Wanaume na Wanawake wengine bhana! Sijui ikoje

Mhhhhhhhhhhh huyu mdogo wake,pacha au ndugu wa mzabzab bila shaka.
Mi ndomana sito owa hakuna faida yoyote unamke afu unagongewa taendelea kuwagegeda na kusepa hamna kuweka kambi
 
Last edited by a moderator:
Naona hujanielewe, i used to complain but i stoped baada ya kukaa na kutafakari kuhusu ndoa kama taasisi na mapenzi kama hisia. mimi sijalalamika, ninachofanya ni kutoa ushauri kwa waume na wake. Mume ukiamua kutoka, basi we nenda kaenjoy na hawara yako kimpango wenu sio kutoa siri za ndani huko.Pia chagua mwanamke ambae ana akiri ya kiutu uzima(mature) sio mishangingi kama DA sOPHY.

Na kwa wanawake pia, kama umeamua kutembea na mume wa mtu, basi huna haja ya kumsimanga mkewe wala kumtusi jamani, we ruka na mumewe kivyako. NDO MANA NASEMA KIMYA KIMYA, INFACT MUME WANGU ANGEJUA KUDHIBITI MAHAWARA ZAKE, KWELI NISINGEFIKA HAPA.

PIA WAUME MUWE MNAPIGA NJE KWA KUBIP SIO UNAMALIZA NGUVU ZOTE NJE THEN KWA WIFE UNAFIKA KUSIMAMISHA SHUGHULI.

AH SOMO HILI,MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.

Unapohalalisha uzinzi na uasherati fahamu fika kuwa umefika kikomo!
 
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni mwanaume au jike dume tu! uko bize kugonga wake za wenzio, na wa kwako aende wapi? Ushauri wa bure kwa waume, JAMANI UKITOKA NJE PLIZ PLIZ ANGALIA NA WA KUTOKA NAE, PIA CONCETRATE NA HUYO HAWARA YAKO SIO KUMSEMASEMA MKEO.Inahusuuu

kwa wake za watu wenzangu, najua wengi wa wake za watu wanagongwa sana siku hizi tena wanagongwa na waume za wenzao. SASA BASI UKIAMUA KUJIPOOZA KWA MUME WA MWENZIO, USIJIONE UPO JUU, MAANA HADI UKAGONGWE NA MUME WA MWENZIO HALI WE NI MKE YA MUTU, INA MAANA NDOA YAKO PIA IMEKUSHINDA AU IMEKUCHOSHA.

Ndo maana sipendi kusherekea hat sijui WOMEN'S DAY, UPUMBAF MTUPU.

wee una akili sana
 
haa kumbe ndo sir ya ndoa hiyo.!!
Kama ni hivyo wacha tufanye usajil wa muda na si ndoa tutakufa kwa presha. Full kugegenda na kusepa.
Lkn pole
 
ume elimika wewe
Kaelimika wapi huyo bado mtoto tu, uchagua ndoa, matatizo lazima. usipoa pia matatizo zaidi senior bachelor umesikia.

MBONA KUNA KANUNI ZA KUDHIBITI MAHAWARA, WAUME JIFUNZENI MSIWAPE WAKE ZENU STRESS MKAPA MKASAIDIWA JAMANI. MWANAMKE AKITOKA NJE HUWA KUNA SABABU ZA MSINGI, WATU MNAKIMBILIA KULAUMU ETI MALAYA
 
Inaelekea umekasirika sana kwa kuchukuliwa mumeo na baadaye ukatambiwa. Pole sana, si ndio mambo mnayofundishana hapa MMU na saa zote mnajadili hayo?

Ndani ya Yesu speed governor ni AUTO, hakuna mume wala mke anayerukaruka. Karibu uishi maisha ya amani.

Ni sikukuu ya WANAWAKE na sio ya WAKE ZA WATU, hata wajane inawahusu.
 
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni mwanaume au jike dume tu! uko bize kugonga wake za wenzio, na wa kwako aende wapi? Ushauri wa bure kwa waume, JAMANI UKITOKA NJE PLIZ PLIZ ANGALIA NA WA KUTOKA NAE, PIA CONCETRATE NA HUYO HAWARA YAKO SIO KUMSEMASEMA MKEO.Inahusuuu

kwa wake za watu wenzangu, najua wengi wa wake za watu wanagongwa sana siku hizi tena wanagongwa na waume za wenzao. SASA BASI UKIAMUA KUJIPOOZA KWA MUME WA MWENZIO, USIJIONE UPO JUU, MAANA HADI UKAGONGWE NA MUME WA MWENZIO HALI WE NI MKE YA MUTU, INA MAANA NDOA YAKO PIA IMEKUSHINDA AU IMEKUCHOSHA.

Ndo maana sipendi kusherekea hat sijui WOMEN'S DAY, UPUMBAF MTUPU.

He he he he!!! Yamekukuta eehh!! Pole sana. Unachezea dunia!!!!.
 
mie bidada kwa leo umeongea ne o zuri sana. kweli wanaume kuonja nje ipo ila sasa sio wamega nje mpaka mkwo anajua....hii ni kwa sababu wanaweka vi small house. mwanaume ukishaoa wee ni one nyt stands tuu...umeona mrembo unambenjua na kumgegeda yanaisha....we hawara anamtukna mkeo basi weee sii mwanaume tena hapo
 
Unapohalalisha uzinzi na uasherati fahamu fika kuwa umefika kikomo!

WE vipi kwani we hujawahi gonga mke wa mtu au hata kutongoza! jamani tukubali tukatae, uzinzi ulikuepo na utaendea tena sana mpaka hapo wanaume WATAKAPOBADILI TABIA. NAJUA WANAWAKE TUPO WENGI ZAIDI DUNIANI, CHA MSINGI MWANAUME UKIAMUA KUA NA ZAIDI YA MMOJA BASI TREAT THEM FAIRLY WITH RESPECT.

Mi ni mkatoliki, ila hii ishu ya ndoa ya mke mmoja ni matatizo tu. Bora Koran imetoa mwongozo realistic.
 
Jukwaa lenu hili mna kazi sana. Kabla hayajawakuta mnakuwa bize kushangilia upuuzi, yakiwakuta mnakuwa wakali kwelikweli, haya bi mdogo, naamini wamekusikia wenzio, sasa hivi wakimchukua watakuwa hawajitapi.....tehe tehe tehe!
 
He he he he!!! Yamekukuta eehh!! Pole sana. Unachezea dunia!!!!.

ha ha ha ha yalinikuta tangu zamani dear, ila nimeamua kukubaliana na ukweli na ndo mana nimeamua kushare. Ila watu wagumu kuelewa especially wanaume, sijui wakoje hawa wanaume jamani,
 
Jukwaa lenu hili mna kazi sana. Kabla hayajawakuta mnakuwa bize kushangilia upuuzi, yakiwakuta mnakuwa wakali kwelikweli, haya bi mdogo, naamini wamekusikia wenzio, sasa hivi wakimchukua watakuwa hawajitapi.....tehe tehe tehe!

Hujanielewa, hilo somo ni kwa wanaume zaidi! wamchukue kwa raha zao, na mie najisevia napopajua kwa raha zangu kimya kimya.
ha ha ha ha nitaitwa malaya leo hadi nikome
 
WE vipi kwani we hujawahi gonga mke wa mtu au hata kutongoza! jamani tukubali tukatae, uzinzi ulikuepo na utaendea tena sana mpaka hapo wanaume WATAKAPOBADILI TABIA. NAJUA WANAWAKE TUPO WENGI ZAIDI DUNIANI, CHA MSINGI MWANAUME UKIAMUA KUA NA ZAIDI YA MMOJA BASI TREAT THEM FAIRLY WITH RESPECT.

Mi ni mkatoliki, ila hii ishu ya ndoa ya mke mmoja ni matatizo tu. Bora Koran imetoa mwongozo realistic.

Idiot!

Tena bora uishie hapo hapo. Kuna mtu alikuzuia kuwa Muislam? Uzinzi unakufanya sasa unasahau muongozo wa imani yako. Huyo mumeo kachukuliwa na nani inaonekana una jazba sana. Manake sasa umerukia kanisani nako unalaumu.

Hebu niambie Koran inatatua vipi huo uzinzi wako na mumeo na kwa nini ujahamia huko?
 
jukwaa lenu hili mna kazi sana. Kabla hayajawakuta mnakuwa bize kushangilia upuuzi, yakiwakuta mnakuwa wakali kwelikweli, haya bi mdogo, naamini wamekusikia wenzio, sasa hivi wakimchukua watakuwa hawajitapi.....tehe tehe tehe!

na wewe kama una mke pia, punguza kupiga nje bwana! Ndo mana midume ya siku hizi nguvu hamna kama mababu wa zamani. Najua ujumbe umeupata kaka
 
Idiot!

Tena bora uishie hapo hapo. Kuna mtu alikuzuia kuwa Muislam? Uzinzi unakufanya sasa unasahau muongozo wa imani yako. Huyo mumeo kachukuliwa na nani inaonekana una jazba sana. Manake sasa umerukia kanisani nako unalaumu.

Hebu niambie Koran inatatua vipi huo uzinzi wako na mumeo na kwa nini ujahamia huko?

WE NDO IDIOT NAMBA ONE.

kwani nani asiyejua kwamba Koran ni realistic kwenye hii ishu ya ndoa, polygamy is the best. Ndo mana ndoa zinazoongoza kwa matatizo ni za wakiriso. tuwe wa kweli jamani. Kwaresma njema
 
WE vipi kwani we hujawahi gonga mke wa mtu au hata kutongoza! jamani tukubali tukatae, uzinzi ulikuepo na utaendea tena sana mpaka hapo wanaume WATAKAPOBADILI TABIA. NAJUA WANAWAKE TUPO WENGI ZAIDI DUNIANI, CHA MSINGI MWANAUME UKIAMUA KUA NA ZAIDI YA MMOJA BASI TREAT THEM FAIRLY WITH RESPECT.

Mi ni mkatoliki, ila hii ishu ya ndoa ya mke mmoja ni matatizo tu. Bora Koran imetoa mwongozo realistic.

Nashukuru kwa somo...! Ni-PM unielekeze ni wapi nikuletee Vitz ili uweze kuwa unakata mitaa kwa urahisi...!
 
Hivi we dume zima umeoa na watoto, eti daily uko bize kugegeda wake za wenzio na kutoa siri za mkeo kwa hao mahawara zako, mpaka wanamtusi mkeo! Na wewe upo tu huwezi kuwadhibiti hivi na wewe ni mwanaume au jike dume tu! uko bize kugonga wake za wenzio, na wa kwako aende wapi? Ushauri wa bure kwa waume, JAMANI UKITOKA NJE PLIZ PLIZ ANGALIA NA WA KUTOKA NAE, PIA CONCETRATE NA HUYO HAWARA YAKO SIO KUMSEMASEMA MKEO.Inahusuuu

kwa wake za watu wenzangu, najua wengi wa wake za watu wanagongwa sana siku hizi tena wanagongwa na waume za wenzao. SASA BASI UKIAMUA KUJIPOOZA KWA MUME WA MWENZIO, USIJIONE UPO JUU, MAANA HADI UKAGONGWE NA MUME WA MWENZIO HALI WE NI MKE YA MUTU, INA MAANA NDOA YAKO PIA IMEKUSHINDA AU IMEKUCHOSHA.

Ndo maana sipendi kusherekea hat sijui WOMEN'S DAY, UPUMBAF MTUPU.
Ukisikia mtu analia ujue jiwe limemgonga, puuuu !
 
Inaelekea umekasirika sana kwa kuchukuliwa mumeo na baadaye ukatambiwa. Pole sana, si ndio mambo mnayofundishana hapa MMU na saa zote mnajadili hayo?

Ndani ya Yesu speed governor ni AUTO, hakuna mume wala mke anayerukaruka. Karibu uishi maisha ya amani.

Ni sikukuu ya WANAWAKE na sio ya WAKE ZA WATU, hata wajane inawahusu.

ah wapi tena nyie mnaojifanya watu wa dini ndo balaa! Mi sina hata hasira Wangu nimeamua tu kutoa somo sasa watu hawaelewi
 
Hujanielewa, hilo somo ni kwa wanaume zaidi! wamchukue kwa raha zao, na mie najisevia napopajua kwa raha zangu kimya kimya.
ha ha ha ha nitaitwa malaya leo hadi nikome

Na wala hutaweza kubadili maneno nikakuelewa. You are such an idiot who erupts like a furious volcano and curse everybody for your own mistakes. Mume wako kufanya umalaya hakuhusiani na Ukatoliki, pengine ni wewe UNANUKA, MCHAFU, UNA MDOMO, HUJUI MAPENZI n.k.

Kama kujisevia unapopajua mwenyewe ndio fasheni ya maisha yenu na mumeo, huna haja ya kusema wewe ni Mkatoliki, una jina tu la Kikristo. Endeleeni kutafuta magonjwa na Mungu atawalipa kwa upumbavu wenu na kadiri ya haja zenu.
 
Huyooo yamemkuta huyoo mwenzetu bana.
Ukiona mmeo anaenda nje na kukusema hovyo kwa hawara yake.jua wazi kakuchoka na tabia zako uchafu wa mwili na wa nyumba na mauchafu mengine kibao na makero kwa ujumla.kuwa makini mama mwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom