Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,231
- 1,538
Huyu atakuwa na character za akina Ronda Rousey na Beck Lynch, sio bure aisee!Huyu mama lazima awe mwalimu wa John Cina sio mchezo
Huyu atakuwa na character za akina Ronda Rousey na Beck Lynch, sio bure aisee!Huyu mama lazima awe mwalimu wa John Cina sio mchezo
hapana bhana sio kila siku nakuja mara moja tu.utanipa shida weye, kila siku hodi
rafiki nafurahi kuona unavyonipambania kwakweli [emoji23]Mambo ndio hayo sasa, sio kuitana mkuu hiyo veep, lolNenda jamani ndio mwanzo wa kujuana na kufungua familia.
Hahaa, haya mkuyeeee[emoji23]kajanja kweli wewe.
wewe mwanamke sio Kwa kuniita vizuri ivyo unanimaliza ujue.Hahaa, haya mkuyeeee
[emoji1][emoji1][emoji1] aisee pole sanaNi kweli tunanyanyaswa.
Unaweza kujikuta unalazimishwa na demu umnyonye K . Demu mwenyewe hata siyo mke wako ni limalaya flani tu la mjini.
Duuh, mbona unamalizika kirahisi hivo mkuu, poleeewewe mwanamke sio Kwa kuniita vizuri ivyo unanimaliza ujue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikiri tu hapa kuwa niliwahi kushikwa tako!.....hivi huwa mnapata rahaa gani kumshika mwanaume tako?!
bhana ungesema mkuye polee.Duuh, mbona unamalizika kirahisi hivo mkuu, poleee
Mwenye kuiga tabia za kiume kama vile mavazi na muonekano kwa ujumla.Jike Dume ndio nini Biisa?
Unaonaeee yaani sio mchezoHuyu atakuwa na character za akina Ronda Rousey na Beck Lynch, sio bure aisee!
Au kuna njema anapewa.Ukiona unanyimwa ujue kuna sababu, amechoka, hafurahii au ana mawazo.
Zungumza na mwenzio.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji180][emoji180][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Mwanaume wa dar[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji180][emoji180][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Nyeeeeh kauwa shingoo
DuhTumezoea kesi nyingi za wanawake wananyanyaswa kingono na wanaume, lakini tunafumbia macho upande wa pili wa shilingi, wanaume pia hunyanyaswa kingono na wanawake, cha kusikitisha wanaume hawasemi kwa kuhisi aibu, kuchekwa, kubezwa na hata kutokuaminiwa.
Kuna wengine hushikwa makalio na wanawake kisha wanawacheka,(sio mpenzi wake)
Kuna wengine hukonyezwa na wanawake,(sio mpenzi wake)
Kuna wengine huvutwa sehemu zao nyeti au kutomaswa na kuambiwa una uume mdogo au mkubwa au mfupi au mrefu kisha wanacheka,(sio mpenzi wake)
Kuna wengi wamelazimishwa kuwaingilia wanawake kingono kwa sharti kua wakikataa basi mwanamke atapiga kelele kua alitaka kumbaka,
Kuna wengine hulazimishwa kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile na kama wakikataa basi hupigwa au kung'atwa au kuumizwa sehemu mbali mbali,
Kwa walio kwenye mahusiano kama mwanamke akimchoka basi humfanyia visa, humyima chakula, humpiga kwa kumrushia vitu vya kuumiza hata kumng'ata na matusi na kama mwanaume akijaribu kumgusa kidogo basi kesi imerudi kwake,
Share nasi kama umeshawahi kunyanyaswa kingono na Mwanamke au kunyanyaswa kihisia, kimwili na kiakili na Mwanamke.
Usione aibu.