Wanaume nao hunyanyaswa kingono na Wanawake.

Wanaume nao hunyanyaswa kingono na Wanawake.

Anamnyanyasa hadharani yaani naona anamdharirisha hata wengine pia wataanza kumdharau
Daah inaumiza sana, ina maana hakuna wakubwa au viongozi wa dini wakaingilia kati jamani
 
USIOGOPE BANA.
MWANAMKE HALISI AMBAYE (OESTROGEN LEVEL IME-BALANCE), AKICHEZEA TAKO LA DUME NI HALALI YAKE,MWACHIE AJIMWAYE,HANA MADHARA HUYO, KWA KUWA HANA KIPAJI CHA KUFUKUA MTARO '' THUBUTU'' AKITOE WAPI? LABDA AKIJARIBU KUFUMUA TU ITACHUKULIWA KAMA PSYCHOLOGICAL REQUEST YA KUFUMULIWA YEYE. {wadada wengi hawasemagi. kwanza ndole zao lainii za kitoto, zinaweza pata kilema cha kudumu kwa zoezi hili la kufukua mtaro wenye kutu, au kukatika kabisa. marinda ya kidume na ukrutu wake si mchezo hasa kwa wala ugali wa mtama ukijaribu mie simo.) angalia hii picha hapa chini yaliyo wapata hawa wadada walijaribu fumua bila mafanikio.

WAZOEFU ZAO NI KULALAMIKA TU, UTASIKIA MARA NIPELEKE UANIII, NYIE WASUKUMA HUU MSEMO HAMUUJUI ATAKESHA ANAMPELEKA UANI MDADA WA WATU UNABISHA NGOSHA? SISI BARABR YA KUMI NA TATU MTAA WA MAKOLOLA TWAJUA,

MA DEMU WENGINE WANAKUJA NA HII STYLE YA KUKUSHIKA TAKO, UKIFOKA TU ANAJUA AAHHAAA! NDO WALE WALE BONGE NYANYA.

DUME UKIWA MKALI SAANA NA TAKO LAKO DHIDI YA KE, PIA INATIA SHAKA.KUNA KITU WAFICHA WEYE, ANATAKA AKUJUE UZURI ILI UMZALISHE TU, BUT UKIGEUKAGEUKA ANAJUA SIYO RIZIKI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umenivunja mbavu wewe mtoto wa Kitanga hahaha kumbe hawatakiwi kua wakali na makalio yao hahahaha
 
Mvulana yeye hajui kutongoza, anachekacheka tu kiaibu, hana hela, anajisemea moyoni leo ntasema, ntasema tu anarudiarudia huu msemo. siku akipata vijicent vya mawazo anampa demu vyoote, hata bila kuomba mzigo kwanza, anaweza asipewe kipochi pia. tundevu tuwili tu tatu,

But mwenyewe mzee wa kazi yuko hivi;

Anakuja direct na swaga zake kama hataki vile. atachukua mzigo adimu utake usitake, pochi nene, hana wasiwasi hata wa mtoko. Kwanza kidevu kimekomaa! macho makavuuu!
Hahahahaha Smaki una nini lakiniii mbona wanitoa machozi kwa kicheko kikalii.
 
Culture Girl sikia bana huyu sasa wakunishika makalio stand bila ukaribu wa kunijua tena basi anacheka ni mchawi au kichaa halisi, wale wanao ng'ang'ania mtu yeyote brbarani, waokota makopo hovyo,

But wale wanapataga mimba ujue, wananyatiwa usiku tena na wajanja. huyu kichaa akikufanyia hivo baaasi kuna quest mark pahala, either muhusika dume ni tajiri mshirikina. wapo!
hata huyu anaye nyanyaswa na mke wake ametulia tu ni mchawi au mshirikina kuna kitu ana benefit hapo, au amemgeuza mkewe ndondocha hajitambui. masharti ni lazima uzalilishwe kila mahali, kinyume chake kazi huna. mke binadamu wale wanao loga me zao na nshutama, sijui limbwata, wanakuwaga na aibu fulani hivi.

Mtu mdada mwenye utambuzi hafanyi hivo, na huyu wa kukuona stand eti anakushika kalio hajakupenda, atashikaje kitu hakijui? alokupenda amekuona mara nyingi ukamuingia akilini taatibu, lazima ajenge ukaribu then anakutongoza one day ki- kikekike vile. wewe kidume aaaah! unajiongeza tu.

Kwani, naomba uliza tunaelimishana tu, wewe, umewahi tongoza hendithamu wangapi uliowapendaaa kimfano?
Kwikwikwikwikwikwi,
mimi sijawahi tongoza henditham me natongoza byutiful.
 
Kwaiyo inabidi nijiunge chama chenu ama?

Naona kuna chama umekitaja hapo juu,

Yani mwanamke amekushika tako ndio amekunyanyasa?

Wewe itakuwa shoga..

Mwanaume hawezi lalamika, mwanaume wa kweli akifanyiwa kitendo cha ajabu na mwanamke papo hapo anamfundisha adabu


Eti mwanaume mzima unaenda polisi kulalamika mwanamke ana kunyanyasa[emoji41][emoji41]

Mimi kama ni polisi nakupeleka kwa wafungwa wengine wakushike tako vizuri
Nimeimagine navyoripoti hilo tukio

"afande muroto nimeshiwkwa tako na nke angu hahahaha
 
Back
Top Bottom