- Thread starter
- #81
kajikague tena ukristu wako mjomba.....
ah this is a religious debate, so enough with it.
kajikague tena ukristu wako mjomba.....
Muosha huoshwa.
Mla cha mwenzake na chake huliwa.
ah this is a religious debate, so enough with it.
wote tutajibana kwa waume za watu wangu! kinachonikera watu hawajui kula kimya kimya! kushare muhimu, cha msingi kimya kimya
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni mwanaume au jike dume tu! uko bize kugonga wake za wenzio, na wa kwako aende wapi? Ushauri wa bure kwa waume, JAMANI UKITOKA NJE PLIZ PLIZ ANGALIA NA WA KUTOKA NAE, PIA CONCETRATE NA HUYO HAWARA YAKO SIO KUMSEMASEMA MKEO.Inahusuuu
kwa wake za watu wenzangu, najua wengi wa wake za watu wanagongwa sana siku hizi tena wanagongwa na waume za wenzao. SASA BASI UKIAMUA KUJIPOOZA KWA MUME WA MWENZIO, USIJIONE UPO JUU, MAANA HADI UKAGONGWE NA MUME WA MWENZIO HALI WE NI MKE YA MUTU, INA MAANA NDOA YAKO PIA IMEKUSHINDA AU IMEKUCHOSHA.
Ndo maana sipendi kusherekea hat sijui WOMEN'S DAY, UPUMBAF MTUPU.
pamoja na hayo....kajikague
Ha ha ha ha ha ha mume ninayemtaka ni yule ambaye akiingia JF husoma tu comments then kuendelea na kazi zake sio mwenye time ya kuandika au kujibu comment. In short napenda watu ambao wako bize kiasi. sO U DONT QUALIFY WANGU
Mhhhhhhhhhhh huyu mdogo wake,pacha au ndugu wa mzabzab bila shaka.
HA HA HA WE nawe usinipe majukumu mie, ah yani Mungu mwenyewe anakataza (REF: BIBLE & KORAN) na bado watu wanafanya! sasa mie nikataze kwa locus standi ipi? We vipi? Hata mie nilikuaga mkali sana na watu kutoka nje badae ikanibidi niunge tera, japo kwa kubip la sivyo naweza kufa kwa presha na stress hizi!
Ukiwa serious na mahusiano utapata either presha au ugonjwa wa moyo. ANAYEFUMANIWA AMEVUKA MIPAKA YA MCHEZO MZIMA. Inauma but ndo ukweli
bize kiasi unaipima vipi? Na umejuaje wote wanaokuwa humu jf hawapo busy au hawana shughuli za kufanya?
AH NGOJA NIENDE ZANGU HOME MIE, WANANGU WANANINGOJA. JIONI JAMANI TUKUTANE BASI SAMAKI SAMAKI! NITAKUA NA HUBBY LEO, AH TUSKER LIGHT NIMEKUMISIJE! ha ha ha ha ha
BASI HAPA MTATUKANA HADI NIKOME! WABONGO BWANA HIVI HAMNA KAZI AU? MWENZENU NIPO LIKIZO HIVYO NDO NIKAONA NIJIUNGE NA MTANDAO WA WATOTO!
ALAMSIKI
Umejidanganya ukadanganyika; grasses outside the fence are always look greener.we kaka mbona mgumu hivyo jamani. Ninachomaanisha ni kwamba, Koran intoa ruhusa mume mmoja wake 4 na kuna justifiable grounds zimetolewa na kuna conditions pia(kama sikosei) ambayo moja wapo ni kuwapenda na kuwaridhisha wote sawa.Tatizo la wakiristu, mme 1 mke 1 then mume anakua na mahawara 2 nje ambao ndo anawapa mahitaji kuliko mkewe, SASA IPI BORA JAMANI. MI NI MKATOLIKI SAFI TENA yTUMSIFU YESU KRISTU KAKA ILA AM REALISTIC WHEN IT COMES TO CERTAIN ISSUES OF LIFE.
Nimepapenda apo, lazima utakuwa wmanasheria. Pamenikumbusha kesi ya lema na hukumu iliyotolewa
Umejidanganya ukadanganyika; grasses outside the fence are always look greener.
Ni kama vile ukiwa kwenye dalada pale Manzese, ukichungulia dirishani unaona mitumba mizurii! Sasa telemka uende kuichunguza, hutaamini kuwa ndio ile ilikufanya utelemke kutoka kwenye daladala!
hapo sasa unaharibu ayanda. Haya siku njema.
duh hii kali hivi hua tunatafakari tunahitaji nini maishani kabla ya kukurupuka.
duh hii kali hivi hua tunatafakari tunahitaji nini maishani kabla ya kukurupuka.