Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Wewe ni mkaguzi kwa upande wa pili shem kama alivyo Asprin anaetuwakilisha sisi wa upande wa kwanza..?

Ndio shem wangu.
Napaswa niwakague maungo yenu jinsia ya Me.
Ila tatizo moja, wengi hawataki niwashe taa wakati nawakagua,
Walitaka taa zizimwe kisha niwapapase tu.
Kazi ya ukaguzi, ni ngumu sana shem.
 
Last edited by a moderator:
Habari ya hapa
Huyo unayemuongelea ni yuleyule wa Kenya au mwengine huyo, ulikuja kutuambia kuwa una mchumba wa Kenya
 
Hayo ni mambo ya matozi sisi wagumu tunavaa boksa moja kwa wiki nzima na tunanyoa mara moja kwa kila miezi minne.
Nalog off

Sikutegemea manenow kama haya. ni hataree. naimagine harufu inayotoka hapo kwako. boxer wiki nzima sio mchezo
 
Sikutegemea manenow kama haya. ni hataree. naimagine harufu inayotoka hapo kwako. boxer wiki nzima sio mchezo

Itategemea upo wapi na unaivaa vipi. Mbona kawaida tuu sister
 
Jitahidini kukwangua nywele za sehemu ya siri na nywele za kwapani.

Pia bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki.

Ni ombi tu
kwanza pole kwa jamaa yako kuwa hivyo, ujue wanaume wote sio kama huyo wa kwako, nguo ya ndani ni kama hizi za kawaida tunabadilisha kila siku, hivi unawezaje kurudia nguo ya ndani marambili...? hebu kuwa muwazi kwa mwenzio ajitahidi kwa usafi! ikiwa vipi mnunulie nyingine.
Au hebu mpangie hizo mara nne kwa wiki....
 
hii post unatudhalilisha tu wanaume....nilikutana na girl tunakutana first time,joto la dar kavaa t-shirt ya mikono mifupi(that is ok),,,,i was happy kumwona nikamkumbatia,nikashangaa mwenzangu anabana vikwapa hajifeel free,nikachungulia nikaona kwapa zimelowa jasho yani maji kibao,kwapa zimenyolewa vizuri ila na ile jasho na maji ya humo mpaka ukungu mweupe...halafu bonge la mrembo
 
Back
Top Bottom