- Thread starter
- #21
Mwamba kabakiza ngapi afike 40??Huyo kijana mwenzio ana 29 au 30?
Sasa ana tofauti gani na mwamba?
Angekuwa mwanao au dada ako ungemshauri aende kwa kijana wa hivyo especially mtu ni single faza
Kama ninyi mnavyokataa single maza na sisi tunakataa single faza broken