wenye jinsia mbili wapo ni real kabisa, ingia google ukawaone.
Hermophrodites wanaitwa kitaalamu. baadhi wana mishedede tena ya hatari but warembooo! wa kuvutia, ziwa saa sita mzee! na wanapenda sana videmu vya watu na mashoga.
SIRI KUBWA YA WANAUME WA DAR;
Iko hivi waweza tegeshewa demu wa kweli akakusababishia hii kadha, km ya kufumaniwa vile, hawa hermophrodites ndo wanafanyaga kazi za fumanizi la ghfla.
Kwa sababu ya ukame, wako tayari muda wowote ule, waweza mdharau kuwa ni demu hafanyi kitu mbaya sana, but akivua chupi!!! heee! utajinyea! hii imepelekea wanaume wa Dar kuto tongoza hovyo. kuwa waoga na wapole zaidi, ndo maana wanadharaulika Mikoani
Ukiingia Dar na vijicent vyako vya mawazo, uwe makini sana, hasa ukipendwa na mrembo, waweza fanywa asusa maisha yako yote, tena usilitamani Jiji tena, ajabu ukionja tu huachii. ujanja wao sasa unaotumika uko hivi, mkisha kubaliana kupeana mambo anakupa nyonyo zake kwanza ki romance!, romance!, hivi, hii nyonyo imepakwa cocaine,
ONYO; usiamini nyonyo za demu yeyote yule hata mkeo. kinacho fuata baada ya hapo ni story ndefu..........
Hata kama ukiona mkeo haeleweki (hii ni kwa wenyeji wa Dar tu), chunguza makundi ya mashoga zake ikibidi fanya mautundu, watongoze hii itakusaidia kujua ABC zao, kwa sababu mkeo akikunwa na Hermophrodite pia ni tatizo kwa ndoa yako. Kwanza hutakaa udhanie, anaweza akawa anashinda kwako na ukiona shoga yake ni mmoja tu ni rahisi kupotezea, Umoja ule waweza kukufanyia kitu mbaya sana, hata kukudhurumu Mali yako, uliyo chuma kwa jasho. si mmekutana kimjini?
Kwa sababu ya ukubwa wa Jiji wengi wamekimbilia Dar, wamejichanganya hawajulikani ki viile. hii inawasaidia kufanya yao bila kujulikana, baadhi wameoa kabisaa! wametulia.
Ndo maana nasema ukishikwa tako na demu mchunguze kwanza.