Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,607
- 59,726
Hawaijui hii point hawa mpaka wakishapigwa mimba anakuja kugundua jamaa ana mke na watoto 8 na picha anamwonyesha kisha anamwambia hio mimba nenda katoeHawa waliojipata hawawez kumsahau ma Ex aliyewavumilia wakat hawajajipata