Wanaume nao hunyanyaswa kingono na Wanawake.

Wanaume nao hunyanyaswa kingono na Wanawake.

Kati ya hayo ulio orodhesha wewe yepi umepitia mkuu? Pole sana kwa yalio kukuta komaa ukilegea tu umekwisha
Lol, itakua mada imepita kusini na wewe umepita kaskazini.
 
Aisee alie anzisha hii thread ni wa kiume au wa kike?

Mimi kama mwanaume sijaona nyanyaso la kingono apo.. Labda wanaume wa chips mayai
 
Hii nyimbo ya mashoga

 
JudoThrowStreetFightKO.gif
Mmh, huyu hajamvunja shingo kaka wa watu,Maskini kuna vidada vikorofi[emoji30] [emoji30]
 
Aisee alie anzisha hii thread ni wa kiume au wa kike?

Mimi kama mwanaume sijaona nyanyaso la kingono apo.. Labda wanaume wa chips mayai
Kama upo radhi kushikwa tako na mwanamke asiye mpenzi wako na ukatulia basi kuna shida mahali.
 
Kama upo radhi kushikwa tako na mwanamke asiye mpenzi wako na ukatulia basi kuna shida mahali.
Kwaiyo inabidi nijiunge chama chenu ama?

Naona kuna chama umekitaja hapo juu,

Yani mwanamke amekushika tako ndio amekunyanyasa?

Wewe itakuwa shoga..

Mwanaume hawezi lalamika, mwanaume wa kweli akifanyiwa kitendo cha ajabu na mwanamke papo hapo anamfundisha adabu


Eti mwanaume mzima unaenda polisi kulalamika mwanamke ana kunyanyasa[emoji41][emoji41]

Mimi kama ni polisi nakupeleka kwa wafungwa wengine wakushike tako vizuri
 
Hii nyimbo ya mashoga

umeileta kama mmoja wao au?
 
Back
Top Bottom