Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Nani kakudanganya?
Basi ziwe fupi fupi, maana mwanaume nae akiwa mweupe wala hanogi.
Lakini utakuta mwengine ameifuga mivuzi hiyo, tembo anaweza akaingia na kujificha.
Afu sasa ukute ni kipilipili, afu zina u-brown.
Jamani ee..mtavikata vinyama vyetu kwa steel wire zenu.
Nyoeni.

Madame B ahsante sana kwa kunisaidia afu yanakata kule mahali
 
Ndo nlipochoka. mwanzoni nlifikiri mara nne kwa siku kumbe kwa wiki!!! Yani ukirudia kwa siku mbili poa tu!! Kabibi kenu mbona kataniua kakijua nimerudia? Katika hali ya kawaida utarudiaje boxer? Uvivu wa kufua au?

huo uvivu utakuwa umepitiliza, halafu mara nyingi pia mnafuliwa, halafu nikukute umerudia ndio utaniambia sasa.
 
kama ww ni mwanamke, ukikutana na mwanaume ana-shave vizuri huko mahali na anavaa boxer safi na inayong'aa tena nyeupe ujue huyo ana mke au mpnz anayemfanyia huo usafi. hawa wenzetu usipowasaidia kwenye huo usafi, hawaoni tabu kuvaa boksa wiki nzima. mbaya zaidi mkikutana atataka blowjob na boksa yake aliyovaa wiki nzima

Aaaah venine...wengine ni wasafi by nature na tuko single kama kawa. Ni mazoea ya mtu tu na jinsi anavyojichukulia yeye mwenyewe. Usafi ni muhimu hata kama uko peke yako.
 
Nani kakudanganya?
Basi ziwe fupi fupi, maana mwanaume nae akiwa mweupe wala hanogi.
Lakini utakuta mwengine ameifuga mivuzi hiyo, tembo anaweza akaingia na kujificha.
Afu sasa ukute ni kipilipili, afu zina u-brown.
Jamani ee..mtavikata vinyama vyetu kwa steel wire zenu.
Nyoeni.

Madam,
Shikamoo
 
Hayo ni mambo ya matozi sisi wagumu tunavaa boksa moja kwa wiki nzima na tunanyoa mara moja kwa kila miezi minne.
Nalog off

Kaka umeua,kama ndevu zangu tuu siku tatu zimeota. Sasa hiyo miezi minne duhh.Mia
 
Dah kaushaa,Madam B atakuja hapa itakuwa noma.

Kama noma na iwe noma.
Mfue Boxer hizo...nyingine zinaachama mpaka mipira inalegea na kubaki kama nyavu za kuvulia samaki lakini mnazivaa tu.

Soksi pia jamani...
Khaa!
Afu wewe aloycious mbona wewe waogopa sana?
Upo upande wa Boxer au Soksi!
 
Last edited by a moderator:
Sijambo. Sasa Madam utakuta mtu kaoa ana mke nyumbani au anamchumba wake bado ananuka boxer labda na msitu anao. Nani alaumiwe sasa

Kwa hiyo nikisafiri utavaa boxer hiyo hiyo moja huku unanisubiri nirudi kukufulia?
Na mivuzi yako hautainyoa mpaka mie nirudi?
...basi shughuli.
 
Kama noma na iwe noma.
Mfue Boxer hizo...nyingine zinaachama mpaka mipira inalegea na kubaki kama nyavu za kuvulia samaki lakini mnazivaa tu.

Soksi pia jamani...
Khaa!
Afu wewe aloycious mbona wewe waogopa sana?
Upo upande wa Boxer au Soksi!

Madam,
Mie kiukweli mie nina boxer mbili za tommy,mchanganyiko wa microfiber 90% na elastane 10%,najitahidi sana kuzifua fua,siku mbili mbili.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo nikisafiri utavaa boxer hiyo hiyo moja huku unanisubiri nirudi kukufulia?
Na mivuzi yako hautainyoa mpaka mie nirudi?
...basi shughuli.

Kuna wanaume kufua ni mtihani,acha umemfulia hizo boxer na umemnyoa.
 
Madam,
Mie kiukweli mie nina boxer mbili za tommy,mchanganyiko wa microfiber 90% na elastane 10%,najitahidi sana kuzifua fua,siku mbili mbili.

Mwanaume una boxer 2?
Una demu kweli wewe!
Kwa hyo umezigawa, mchana ya kwake na usiku ya kwake...
Ya usiku ina mialama ya kujipiga mibao...na ya mchana mbele pameongezeka ukubwa kwa dude kusimama kila mara kushangaa warembo.
Hahaha!!!
 
Back
Top Bottom