wanaume!!nimewanyooshea mikono

hesalieyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2012
378
378
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.

Pembeni yangu kulikuwa na mkaka aliyeoneakana ni mstaarabu, na kimuonekano alionekana mtanashati, alinisogelea na kunisalimia, akaniuliza naelekea wapi? Nkamwambia, kwakuwa alionekana mstaarabu tuliongea, mawili matatu, akanambia kuna mtu alikuwa na
appointment naye, but hawakuweza kuonana, so akanambia atanidrop home, kwakuwa usafiri ulikuwa shida, nilikubali, nilimshukuru
sana.

Baada ya kunifikisha maeneo ya karibu na home, kilichonifanya niandike thread hii ndefu, ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.

Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua.
 
Digitali hio......usiogope siku nyingine eehh ntoto nzuri, wewe mkiss tu..............halafu kichwa tu, sawa ehhhhh!!!!
 
Usimlaumu kabisa....cha kujilaumu ni kwanini upande lift ya usiemjua! kama angekua jambazi may b hiyo title ingekua inasomeka vingine!

But pole sana coz ulikutana na jamaa ambae anaona kila mwanamke ni cheap, japo pia kuna wanawake ambao hawanatofauti na huyo jamaa! ni moja ya changamoto za maisha, cha msingi ni kuwa makini na kujitambua
 
Sifa ulizo mpa tu,afu kusema "mara ya kwanza kumuona" haya maneno yananipa full tabia yako...nikikosea ni asilimia chache sana. na napata picha ulimalizananae vipi...

ukweli
ndio
huo
nilioandika
hapo,
sifa
nilizompa
ni,phisical
apearance
yake,kwani
hujui
apearance
yako
inaweza
kukutambulisha
kuwa
wewe
ni
mtu
wa
naina
gani?
 
Back
Top Bottom