Wanaume na Wanawake wengine bhana! Sijui ikoje

WE NDO IDIOT NAMBA ONE.

kwani nani asiyejua kwamba Koran ni realistic kwenye hii ishu ya ndoa, polygamy is the best. Ndo mana ndoa zinazoongoza kwa matatizo ni za wakiriso. tuwe wa kweli jamani. Kwaresma njema

Idiot ni wewe uliyeigundua kweli na hukuchukua hatua. Kama unajua Koran is the best, kilikusibu nini kuolewa ndoa ya Kikristo?

Upumbavu wako ni kuleta malalamiko hapa kimtindo kumbe dawa unaijua. Sasa acha nikwambie, kwa mujibu wa Koran, malaya wa namna yako hupigwa mawe hadi kufa.
 
Huyooo yamemkuta huyoo mwenzetu bana.
Ukiona mmeo anaenda nje na kukusema hovyo kwa hawara yake.jua wazi kakuchoka na tabia zako uchafu wa mwili na wa nyumba na mauchafu mengine kibao na makero kwa ujumla.kuwa makini mama mwenye ndoa.

ha ha ha ha sasa mbona huyo anayetoka nae ni mke wa mtu ambae pia mumewe anatoka na mke wa mtu mwingine? kwa hiyo nae mchafu? Mbona na huyu mume wa mtu aliyeniganda mie ina maana haoni huo uchafu, mbona hamsemi vibaya wife wake,(NDO MANA NAMHESHIMU, HE IS A REAL MAN).

ACHA UJINGA WEWE, HUYU MUME WANGU SINA TIME NAE, SASA NDO AMEANZA KURUDISHA MAPENZI KWANGU WAKATI MIE MAPENZI YAKO KWA MWINGINE KWA SASA. ALIKUA ANARUDI USIKU SIKU HIZI 11 YUPO HOME HADI NAKEREKA, SI AENDE HUKO SASA.

ha ha ha ha ha mnanifurahisha, u just blame u cant face the actual problem here. HILI TATIZO LIKO KWINGI JAMANI ACHENI KUNILAUMU
 
tena limenigonga sana ha ha ha ha ha yani hadi raha hapa nilipo. Najua wanaume mmepata point basi tu hamtaki kukubali

Huna raha yeyote unajizuga. Mumeo anachukuliwa na wajanja kwa kuwa umebweteka. Hii point yako inakuhusu mwenyewe, badili tabia. Ulifikiri ndoa ni mchezo eti?
 
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni mwanaume au jike dume tu! uko bize kugonga wake za wenzio, na wa kwako aende wapi? Ushauri wa bure kwa waume, JAMANI UKITOKA NJE PLIZ PLIZ ANGALIA NA WA KUTOKA NAE, PIA CONCETRATE NA HUYO HAWARA YAKO SIO KUMSEMASEMA MKEO.Inahusuuu
mwanaume wa ukweli hutumia akili. .hao wanaoropoka mambo hovyo ni wanaume suruali tu!
 
Idiot ni wewe uliyeigundua kweli na hukuchukua hatua. Kama unajua Koran is the best, kilikusibu nini kuolewa ndoa ya Kikristo?

Upumbavu wako ni kuleta malalamiko hapa kimtindo kumbe dawa unaijua. Sasa acha nikwambie, kwa mujibu wa Koran, malaya wa namna yako hupigwa mawe hadi kufa.

HA HA HA HA HA MBAVU SINA. ILA NAJUA UJUMBE UMEFIKA. UNA MKE WEYE? SASA KAMA HUPIGI KAZI VIZURI, MCHUNGUZE VIZURI.ILA USITUAMBIE UTAKACHOGUNDUA. hebu piga kazi wewe. PIGA MAWE HADI UFE
 
Kule SAUDIA kupiga malaya mawe sawa, hapa bongo huo ujinga hatuna.
 
ha ha ha ha sasa mbona huyo anayetoka nae ni mke wa mtu ambae pia mumewe anatoka na mke wa mtu mwingine? kwa hiyo nae mchafu? Mbona na huyu mume wa mtu aliyeniganda mie ina maana haoni huo uchafu, mbona hamsemi vibaya wife wake,(NDO MANA NAMHESHIMU, HE IS A REAL MAN).

ACHA UJINGA WEWE, HUYU MUME WANGU SINA TIME NAE, SASA NDO AMEANZA KURUDISHA MAPENZI KWANGU WAKATI MIE MAPENZI YAKO KWA MWINGINE KWA SASA. ALIKUA ANARUDI USIKU SIKU HIZI 11 YUPO HOME HADI NAKEREKA, SI AENDE HUKO SASA.

ha ha ha ha ha mnanifurahisha, u just blame u cant face the actual problem here. HILI TATIZO LIKO KWINGI JAMANI ACHENI KUNILAUMU

Real man hamsemi mkewe kwa kuwa mkewe ni Real Woman. Wewe mumeo anakusema kwa kuwa wewe ni HOVYO. Yamekushinda, unajifanya eti uko poa. Kama uko poa mbona unayaita matatizo, mbona asije kulalama mumeo umekuja wewe?

Pole sana!
 
Kule SAUDIA kupiga malaya mawe sawa, hapa bongo huo ujinga hatuna.

Yeye huyu kiruka njia huo unaouita wewe ujinga yeye ndio alikuwa anautaka, ndio nikaona nimkumbushe kuwa hiyo Koran anayoisema ni BORA KWAKE inatoa muongozo kuwa kirukanjia kama yeye apigwe mawe hadi afe
 
mwanaume wa ukweli hutumia akili. .hao wanaoropoka mambo hovyo ni wanaume suruali tu!

BORA UMEJISEMEA WEYE. ILA NDO WENGI SIKU HIZI. HAPA OFISINI KUNA SIKU LIKAKA LA MIAKA 37 likadai, unajua mi mke wangu mmachame hajua kukatika ila anjua kutafuta pesa! yani nikastuka mbaya, sasa why aseme hayo ofisini tena mbele ya watu 5.
 
Yeye huyu kiruka njia huo unaouita wewe ujinga yeye ndio alikuwa anautaka, ndio nikaona nimkumbushe kuwa hiyo Koran anayoisema ni BORA KWAKE inatoa muongozo kuwa kirukanjia kama yeye apigwe mawe hadi afe

we kaka mbona mgumu hivyo jamani. Ninachomaanisha ni kwamba, Koran intoa ruhusa mume mmoja wake 4 na kuna justifiable grounds zimetolewa na kuna conditions pia(kama sikosei) ambayo moja wapo ni kuwapenda na kuwaridhisha wote sawa.Tatizo la wakiristu, mme 1 mke 1 then mume anakua na mahawara 2 nje ambao ndo anawapa mahitaji kuliko mkewe, SASA IPI BORA JAMANI. MI NI MKATOLIKI SAFI TENA TUMSIFU YESU KRISTU KAKA ILA AM REALISTIC WHEN IT COMES TO CERTAIN ISSUES OF LIFE.
 
HA HA HA HA HA MBAVU SINA. ILA NAJUA UJUMBE UMEFIKA. UNA MKE WEYE? SASA KAMA HUPIGI KAZI VIZURI, MCHUNGUZE VIZURI.ILA USITUAMBIE UTAKACHOGUNDUA. hebu piga kazi wewe. PIGA MAWE HADI UFE

Sio nisiwaambie, WE NA NANI? Am talking to you alone.

Mke wangu hana tabia kama zako na wala mimi sina tabia za mumeo. Sijawahi kumkuta ananuka hata siku moja kiasi nianze kwenda kutafuta vicheche huko mitaani kama anavyotaabika mumeo.

Kwanza ukitaka kujua tu kuwa malezi yako sio mazuri, umethubutu kuja kutuambia hapa eti mumeo sio real man, sasa umeolewa na shoga yako? Viruka njia wa aina yako ni matokeo ya kutumika sana wakati wa usichana tena umri mdogo kiasi sasa ladha ya mwili imekuisha.

Kama unataka consultation niPM, lipo jambo tunaweza fanya tukimhusisha mumeo, lkn kwa mahubiri haya ya kijinga na michezo mnayofanya we na huyo mwenza wako wa ndoa, mnatafuta janga.
 
we kaka mbona mgumu hivyo jamani. Ninachomaanisha ni kwamba, Koran intoa ruhusa mume mmoja wake 4 na kuna justifiable grounds zimetolewa na kuna conditions pia(kama sikosei) ambayo moja wapo ni kuwapenda na kuwaridhisha wote sawa.Tatizo la wakiristu, mme 1 mke 1 then mume anakua na mahawara 2 nje ambao ndo anawapa mahitaji kuliko mkewe, SASA IPI BORA JAMANI. MI NI MKATOLIKI SAFI TENA TUMSIFU YESU KRISTU KAKA ILA AM REALISTIC WHEN IT COMES TO CERTAIN ISSUES OF LIFE.

Mgumu? Wewe ulitaka niwe mlaini, eti?

Unashindwa nini kuona kuwa hilo ni tatizo lako kushindwa kumridhisha mumeo badala yake unatamani aruhusiwe kuoa wake wa4? Kwa hiyo unaadmit failure kuimudu ndoa yako na sasa unatamani ungekuwa na wenzako wa4.

Labda nikuulize swali; Unafikiri ni kwa nini mumeo anawathamini hao vimada wake zaidi yako?
 
jamani this is too much for me, i wonder wapi watu wanapata guts za kuwasema ma hawara zao, waume zao kwa namna hii.
huku sasa sio kujidhalilisha mwenyewe??
ziko wapi zile enzi ndoa ilikuwa na heshima yake.
iko wapi enzi ndoa zilikuwa ni siri ya wawili
zi wapi enzi ndoa ilikuwa ni kumbato la wawili.
yumkini watu hawajui kwann wahenga walidai kitanda hakizai haramu
yumini hawajui kwann watu husema ukimkuta baba kavaa kanga ya mama yako usiulize baba yuko wapi enh!
halafu mbaya zaid wanawake ndio wiki hii yote tumekaa kulichafua jamvi kwa mambo mabaya yanayoonyesha kushindwa kwetu kulea ndoa zetu. badala ya kufukiri tutarejesha vipi upendo na amani ya ndoan mwetu, namna gani tutaish kulea watoto siye tunafikiri kuharibu ndoa.

naomba niekewe wimbo huu hapa na yyte yule ayeweza

"" watoto wa nyumba zote""
 
huna raha yeyote unajizuga. Mumeo anachukuliwa na wajanja kwa kuwa umebweteka. Hii point yako inakuhusu mwenyewe, badili tabia. Ulifikiri ndoa ni mchezo eti?

utakua bachelor tu wewe! Ndo mana wake za watu hawapendi mabachelor kwa sana. Wasumbufu nyie na majukukumu hamjui! Any way kaka thanx kwa kuchangia mada!
 
BORA UMEJISEMEA WEYE. ILA NDO WENGI SIKU HIZI. HAPA OFISINI KUNA SIKU LIKAKA LA MIAKA 37 likadai, unajua mi mke wangu mmachame hajua kukatika ila anjua kutafuta pesa! yani nikastuka mbaya, sasa why aseme hayo ofisini tena mbele ya watu 5.
sasa huyo si mjinga kwanini asimfundishe kama yeye anajua sana au alitaka mkamsaidie? mambo ya familia au ya mke na mme wengine inawahusu nini?
 
jamani this is too much for me, i wonder wapi watu wanapata guts za kuwasema ma hawara zao, waume zao kwa namna hii.
huku sasa sio kujidhalilisha mwenyewe??
ziko wapi zile enzi ndoa ilikuwa na heshima yake.
iko wapi enzi ndoa zilikuwa ni siri ya wawili
zi wapi enzi ndoa ilikuwa ni kumbato la wawili.
yumkini watu hawajui kwann wahenga walidai kitanda hakizai haramu
yumini hawajui kwann watu husema ukimkuta baba kavaa kanga ya mama yako usiulize baba yuko wapi enh!
halafu mbaya zaid wanawake ndio wiki hii yote tumekaa kulichafua jamvi kwa mambo mabaya yanayoonyesha kushindwa kwetu kulea ndoa zetu. badala ya kufukiri tutarejesha vipi upendo na amani ya ndoan mwetu, namna gani tutaish kulea watoto siye tunafikiri kuharibu ndoa.

naomba niekewe wimbo huu hapa na yyte yule ayeweza

"" watoto wa nyumba zote""

UKIONA HIVYO, WATU WAMEKUA DIGITAL. Ha ha ha waume ndo waongoza kuwasema wake zao bi shosti!
 
ha ha ha ha sasa mbona huyo anayetoka nae ni mke wa mtu ambae pia mumewe anatoka na mke wa mtu mwingine? kwa hiyo nae mchafu? Mbona na huyu mume wa mtu aliyeniganda mie ina maana haoni huo uchafu, mbona hamsemi vibaya wife wake,(NDO MANA NAMHESHIMU, HE IS A REAL MAN).

ACHA UJINGA WEWE, HUYU MUME WANGU SINA TIME NAE, SASA NDO AMEANZA KURUDISHA MAPENZI KWANGU WAKATI MIE MAPENZI YAKO KWA MWINGINE KWA SASA. ALIKUA ANARUDI USIKU SIKU HIZI 11 YUPO HOME HADI NAKEREKA, SI AENDE HUKO SASA.

ha ha ha ha ha mnanifurahisha, u just blame u cant face the actual problem here. HILI TATIZO LIKO KWINGI JAMANI ACHENI KUNILAUMU

Wewe ni ki-cheche, period. Mmeoana mayezebeli wote wewe na huyo mumeo na ulaaniwe kwa umalaya wako mchafu ukimwi ndio suluhisho la matendo yako .
 
sasa huyo si mjinga kwanini asimfundishe kama yeye anajua sana au alitaka mkamsaidie? mambo ya familia au ya mke na mme wengine inawahusu nini?

Don't be silly na wewe, kwani huyu mnayesapotiana ujinga hapa anapotueleza kuwa mumewe sio Real Man, sisi inatuhusu nini? Mbona ni sawa tu alichokifanya huyo aliyesema mkewe mmachame na anachofanya huyu aliyeshindwa ndoa yake hapa?
 
Back
Top Bottom