Nihakikishie Ayanda/, umeacha/ utaacha?aisee una akiri. huu ujumbe uende kwa midume yoteeeeeeeeeeeeeee kazi kufukuzia wake za wenzenu na wakwenu mnawaacha home, mkisaidiwa mnapata stroke
huwezi jua hawara wa mume wangu ni mkeo kaka! NA PIA HUWEZI JUA LABDA TUPO PAMOJA KWENYE ILE tupo wangapi network! take it easy. NILIKU MKALI KAMA WEWE
Matendo yako hayana justification, wewe ni kicheche tu .
nitakua samaki samaki mida ya saa mbili jamani. karibuni kwa wale tunakula bata tu mliofunga mfungo mwema jamani.
ha ha ha kama nawaona vile
Nihakikishie Ayanda/, umeacha/ utaacha?
Humpati mtu hapa, imedoda hiyo. Kama mumeo haitaki anaendea nyingine maana yake haina market. Mi nataka ya kugombania
Kama mnafahamiana vile?huwezi jua hawara wa mume wangu ni mkeo kaka! NA PIA HUWEZI JUA LABDA TUPO PAMOJA KWENYE ILE tupo wangapi network! take it easy. NILIKU MKALI KAMA WEWE
Kinawashwa tu hicho hakina lolote. Unajua nini, kuna videmu visipotongozwa wiki nzima huwa vinaumwa kichwa. Sasa kwa akili yake anajua akiwaambie wanaume kuwa ana ugomvi na mumewe basi watamchangamkia, ndio maana kaaga kwa style kuwa leo atakuwa na mumewe just kujifanya ana market.
Kitakuwa kinukamkojo tu cha kabila la kina Pazi
Kama mnafahamiana vile?
Nyinyi hamjajua huyo kicheche anatafuta mabwana hana lolote. Anajifanya ana mambo mengine lkn ukimchunguza hana lolote zaidi ya kutafuta watu wa kumgegeda. Hana mume wala nini, ni kiruka njia tu
Matendo yako hayana justification, wewe ni kicheche tu .
You better decide before it is too late; wakati uliokubalika ni sasa.ha ha ha ha ha nitaacha mwakani, seriously am having gud time and the best of my life. jamani sometimes ukichukulia life easy hata mwili unakuja tu hata kama maisha magumu. Watu wakali humu as if hawagongi wake za watu au kugongwa na waume za watu. HUU UNAFIKI HUU.
NITAACHA DEAR, HA HA HA BYE BWANA
jamani this is too much for me, i wonder wapi watu wanapata guts za kuwasema ma hawara zao, waume zao kwa namna hii.
huku sasa sio kujidhalilisha mwenyewe??
ziko wapi zile enzi ndoa ilikuwa na heshima yake.
iko wapi enzi ndoa zilikuwa ni siri ya wawili
zi wapi enzi ndoa ilikuwa ni kumbato la wawili.
yumkini watu hawajui kwann wahenga walidai kitanda hakizai haramu
yumini hawajui kwann watu husema ukimkuta baba kavaa kanga ya mama yako usiulize baba yuko wapi enh!
halafu mbaya zaid wanawake ndio wiki hii yote tumekaa kulichafua jamvi kwa mambo mabaya yanayoonyesha kushindwa kwetu kulea ndoa zetu. badala ya kufukiri tutarejesha vipi upendo na amani ya ndoan mwetu, namna gani tutaish kulea watoto siye tunafikiri kuharibu ndoa.
naomba niekewe wimbo huu hapa na yyte yule ayeweza
"" watoto wa nyumba zote""
sweetlo gfsonwin huo wameimba makuburi mt. Kizito, nitakuwekea ila CD ukirudi home kama heshima ya siku ya wanawake duniani maana familia zinayumba kweli na wiki hii hapa MMU tumetikiswa