Wanaume nao hunyanyaswa kingono na Wanawake.

Wanaume nao hunyanyaswa kingono na Wanawake.

Mie yamewahi kunikuta kuna demu nililala nae style ya Reverse Cowgirl sasa wakati anavunja dafu alinitandika makofi makali sana mpk nilijing'ata ulimi damu ikanitoka na alipomaliza kuvunja dafu anauliza umepatwa na nini. Nilimwacha kwa kweli. Na mwingine alikwarua na kucha mgongoni wakati anavunja dafu aliniachia alama mpk nikawa nalala na vest wife hasione lile chata mpk nilipopona
ndugu hiyo reverse cowgirl sisi hatuijui
 
Yapo na yanatokea...

Pale mwanamke anapomfanyia hayo yote mwanaume, yule mwanaume anachukuliwa kama fala, mpumbavu, mjinga au wengine wanaenda mbali na kusema karogwa...

Ila sas shida inakuja pale mwanaume anapoamua kuchukua hatua, pale kesi humgeukia mwanaume na kuonekana kwamba mwanamke ananyanyaswa...



Cc: mahondaw
 
Ndo nashangaa inakuaje kidume uone kawaida kushikwa tako kisa aliyekushika ni mwanamke
USIOGOPE BANA.
MWANAMKE HALISI AMBAYE (OESTROGEN LEVEL IME-BALANCE), AKICHEZEA TAKO LA DUME NI HALALI YAKE,MWACHIE AJIMWAYE,HANA MADHARA HUYO, KWA KUWA HANA KIPAJI CHA KUFUKUA MTARO '' THUBUTU'' AKITOE WAPI? LABDA AKIJARIBU KUFUMUA TU ITACHUKULIWA KAMA PSYCHOLOGICAL REQUEST YA KUFUMULIWA YEYE. {wadada wengi hawasemagi. kwanza ndole zao lainii za kitoto, zinaweza pata kilema cha kudumu kwa zoezi hili la kufukua mtaro wenye kutu, au kukatika kabisa. marinda ya kidume na ukrutu wake si mchezo hasa kwa wala ugali wa mtama ukijaribu mie simo.) angalia hii picha hapa chini yaliyo wapata hawa wadada walijaribu fumua bila mafanikio.

WAZOEFU ZAO NI KULALAMIKA TU, UTASIKIA MARA NIPELEKE UANIII, NYIE WASUKUMA HUU MSEMO HAMUUJUI ATAKESHA ANAMPELEKA UANI MDADA WA WATU UNABISHA NGOSHA? SISI BARABR YA KUMI NA TATU MTAA WA MAKOLOLA TWAJUA,

MA DEMU WENGINE WANAKUJA NA HII STYLE YA KUKUSHIKA TAKO, UKIFOKA TU ANAJUA AAHHAAA! NDO WALE WALE BONGE NYANYA.

DUME UKIWA MKALI SAANA NA TAKO LAKO DHIDI YA KE, PIA INATIA SHAKA.KUNA KITU WAFICHA WEYE, ANATAKA AKUJUE UZURI ILI UMZALISHE TU, BUT UKIGEUKAGEUKA ANAJUA SIYO RIZIKI.
 
Tofauti zao ni nini kaka mkubwa?
Mvulana yeye hajui kutongoza, anachekacheka tu kiaibu, hana hela, anajisemea moyoni leo ntasema, ntasema tu anarudiarudia huu msemo. siku akipata vijicent vya mawazo anampa demu vyoote, hata bila kuomba mzigo kwanza, anaweza asipewe kipochi pia. tundevu tuwili tu tatu,

But mwenyewe mzee wa kazi yuko hivi;

Anakuja direct na swaga zake kama hataki vile. atachukua mzigo adimu utake usitake, pochi nene, hana wasiwasi hata wa mtoko. Kwanza kidevu kimekomaa! macho makavuuu!
 
Hahahaha sijui wanaume wa Dar waliwakosea nini,
yaani naimagine umesimama kituo cha bus manzi anakuja kwa nyuma yako anakushika Tako kisha anacheka na kuondoka na wewe unabaki tu unakenua, lazima utakua una shida mahali sio bure.
Culture Girl sikia bana huyu sasa wakunishika makalio stand bila ukaribu wa kunijua tena basi anacheka ni mchawi au kichaa halisi, wale wanao ng'ang'ania mtu yeyote brbarani, waokota makopo hovyo,

But wale wanapataga mimba ujue, wananyatiwa usiku tena na wajanja. huyu kichaa akikufanyia hivo baaasi kuna quest mark pahala, either muhusika dume ni tajiri mshirikina. wapo!
hata huyu anaye nyanyaswa na mke wake ametulia tu ni mchawi au mshirikina kuna kitu ana benefit hapo, au amemgeuza mkewe ndondocha hajitambui. masharti ni lazima uzalilishwe kila mahali, kinyume chake kazi huna. mke binadamu wale wanao loga me zao na nshutama, sijui limbwata, wanakuwaga na aibu fulani hivi.

Mtu mdada mwenye utambuzi hafanyi hivo, na huyu wa kukuona stand eti anakushika kalio hajakupenda, atashikaje kitu hakijui? alokupenda amekuona mara nyingi ukamuingia akilini taatibu, lazima ajenge ukaribu then anakutongoza one day ki- kikekike vile. wewe kidume aaaah! unajiongeza tu.

Kwani, naomba uliza tunaelimishana tu, wewe, umewahi tongoza hendithamu wangapi uliowapendaaa kimfano?
 
JudoThrowStreetFightKO.gif
Jamaa alikuwa yuko chuma nn mbona kalegea sana
 
Mimi nikiri tu hapa kuwa niliwahi kushikwa tako!.....hivi huwa mnapata rahaa gani kumshika mwanaume tako?!
Aisee pole sana kwa nyanyaso hilo nadhan ni ile tabia yako ya kupenda vyura ndio maana huyo dada akakushika na wewe.
 
Mie yamewahi kunikuta kuna demu nililala nae style ya Reverse Cowgirl sasa wakati anavunja dafu alinitandika makofi makali sana mpk nilijing'ata ulimi damu ikanitoka na alipomaliza kuvunja dafu anauliza umepatwa na nini. Nilimwacha kwa kweli. Na mwingine alikwarua na kucha mgongoni wakati anavunja dafu aliniachia alama mpk nikawa nalala na vest wife hasione lile chata mpk nilipopona

Huo ni utamu utamuni bhana wala sio nyanyaso,
Niliwahi kutoka na manzi wakati 'anavunja dafu' ali vibrate na kutulia tulii kama mtu aliyekata moto aisee hakuna siku nilitetemeka kama siku ile, alikuja kuzinduka baada ya robo saa na kusema ndivyo alivyo baadae nikamzoea hadi tulipoachana kwa ishu zingine.

Napenda pia baby mama akining'ata na kuongea those nasty words, whooh! it turn me on.
 
Hivi jike dume si hawa wenye kuiga tabia za kiume ?

Hivi hawa ambao wana jinsia mbili kweli wapo duniani au masinema tu ?
wenye jinsia mbili wapo ni real kabisa, ingia google ukawaone.
 
Yapo na yanatokea...

Pale mwanamke anapomfanyia hayo yote mwanaume, yule mwanaume anachukuliwa kama fala, mpumbavu, mjinga au wengine wanaenda mbali na kusema karogwa...

Ila sas shida inakuja pale mwanaume anapoamua kuchukua hatua, pale kesi humgeukia mwanaume na kuonekana kwamba mwanamke ananyanyaswa...



Cc: mahondaw

Thank you, indeed you are a smart one,
hongera kwake Mahondaw.
 
Back
Top Bottom