wanaume!!nimewanyooshea mikono

wanaume!!nimewanyooshea mikono

Jamaaa hapo juu amekuuliza kila unapoandika neno UNAGONGA ENTER? mbona uandishi wako upo tofauti na MBAYA sana Dada! duuuuuh hizo sentensi gani hizo wewe?

mbona
nimeshamjibu?hujaona?
 
Kwahiyo uking'ang'nizwa tuu unakubali?natamani ningekuwa mimi huyo mng'ang'anizaji,ningekung'ang'aniza kukugonga hadi ungekubali.Wanawakee bana nimewavulia msuli!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hivi
wewe
umesoma
vizuri
nakuelewa?au
unakurupuka
tu,kujibu
wapi
nimeandika
nilikubali?
 
Duh!kwanza umemkubali jamaa mwenyewe, pili, umesahau kusifia gari yake, hata jibu ulilompa lilikuwa jepesi sana.nahisi kiasi fulani umeupenda ujasiri wake.Ni nadra sana kwa msichana kukubali lift ya mwanaume usiyemjua, na hasa katika jiji la DSM.haka ka ujasiri kanatuacha na maswali mengi sana juu yako.anyway, tunaamini akitokea leo palepale hutatupa story zaidi kwa kuwa mmeshazoeana.Tunakushukuru kwa ku-share na sisi your love experience
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.

Pembeni yangu kulikuwa na mkaka aliyeoneakana ni mstaarabu, na kimuonekano alionekana mtanashati, alinisogelea na kunisalimia, akaniuliza naelekea wapi? Nkamwambia, kwakuwa alionekana mstaarabu tuliongea, mawili matatu, akanambia kuna mtu alikuwa na
appointment naye, but hawakuweza kuonana, so akanambia atanidrop home, kwakuwa usafiri ulikuwa shida, nilikubali, nilimshukuru
sana.

Baada ya kunifikisha maeneo ya karibu na home, kilichonifanya niandike thread hii ndefu, ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.

Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua.
 
Agh nilikuwa mm nadhani...kumbe we binti ni member wa JF umekuja kunianika huku?
 
SSheeee........!!! kumbe ni namna hiyo tu! Basi huyo jama ni mstaarabu,mshukuru sana.
Mwingine angekubaka.!!
 
vya bure vitawamaliza wanawake maana nyie kila kitu mnasema manapiga mzinga mtapiga mzinga wa nyuki muone nini kilichomo
 
JINI HILO shauri yako

ukweli
ndio
huo
nilioandika
hapo,
sifa
nilizompa
ni,phisical
apearance
yake,kwani
hujui
apearance
yako
inaweza
kukutambulisha
kuwa
wewe
ni
mtu
wa
naina
gani?
 
Ungekiss tu kama ishara ya kulipa fadhila za kudandia lift za usiowajua....
 
Sifa ulizo mpa tu,afu kusema "mara ya kwanza kumuona" haya maneno yananipa full tabia yako...nikikosea ni asilimia chache sana. na napata picha ulimalizananae vipi...

Hujakosea...
 
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.

Pembeni yangu kulikuwa na mkaka aliyeoneakana ni mstaarabu, na kimuonekano alionekana mtanashati, alinisogelea na kunisalimia, akaniuliza naelekea wapi? Nkamwambia, kwakuwa alionekana mstaarabu tuliongea, mawili matatu, akanambia kuna mtu alikuwa na
appointment naye, but hawakuweza kuonana, so akanambia atanidrop home, kwakuwa usafiri ulikuwa shida, nilikubali, nilimshukuru
sana.

Baada ya kunifikisha maeneo ya karibu na home, kilichonifanya niandike thread hii ndefu, ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.

Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua.

Mkulu alishasema, ukila vya mwenzio na vyako sharti viliwe japo kidogo. We unakata kula tu. Hapana haiwezekani!!! Kwe kwe kwe!!! Sina maana hiyo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom