asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
we ungekua bize, usingeandika humu kitu. Sanasana ungepita tu
katu usimdharau usiyemfahamu!!!!!!!!
we ungekua bize, usingeandika humu kitu. Sanasana ungepita tu
He he he he!!! Yamekukuta eehh!! Pole sana. Unachezea dunia!!!!.
mie Mkuu SIna Kabila. Maybe wewe mwenye Kabila ndio unajuwa tabia hizo ndomana umefafanua.Kinawashwa tu hicho hakina lolote. Unajua nini, kuna videmu visipotongozwa wiki nzima huwa vinaumwa kichwa. Sasa kwa akili yake anajua akiwaambie wanaume kuwa ana ugomvi na mumewe basi watamchangamkia, ndio maana kaaga kwa style kuwa leo atakuwa na mumewe just kujifanya ana market.
Kitakuwa kinukamkojo tu cha kabila la kina Pazi
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni mwanaume au jike dume tu! uko bize kugonga wake za wenzio, na wa kwako aende wapi? Ushauri wa bure kwa waume, JAMANI UKITOKA NJE PLIZ PLIZ ANGALIA NA WA KUTOKA NAE, PIA CONCETRATE NA HUYO HAWARA YAKO SIO KUMSEMASEMA MKEO.Inahusuuu
kwa wake za watu wenzangu, najua wengi wa wake za watu wanagongwa sana siku hizi tena wanagongwa na waume za wenzao. SASA BASI UKIAMUA KUJIPOOZA KWA MUME WA MWENZIO, USIJIONE UPO JUU, MAANA HADI UKAGONGWE NA MUME WA MWENZIO HALI WE NI MKE YA MUTU, INA MAANA NDOA YAKO PIA IMEKUSHINDA AU IMEKUCHOSHA.
Ndo maana sipendi kusherekea hat sijui WOMEN'S DAY, UPUMBAF MTUPU.
Makaburi yafukuliwaTurudini na hapa ndo mjue mnamtetea Nani.
acha bwanaMakaburi yafukuliwa
Ayanda Leo uko na double double thread..Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni mwanaume au jike dume tu! uko bize kugonga wake za wenzio, na wa kwako aende wapi? Ushauri wa bure kwa waume, JAMANI UKITOKA NJE PLIZ PLIZ ANGALIA NA WA KUTOKA NAE, PIA CONCETRATE NA HUYO HAWARA YAKO SIO KUMSEMASEMA MKEO.Inahusuuu
kwa wake za watu wenzangu, najua wengi wa wake za watu wanagongwa sana siku hizi tena wanagongwa na waume za wenzao. SASA BASI UKIAMUA KUJIPOOZA KWA MUME WA MWENZIO, USIJIONE UPO JUU, MAANA HADI UKAGONGWE NA MUME WA MWENZIO HALI WE NI MKE YA MUTU, INA MAANA NDOA YAKO PIA IMEKUSHINDA AU IMEKUCHOSHA.
Ndo maana sipendi kusherekea hat sijui WOMEN'S DAY, UPUMBAF MTUPU.
Usijiaminishe kuwa huyu ni Dada, si bure ni Mwanaume alijiaibisha tu hapa.Mh pole dada unamatatizo gani hadi umekuwa simulizi kwa kila mwanamke anayekuwa na mumeo?
Mh na hao wake za watu wanaotembea na waume za watu wanamatatizo na maspinster waende wapi?