Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

Nawaza babangu angenikataa ingekuwaje,Yani baba alivyo na upendo zamani nilikuwaga nakatazwa kulala kwa ndugu Yani watoto uwezi sema naenda kwa Bibi au kwa ancle kulala Mzee akubali kirahisi lazima ijulikane kwa Nini ulale ,tulikuwa tunaenda na kurudi Tena kwa ruhusa maalum
Lakini Leo hii Kuna mtu ajui mtoto anakula wapi,analala wapi Yani elmradi alishazalisha tu
Dady,I love you ungenikataa sijui Nani angenikubali duniani
Hata Kama atatokea mtu asiyenipenda nafarijika Sana coz najuwa my parents primarily loves me
Ukweli ni kwamba wanaume wengi siku hizi hatukatai watoto ila tunakataliwa kua na Access na watoto wetu af baadae yanaanza kulalamika
 
Point sana, siku zote huwa namuunga mkono Diamond
Kuna wanao kimbia au kukataa watoto. Uzeeni wakiwa na shida ndiyo hutafuta watoto wao.

Kuanzia umri wa miaka mitatu, ubongo wa mtoto unatunza kumbukumbu. Wengi mnakumbuka jinsi mzazi alivyokufundisha kuvaa kiatu cha mguu wa kulia na kushoto, kufunga kamba za viatu, kutandika kitanda, kwa wengine kucheza mpira pamoja au kuendesha baiskeli.

Kwa waliokosa haya kutoka kwa wazazi wengine wali iga mitaani na wengine imewaharibu ki saikolojia mpaka ukubwani.

Ume kaa miaka yote mnaishi kwa biashara ya mama ntilie anaofanya mama. Kuna siku ilibidi akakope kwa viongozi wa dini ili upate kwenda shule au matibabu. Leo hii kuna lizee linakuambia yeye ndiye Baba yako mzazi.
 
Mbona baba angu hakunilea na bado nampa msaada?

Hili jambo limekaa ki personal zaidi, inategemeana na roho na uwezo wako.

Umesahau uzi aloleta jamaa mmoja hapa akiuliza ni vipi watu wengine tumeweza kuishi na baba zetu?

So kuishi ama kutoishi na mzazi sio kigezo cha mtu kumsaidia huyo mzazi pindi anapokuwa na tatizo.
kusaidia hata watu wa barabarani uwa nawasaidia ila haimaanishi nna mapenzi nao ila ni huruma tuu..same to you unamsaidia baba ako coz una moyo uo ila eti si kwamba una mapenzi na sanaaaaa..
unadhani alikutendea haki au alikuwa sahihi?
alikua sahihi mana nafill ugum wa kukea mtoto peke ake tena katika maisha magum..bira mama angekua na uwezo kidogo afadhali..nimesoma kwa pesa za ndugu..YAANI MIBABA SPERM DONOR NAICHUKIA SANA...
 
Hahahaaa sperm donor?? Ofcoz kila Baba ni sperm donor Hilo hata halinishughulishi niko bize na ku donate sperm kwingine kwanza
Hahahahah ungekuwa hutelekezi watoto ningekutafute nami unipe mbegu,tatizo ukielshakojoa unasahau hata kwenda salimu damu yako
Anyway si kila mwanaume aliumbwa kuwa dady u know?
So have fun
Wazalisheeee na ukimbie mbiooo Kama Usain bolt cause that's ur career
 
Ukweli ni kwamba wanaume wengi siku hizi hatukatai watoto ila tunakataliwa kua na Access na watoto wetu af baadae yanaanza kulalamika
huwa sijui wanajaribu au wanatubeep,anakukatalia usimuone mtoto,unaachana nae unaanzisha familia nyingine baadae anaanza kulalamika humtunzi mtoto,
 
kusaidia hata watu wa barabarani uwa nawasaidia ila haimaanishi nna mapenzi nao ila ni huruma tuu..same to you unamsaidia baba ako coz una moyo uo ila eti si kwamba una mapenzi na sanaaaaa..

alikua sahihi mana nafill ugum wa kukea mtoto peke ake tena katika maisha magum..bira mama angekua na uwezo kidogo afadhali..nimesoma kwa pesa za ndugu..YAANI MIBABA SPERM DONOR NAICHUKIA SANA...
lakini bila huyo jamaa kumwaga hizo mbegu usingezaliwa,baba ni baba tu,mama ako sio ndugu yako baba ako ndo mchizi wako
 
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake,kwa nini haikuandikwa mwanaume??
Wanaume mngekuwa mnafuata maandiko basi msingekuwa mnasaliti wake zenu bila kujali sababu yoyote ile ila huwa nawashangaa kwenye mambo kama haya ndo huwa mnakumbuka maandiko ila kwenye maswala ya usaliti mnajifanya hamyaoni maandiko yaani mnachagua maandiko ya kuyafuata na ya kuyaacha shame
 
Hahahahah ungekuwa hutelekezi watoto ningekutafute nami unipe mbegu,tatizo ukielshakojoa unasahau hata kwenda salimu damu yako
Anyway si kila mwanaume aliumbwa kuwa dady u know?
So have fun
Wazalisheeee na ukimbie mbiooo Kama Usain bolt cause that's ur career
Sina haja ya kuendelea kuweka bonding na mtu ambae anataka kumtumia mtoto ka remote ya kunipelekeshea..
Amejifanya mjuaji it's fine alee mwenyewe mtoto angu sio taahira atanifuta tu mshua wake naeza nisimsaidie utotoni ila hata ukubwani naeza msaidia coz nia ninayo
 
sasa kwa t
lakini bila huyo jamaa kumwaga hizo mbegu usingezaliwa,baba ni baba tu,mama ako sio ndugu yako baba ako ndo mchizi wako
sasa kwa taarifa yako mm nimechukua kabila kwa mama na ubini wangu ni wa babu mzaa mama yaan kama baba angu asingefariki hata mahali yangu nisingetaka apewe..ni kweki kachangia mbegu ila kukua kwangu ilikua ni juu ya mama angeweza kuniua au kunitelekeza mahali but hakufanya ivo...na kwa kuingezea we dada mm baba angu alinikana kwa maandishi na sign kabisa kwenye karatasi mbele ya mjomba na babu yangu mzaa mama eti mimba si yangu...nimemsamehe. msiba wake kwangu ilikua ni kama nimefiwa na jirani tuu nilipopata taarifa baba ako alifariki nikaitika ahaa ok.

wanaume tunzeni watoto wenu.
 
Back
Top Bottom