada ya kupewa rift na stranger bt bdo hamkomi!!!shkuru Mungu hayajakukuta hayo jpo hatuwez jua kma ni kweli ultoka salama au lah!ukweli unaujua ww!!
 
Kwani ungemkis kuna shida gani? manake umesema ulisharidhika na appearance yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom