Mfano mimi huwa napenda wenye chura na vimbaombao kwa mpigo,sasa kama wewe ni mpenzi wangu na una chura halafu nikamwona kimbaombao nitaachaje kumpenda kwa mfano!!![]()

Wewe chura zaidiMimi napenda wenye chura na vimbaombao kwa mpigo!!![]()
Hunishindi mimiNdo maana nawachukia sometime
TrueIt's very hard to be a woman in this world, you have to understand and accept that men are potentially polygamous, accept all the sh*t because that's how they are... Sometimes it's better to be single to avoid all these dramas.
Inawezekana tu kama hujui maana ya kupendwa.Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Wanaume ndivyo tulivyo.... Hii inatokana na uwezo wa kuwa na mbegu nyingi sana... Mfano, mwanaume anaweza akafanya mapenzi usiku kucha, lakini akikutana na mwanamke mwingine akamuingia akilini, atafanya tena.... Chukulia mfano mwingine wa mbuzi mmoja wa kiume kwenye zizi, anaweza akawapa mimba mbuzi wote wa kike.... Wanaume ndivyo tulivyo jamaniMambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?

Halafu ADAM aliumbiwa HAWA siyo HUYUMambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Halafu ajue wengine wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja... SASA HUYO WA PILI, WA TATU NA WA NNE ATAMPATAJE BILA KUTONMGOZA? Halafu anajuwa fika ili mwanamke aitwe mke wa pili wa tatu au wa nne, lazima kuwa na wa kwanza waoKutongoza ni jadi yetu sio kwamba ukiwa na mchumba ndio na kutongoza kunaishia hapo
Kweli. Alafu mwanaume kuacha kutongoza hyo haipoHalafu ajue wengine wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja... SASA HUYO WA PILI, WA TATU NA WA NNE ATAMPATAJE BILA KUTONMGOZA? Halafu anajuwa fika ili mwanamke aitwe mke wa pili wa tatu au wa nne, lazima kuwa na wa kwanza wao
Wanadai ni kawaida yao eti...!!! Wanatamani zaidi huku wakiendelea kutongoza tongoza....Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
yaani wewe katika machizi upo, ni vile tu hujajitambuaMfano mimi huwa napenda wenye chura na vimbaombao kwa mpigo,sasa kama wewe ni mpenzi wangu na una chura halafu nikamwona kimbaombao nitaachaje kumpenda kwa mfano!!![]()
hahahahahah i like the way you defend your pointAccording to the bible, a woman was built off a man's rib, and a man got more than 10 ribs. So mathematically, religiously, biologically, and physically, we got rooms for many.
AAFUUU, hata walioolewa nao wasipotongozwa wanajazana kwa waganga...Kweli. Alafu mwanaume kuacha kutongoza hyo haipo