Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Hayo ni mambo ya matozi sisi wagumu tunavaa boksa moja kwa wiki nzima na tunanyoa mara moja kwa kila miezi minne.
Nalog off
 
Usijitoe fahamu hapa.
Boxer zenu mwisho buku 2 ndo wengi wenu mwazivaa, ambazo kuisha kwake ni kama tambara la deki.
Tupitishe ukaguzi!!!??
Smile anza na huyu...

boxer buku 2?

na unaivaa mpaka inakuwa kama chekeche au tambara la deki?

kizazi hiki cha sasa?

labda mateja wenu wa kinondoni aseeeeeh!
 
Huyo ameona bora to develop interest kwenye manywele maana ndo ulivyo, la sivyo atapoteza appetite kwako. Hebu nyoa uone atakavyofurahi.
Basi tuko tofauti .maana mimi manzi wangu anapenda kuyachezea mavuzi au hata nywele singa singa za kwapani. Akikosa kazi
 
Ahhh hiyo ndo tofauti kati ya me na ke ,!ni identity ya uwanaume toka enzi
 
boxer buku 2?

na unaivaa mpaka inakuwa kama chekeche au tambara la deki?

kizazi hiki cha sasa?

labda mateja wenu wa kinondoni aseeeeeh!

Koma na uishie hapohapo.
Au kwa kuwa hatuonani!
Yako ya sh ngapi, au wajilamba tu hapa jukwaani.
 
Usafi unaanza kwa mtu binafsi sawa unamfanyia kila siku usafi siku ukisafiri mwaka mzima inamaana huyo mpenzio atabaki mchafu mpaka urudi? mtu unatakiwa ujipende mwenyewe kwanza.
Hivi wanaume wanajuaga kufua na kuji shave wenyewe? Mi naonaga sisi ndiyo tunawafanyiaga hayo. Ukimkuta mchafu ujue demu wake au mke wake hamjali.
Mimi napenda kumtake care wa kwangu awe smart. Namnunulia boxers za kutosha za cotton, leso pamoja na vests, namfulia, na kuzipiga pasi, na kumshave kwapa mpaka kule chini... Huezi kumkuta mchafu never!!!
 
Nani kakudanganya?
Basi ziwe fupi fupi, maana mwanaume nae akiwa mweupe wala hanogi.
Lakini utakuta mwengine ameifuga mivuzi hiyo, tembo anaweza akaingia na kujificha.
Afu sasa ukute ni kipilipili, afu zina u-brown.
Jamani ee..mtavikata vinyama vyetu kwa steel wire zenu.
Nyoeni.
ha ha ha steel wire zao lol!
 
Swala la kujikwangua na topaz ni nzuri na usafi, ila tatizo ni pale unapojikwangua siku ya mechi ni hatari kwa afya yako hasa kwa wapenz ambao hawajapima na kujua afya zao manake unaweza kujichuna ngozi ikaleta maambukiz na hata ukitumia kondom yale maji maji ya ukeni yanaweza kusababisha uambukizo wa magonjwa.

Jikwangua siku 3 kabla ya mechi na spirit upake kama kuna mikwaruzo ipone mapema.
 
Jitahidini kukwangua nywele za sehemu ya siri na nywele za kwapani.

Pia bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki.

Ni ombi tu
302218_185733054832117_8109993_n.jpg
VH-Pants-Never-Get-Dirty.jpg
 
Nifue boxer kila cku kwani nina shimo linalotema utoko kama nyie masista duu ?? Mwanaume hata ukae mwezi na boxer, kamwe hainuki.. Jaribu wewe mwenye jitobo uone.. Mitobo yenyewe hata haipigwi mswaki..! Mnakera sana waschana wa mjini! Tumieni vim
 
huu utafiti utakupeleka pabaya , degree zingine hazifai kuwaniwa maana unaweza kumaliza na HIV + haya twende tu .
 
Back
Top Bottom