Wanaume na Wanawake wengine bhana! Sijui ikoje

Wanaume na Wanawake wengine bhana! Sijui ikoje

sasa huyo si mjinga kwanini asimfundishe kama yeye anajua sana au alitaka mkamsaidie? mambo ya familia au ya mke na mme wengine inawahusu nini?

ah ndo hivyo tena. Mi nishazoea kusikia waume wakiwasema wake zao tena mbovu mbaya. WANAUME PLIZ TRY TO CHANGE BWANA. Nyie niiteni malaya had mchoke ila kuanzia leo mkome kabisa kuwasema wake zenu kwa hawara zeNU.

LEO NITAKOMA HUMU, UTADHANI WATU WANANIJUA KWA JINSI WANAVYOREACT ha ha ha ha ha ha aha h
 
Don't be silly na wewe, kwani huyu mnayesapotiana ujinga hapa anapotueleza kuwa mumewe sio Real Man, sisi inatuhusu nini? Mbona ni sawa tu alichokifanya huyo aliyesema mkewe mmachame na anachofanya huyu aliyeshindwa ndoa yake hapa?

KWANI MUME WANGU MNAMJUA? HUYU JAMAA MKE WAKO OFISINI TUNAMJUA MAANA HUWA ANAKUJAAGA NA WANAENDAGA WOTE LUNCH. ha h ha ha ha h
 
UKIONA HIVYO, WATU WAMEKUA DIGITAL. Ha ha ha waume ndo waongoza kuwasema wake zao bi shosti!
ayanda, nimekuuliza swali; unadhani ni kwa nini mumeo anawathamini hawara zake zaidi yako wewe mke wake wa ndoa?

Unajua wewe una matatizo ambayo mwenyewe kwa akili yako unadhani utayamaliza kwa kumsema mumeo hapa jamvini. Kwa kifupi, yote uliyoongea hapa ni upuuzi. Hata suggestions zako kwamba Koran ingekusevu ni upuuzi pia.

Mngekuwa Waislam na mumeo akaoa wake wa4, situation yako ingekuwa mbaya zaidi ya hii inayokufanya uweweseke na kusema hovyo hovyo hapa. Mumeo angekuwa anakuweka wa mwisho kimapenzi na hao wenzako wa3 wangekuwa mbele. Jiangalie, jikague, acha kuongea pumba mwanamke unajidhalilisha
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni ki-cheche, period. Mmeoana mayezebeli wote wewe na huyo mumeo na ulaaniwe kwa umalaya wako mchafu ukimwi ndio suluhisho la matendo yako .

huwezi jua hawara wa mume wangu ni mkeo kaka! NA PIA HUWEZI JUA LABDA TUPO PAMOJA KWENYE ILE tupo wangapi network! take it easy. NILIKU MKALI KAMA WEWE
 
ah ndo hivyo tena. Mi nishazoea kusikia waume wakiwasema wake zao tena mbovu mbaya. WANAUME PLIZ TRY TO CHANGE BWANA. Nyie niiteni malaya had mchoke ila kuanzia leo mkome kabisa kuwasema wake zenu kwa hawara zeNU.

LEO NITAKOMA HUMU, UTADHANI WATU WANANIJUA KWA JINSI WANAVYOREACT ha ha ha ha ha ha aha h
ukiona hivo message sent and delivered. ukweli unauma!
 
KWANI MUME WANGU MNAMJUA? HUYU JAMAA MKE WAKO OFISINI TUNAMJUA MAANA HUWA ANAKUJAAGA NA WANAENDAGA WOTE LUNCH. ha h ha ha ha h

Ok, fine! Haya niambie, unadhani ni kwa nini mumeo anawathamini mahawara zaidi yako?
 
WE vipi kwani we hujawahi gonga mke wa mtu au hata kutongoza! jamani tukubali tukatae, uzinzi ulikuepo na utaendea tena sana mpaka hapo wanaume WATAKAPOBADILI TABIA. NAJUA WANAWAKE TUPO WENGI ZAIDI DUNIANI, CHA MSINGI MWANAUME UKIAMUA KUA NA ZAIDI YA MMOJA BASI TREAT THEM FAIRLY WITH RESPECT.

Mi ni mkatoliki, ila hii ishu ya ndoa ya mke mmoja ni matatizo tu. Bora Koran imetoa mwongozo realistic.

wera weraaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
BORA UMEJISEMEA WEYE. ILA NDO WENGI SIKU HIZI. HAPA OFISINI KUNA SIKU LIKAKA LA MIAKA 37 likadai, unajua mi mke wangu mmachame hajua kukatika ila anjua kutafuta pesa! yani nikastuka mbaya, sasa why aseme hayo ofisini tena mbele ya watu 5.

mbona hii ni sifa?? tena inaonyesha wazi kwamba yeye na mkewe hawajali mambo ya kipuuzi kama nyie. sasa mtakula viuno?? better for him.
 
ayanda, nimekuuliza swali; unadhani ni kwa nini mumeo anawathamini hawara zake zaidi yako wewe mke wake wa ndoa?

Unajua wewe una matatizo ambayo mwenyewe kwa akili yako unadhani utayamaliza kwa kumsema mumeo hapa jamvini. Kwa kifupi, yote uliyoongea hapa ni upuuzi. Hata suggestions zako kwamba Koran ingekusevu ni upuuzi pia.

Mngekuwa Waislam na mumeo akaoa wake wa4, situation yako ingekuwa mbaya zaidi ya hii inayokufanya uweweseke na kusema hovyo hovyo hapa. Mumeo angekuwa anakuweka wa mwisho kimapenzi na hao wenzako wa3 wangekuwa mbele. Jiangalie, jikague, acha kuongea pumba mwanamke unajidhalilisha


MY DEAR, HUWEZI AMINI NDOA YANGU INA AMANI TENA SANA BAADA YA MIMI KUACHA KUMFUATILIA NA KUMRUHUSU AENDE HUKO, SASA NDO AMEANZA KUWASEMA MAHAWARA ZAKE KWANGU! Sasa ananifuatilia mimi, full wivu hata nikienda dukani. kila kona ananibana. HE CANT BELIEVE SINA TIME NAE.
ha ha ha jamani why dont u get the point, MPENDE AKUPENDAYE
 
mbona hii ni sifa?? tena inaonyesha wazi kwamba yeye na mkewe hawajali mambo ya kipuuzi kama nyie. sasa mtakula viuno?? better for him.

HE MAKUBWA sifa ipi hapa? PESA NAIJUA VILIVYO NA NINAYO KIASI CHAKE NA NAJUA KUIKIMBIZA MIE TENA KUPITA MAELEZO WANGU.
 
mbona hii ni sifa?? tena inaonyesha wazi kwamba yeye na mkewe hawajali mambo ya kipuuzi kama nyie. sasa mtakula viuno?? better for him.

Achana na huyu, keshavurugwa. Alidhani ndoa ni nyonga, sasa amekamatwa kwenye kupika kusema ukweli hataki. Mwanamke asiyejitambua huishia ujifariji na wanaume hovyo hovyo kama mbwa wa mtaani bila kujali hata kansa ya shingo ya kizazi huletwa na ufuska.

Hakuna mwanaume aliyeshindikana kama mwanamke anajua anachofanya. Kwa falsafa zangu mwanaume ana hitaji moja tu na mkewe anaweza kumpatia. Huyo kashindwa jambo moja....alamsik, ameshanchosha!
 
Muosha huoshwa.
Mla cha mwenzake na chake huliwa.
 
MY DEAR, HUWEZI AMINI NDOA YANGU INA AMANI TENA SANA BAADA YA MIMI KUACHA KUMFUATILIA NA KUMRUHUSU AENDE HUKO, SASA NDO AMEANZA KUWASEMA MAHAWARA ZAKE KWANGU! Sasa ananifuatilia mimi, full wivu hata nikienda dukani. kila kona ananibana. HE CANT BELIEVE SINA TIME NAE.
ha ha ha jamani why dont u get the point, MPENDE AKUPENDAYE

You can fool your old body but not me. Umekuja hapa kulalamika kuwa mumeo anakusema kwa hawara zake hii hapa nikukumbushe
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo!

mara hii tena umebadili tune kuwa ni hawara za mumeo ndio wanasemwa kwako. Huna haja ya kujifariji kijinga hivi mwanamke, unajidhalilisha.

Kudhihirisha ulivyo mpumbavu, angalia hizo RED. Wewe unasema ndoa ina amani, wewe huyo huyo unasema UMEGEUZA UCHI WAKO DUST BIN kwamba kila mwanaume mwenye kujisikia akupandie ili umkomoe mumeo, halafu wewe huyo huyo unajifariji kuwa una amani.

You are beyond repair, nimekupa fursa ya kukusaidia matatizo yako kama utataka. Lakini ukumbuke kuwa hata sasa msimamo wangu ni kuwa wewe ndio una matatizo na hujitambui kwa hiyo kama utaamua kunitafuta, jua kuwa nitadeal na wewe sio mumeo. Ukubali kubadilika, narudia tena hayo mambo unayofanya na mumeo yatawaacha pabaya, ni ujinga
 
achana na huyu, keshavurugwa. Alidhani ndoa ni nyonga, sasa amekamatwa kwenye kupika kusema ukweli hataki. Mwanamke asiyejitambua huishia ujifariji na wanaume hovyo hovyo kama mbwa wa mtaani bila kujali hata kansa ya shingo ya kizazi huletwa na ufuska.

Hakuna mwanaume aliyeshindikana kama mwanamke anajua anachofanya. Kwa falsafa zangu mwanaume ana hitaji moja tu na mkewe anaweza kumpatia. Huyo kashindwa jambo moja....alamsik, ameshanchosha!

wanaume bwana. Anyway ila umenielewa. Piga kazi na kuwa kiongozi wa familia. We si ni kichwa, tangu lini kichwa kikaendeshwa na kiwiliwili jamani.
 
we kaka mbona mgumu hivyo jamani. Ninachomaanisha ni kwamba, Koran intoa ruhusa mume mmoja wake 4 na kuna justifiable grounds zimetolewa na kuna conditions pia(kama sikosei) ambayo moja wapo ni kuwapenda na kuwaridhisha wote sawa.Tatizo la wakiristu, mme 1 mke 1 then mume anakua na mahawara 2 nje ambao ndo anawapa mahitaji kuliko mkewe, SASA IPI BORA JAMANI. MI NI MKATOLIKI SAFI TENA TUMSIFU YESU KRISTU KAKA ILA AM REALISTIC WHEN IT COMES TO CERTAIN ISSUES OF LIFE.

kajikague tena ukristu wako mjomba.....
 
You can fool your old body but not me. Umekuja hapa kulalamika kuwa mumeo anakusema kwa hawara zake hii hapa nikukumbushe


mara hii tena umebadili tune kuwa ni hawara za mumeo ndio wanasemwa kwako. Huna haja ya kujifariji kijinga hivi mwanamke, unajidhalilisha.

Kudhihirisha ulivyo mpumbavu, angalia hizo RED. Wewe unasema ndoa ina amani, wewe huyo huyo unasema UMEGEUZA UCHI WAKO DUST BIN kwamba kila mwanaume mwenye kujisikia akupandie ili umkomoe mumeo, halafu wewe huyo huyo unajifariji kuwa una amani.

You are beyond repair, nimekupa fursa ya kukusaidia matatizo yako kama utataka. Lakini ukumbuke kuwa hata sasa msimamo wangu ni kuwa wewe ndio una matatizo na hujitambui kwa hiyo kama utaamua kunitafuta, jua kuwa nitadeal na wewe sio mumeo. Ukubali kubadilika, narudia tena hayo mambo unayofanya na mumeo yatawaacha pabaya, ni ujinga

MY DEAR BRO! Mbona unawaka kana kwamba unanijua?
Ukweli ndoa yangu ina amani kwakua simsumbua tena hubby kumfuatilia na sina wivu kwake tena! sasa siku hizi ananifuatilia sana ili kujua why nimemdelete ghafla, na pia anajipendekeza kwa kuniambia mabaya ya hawara zake(ambao ni wake za watu). NDOA TUNAELEWANA SANA TU, ILA HAJIAMINI MAANA SIKU HIZI HATA SIMFUATILII! HATA NDOA YA HAWARA YAKE PIA INA AMANI KWAKUA ANAMALIZA STRESS ZAKE ZOTE KWA MUME WANGU!

HABARI NDO HIYO, UKIONA MKEO HANA TIME WALA WIVU NA WEWE, mulika mwizi mennnnnnnnnn ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom