WANAUME: Nimewainulia mikono!!

WANAUME: Nimewainulia mikono!!

Wanaume ni mashetani hata wakiinuliwa miguu ni kazi bure!

ha ha haaa penye moto mwaga petrol

Dada Happy kwa nini una hitimisho baya hivyo? Utaweza kuishi maisha ya useja?
Wapo wanawake wenzako wanasema wanaume ni malaika, na wapo wanaume wanadai wanawake ni mashetani! Je, kati ya hao, kina nani ni sahihi?
 
Dada Happy kwa nini una hitimisho baya hivyo? Utaweza kuishi maisha ya useja?
Wapo wanawake wenzako wanasema wanaume ni malaika, na wapo wanaume wanadai wanawake ni mashetani! Je, kati ya hao, kina nani ni sahihi?
Mwambie hivi, akiona kapata shetani ajue ndiyo saizi yake, wenzake binadamu wamepata binadamu wenzao wanakula good times zikiisha wanaongeza.
 
Hadithi ina mafunzo mazuri lakini hadi mwisho sijaona kama mwanaume ndiye mwenye mushkeli hapo...shida ipo kwa huyo mwanamke kwani alitema BIG G kwa karanga za kuonjeshwa...
"Wanawake jifunzeni kuacha mbwembwe"

Daddy, mwanaume ana mushkeli hapo. Huoni kuwa hakuwa na nia ya ndoa bali aliamua kuingia kwa gia ya ndoa??? Na pamoja na gia ya ndoa akamdanganya awaaambie wazazi wake kuwa kuna mgeni kisha akamuacha solemba????
 
Mpelekee irene mwamfupe ndauka atakushukuru sana

Ni kisa cha kusoma , Ila sasa ndo mtindo wa maisha dear,
Maana mwingine ataka kujaribu kabisa machine kama iko sawa! ( kwa wote) je iweje uolewe halafu jamaa ana ka plug na hakafanyi kazi? ama jamaa anao akumbe duhh!! zamani watu walijitunza wote! una uhakika kijana ni MGUNGA na msicha na Bikira!! sasa leo hapana lazima upime halafu u test!! tena wengine huenda mbalai mpaka waone kutapika ndo harusi yatangazwa chap!chap!
 
Daddy, mwanaume ana mushkeli hapo. Huoni kuwa hakuwa na nia ya ndoa bali aliamua kuingia kwa gia ya ndoa???
Wakati huyo Tumaini anaambiwa hayo yooooote, Je alikuwa ni single lady? au alikuwa tayari ana agano na mtu mwingine?

Na pamoja na gia ya ndoa akamdanganya awaaambie wazazi wake kuwa kuna mgeni kisha akamuacha solemba????
Mungu anapotaka kukufunza huwa hashuki yeye mzima mzima kuja huku duniani wala kutuma malaika, wakati mwingine hutumia mizungu yake...
Namna pekee ya kumpata Tumaini ilikuwa ni lazima umpe maneno matamu ya kuhitaji ndoa na hilo ndilo lilikuwa tundu bovu ambalo ndege mjanja Tumaini alinaswa...
She showed wideopen her desperation na mwindaji Maneno alilijua hilo na kulitumia kama advantage kwake...
 
Dada Happy kwa nini una hitimisho baya hivyo? Utaweza kuishi maisha ya useja?
Wapo wanawake wenzako wanasema wanaume ni malaika, na wapo wanaume wanadai wanawake ni mashetani! Je, kati ya hao, kina nani ni sahihi?

Mimi peke yangu niko sahihi
 
Mambo haya huwa yapo, chamsingi ni watu kujifunza juu ya thread hii, mara nyingi wanaokuja kwa ndoa ndio wabaya hata kuliko wanaokuja kimapenzi, mtu akijua tu unapapatikia ndoa basi ndio wimbo atakao kuja nao.
Inapaswa watu tujifunze kuwa na msimamo kama umesema no mpaka kitu fulani basi iwe hivyo. Tena mwanaume ukimnyima mpaka hatua ya mwisho atakukubali zaidi kuliko kuwa kigeugeu. Ndoa kama ipo ipo tuu na kama haipo haipo tuu ila msimamo unahitajika katika mahusiano.
 
Back
Top Bottom