Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,670
Haaaaahaaaaaahaaaaa nimechekaje watu mna vituko aiseeeee.
kwa uandishi huu ni bora ungeanzia mwisho wa story uishie mwanzoni.
kwa uandishi huu ni bora ungeanzia mwisho wa story uishie mwanzoni.
natumia
simu,
ukiacha
space
neno
linahamia
mstari
mwingine.
pole sana ila ujumbe umefika.
nilikua mie kaka! aligoma huyo hadi jasho lilimtoka, asijaribu tena lift za usiku, tena ashukuru mie ni mwema alafu nilikua sijala cha arusha. Dunia imechafuka
, ........ kwani
hujui apearance yako inaweza kukutambulisha kuwa wewe ni mtu wa naina gani?
natumia
simu,
ukiacha
space
neno
linahamia
mstari
mwingine.
Hiki ni kivumbi,au mie ndio sielewi ,"ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.kwa uandishi huu ni bora ungeanzia mwisho wa story uishie mwanzoni.
Hiki ni kivumbi,au mie ndio sielewi ,"ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.
Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua".Kwahiyo jamaa ali kiss au haku-kiss au hapo kwenye "alining'ang`aniza sana"inawezekana jamaa ali-kiss???
ukweli
ndio
huo
nilioandika
hapo,
sifa
nilizompa
ni,phisical
apearance
yake,kwani
hujui
apearance
yako
inaweza
kukutambulisha
kuwa
wewe
ni
mtu
wa
naina
gani?
We na wewe walewale tu................yakikutokea unaandika wanaume umewanyooshea mikono.....umetembea nao wote?
Iv unaandikaje?
Ungemkiss tu shavuni iyo ni friendship charges.
Wabishi kama nyie nawashushaga kwenye gari mbali na nyumbani kwenu alafu kwenye giza mixxer mbwa koko ili mkome kupenda mteremko wa bure.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.
Pembeni yangu kulikuwa na mkaka aliyeoneakana ni mstaarabu, na kimuonekano alionekana mtanashati, alinisogelea na kunisalimia, akaniuliza naelekea wapi? Nkamwambia, kwakuwa alionekana mstaarabu tuliongea, mawili matatu, akanambia kuna mtu alikuwa na
appointment naye, but hawakuweza kuonana, so akanambia atanidrop home, kwakuwa usafiri ulikuwa shida, nilikubali, nilimshukuru
sana.
Baada ya kunifikisha maeneo ya karibu na home, kilichonifanya niandike thread hii ndefu, ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.
Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua.