Wanaume msiwe wanafki kwenye hili

Wanaume msiwe wanafki kwenye hili

No reforms no election

Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda

Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7

Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote

Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??
Sio broken sema broke

images (99).jpeg
 
Unaolewa na potential ya mtu, unaangalia baada ya miaka flan huyu ninavyomwona atakuwa wapi? Hawa waliojipata hawawez kumsahau ma Ex aliyewavumilia wakat hawajajipata
 
Back
Top Bottom