Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

Kuna waume za watu huzalisha huko na hawataki wake zao wajue, wao wanapeleka hela tu. hela si kila kitu, mtoto atakumbuka ulivyompeleka hospitali akiwa na homa kali.

Hata kama ulitoa hela waende Agha Khan mtoto anamkumbuka mama yake waliye lala nae pale si mlipa bill
We dada utakuwa mtu mzima, maana si kwa busara hizi
 
Hahahahah yebaba
So anakuwa anambania hela ya matumizi kisa kanyimwa kitumbua?ila inavyofahamika wazazi wakiachana it means yanabaki mahusiano ya watoto tu,why mwanaume atake kumkula mwanamke ambaye ashamwacha na huenda ashaoa mwanamke mwingine?
Aisee hii ilitukuta kwenye familia yetu, dada yetu mkubwa alikuwa ana ugomvi mkubwa na bwana aliezaa nae kuhusu hela za matumizi ya mtoto kumbe chini ya kapeti ilikuwa ni ugomvi wa kunyimana papuchi ....kuja kugundua baadaye kumbe hawa watu wakiwa na nyege wanakutana chemba na kumalizana siku wakinyimana papuchi wanatuzuga na ugomvi wa matumizi ya mtoto!! Mi nilikuwa na tabia ya kumtetea ila kuja kugundua kinachoendelea nyuma ya pazia mbona nilikoma
 
kuna mama mmoja watoto wote wamemkimbia wamemfuata baba ao ukubwani, haipo general kiasi hivyo
 
X wngu alikuwa na kaz nzuri kipind hiko fast jet ndo habari ya bongo. Alikuwa ana hela kunizidi hali iliyopelekea kuniona mi kama namwekea wingu tu.
Dharau sana na kuniongelea vbaya kwa mashoga zake hadi kufikia hatua kusema tokea ujauzito sijawahi kuhudumia chochote, mtoto wetu wala yeye! Habari zikawa zinanifikia ila nkimuuliza anasema sio kweli hajasema hivyo.

Sitosahau siku nmejipiga piga nkamtumia kama 210k hivi lakin akarudisha jibu 'Asante ila sijakuomba hela mimi'
Aiseee hiyo ndo ilikuwa mara yang ya mwisho kutuma hela yoyote kwake mwaka juzi hiyo.

Mungu si Defao, baada ya fast jet kupigwa ban bongo nasikia mambo yamechange now hali ni ngum yupo tu nyumban haeleweki na ameanza usumbufu tena na lawama zaidi kuwa nmemtelekeza mtoto.
Sasa mwanamke km huyu hata uwe mwema kiasi gani akiamua kukuharibia kwa mtoto atakuharibia tu.
vipi hakuolewa tena
 
Wanawake tunaojielewa tunasema hivi kuliko tuolewe na wanaume wazinzi na waonevu ni bora tusiolewe kabisa na tusizae kabisa au tuzae tu bila kuolewa period

Baba yangu hakuwa mzinzi wala muonevu halafu ni nani aliyewadanganya kuwa utukutu wa mtoto unategemea na idadi ya wazazi aliolelewa nao?

Mbona kuna watoto wamelelewa na both parents lakini wamekuwa watukutu walioshindikana na kuna watoto wamelelewa na single parents lakini wamekuwa waadilifu wanaojielewa?

Halafu mbaya zaidi eti wanaolaumiwa ni single mothers tu ila single fathers hawalaumiwi hata siku moja no matter what the circumstances na ndo maana mimi kila siku nawaambia acheni kukariri maisha hayana kanuni moja na siku mtakapolitambua hili basi mtaacha kuteseka
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake,kwa nini haikuandikwa mwanaume??
 
Huo ni ukweli dada Sky, wewe Baba hukutaka kujenga bond na mwanao when he needed you most,bond inasaidia upendo kati ya Baba na mtoto,ukimjia ukubwani atajilazimisha tu kuwa na relationships na wewe kwa kuwa ni baba yake ila kukupenda NO! Halafu watoto wengi waliotelekezwa wanakuaga angry and confused hata wakipata partners wanakuwa insecured.
 
Mfano mzuri ni dayamond
Saivi mzee yule anatia huluma tu
Mama ndio anakula Bata kama loteee
 
Ila hebu sema ukweli na Mungu wako asikie,je uliwah kumhudumia toka mnaanza,kipindi Cha ujauzito,alipojifungua mtoto,mahitaj ya kichanga,ulimtunza uzazi?ama hukuwah jishughulisha kisa uliona ana kazi basi ukakaa pembeni kama huhusiki?jibu hili kwa ukweli wa dhati toka moyoni mwako

Nlianza nae akiwa hana kaz ingawa mi mwenyew mission town lakini nlijitahid kwwnda nae sawa hadi alipoanza kufanikiwa.
Sisemi kwamba nlikuwa na uwezo full time kukidhi shida zake na mtoto lakin nlijikuna mkono ulipofikia kwa hali na mali na kila alpokwama nlijaribu kuziba gepu. Mana alikuwa mtu wa maisha ya juu imagine nlikuwa najikamua kias gan ili kwenda nae sawa.
Leo anakupiga mzinga wa 1m ya kodi ya nyumba miez 6, unampatia kibish wakat mwnyew nayokaa nalipa 75k kwa mwez.. kesho kutwa anataka tena hela ya mtoto, ukikaa kmyaa inakuwa kesi 'ooh mtu mwenyew hatunzi mtoto'
 
Nyie leeni tu si mnajifanya mna viburi sa malalamishi ya nini tena.
Wakikua watatutafuta tu Baba zao au hua hamsikiagi huko kwny ma redio watu wapo bize kuwatafuta Baba zao
 
Nawaza babangu angenikataa ingekuwaje,Yani baba alivyo na upendo zamani nilikuwaga nakatazwa kulala kwa ndugu Yani watoto uwezi sema naenda kwa Bibi au kwa ancle kulala Mzee akubali kirahisi lazima ijulikane kwa Nini ulale ,tulikuwa tunaenda na kurudi Tena kwa ruhusa maalum

Lakini Leo hii Kuna mtu ajui mtoto anakula wapi,analala wapi Yani elmradi alishazalisha tu

Dady,I love you ungenikataa sijui Nani angenikubali duniani
Hata Kama atatokea mtu asiyenipenda nafarijika Sana coz najuwa my parents primarily loves me
 
Lakini Leo hii Kuna mtu ajui mtoto anakula wapi,analala wapi Yani elmradi alishazalisha tu

Dady,I love you ungenikataa sijui Nani angenikubali duniani

Hayo ndo yanaitwa madume suruale,tukisema tunaonekana hatuoleki,sifa kubwa ya mwanaume ni kuzalisha,kulisha,kusomesha na kuprotect his offsprings .Ukifel hilo ur an sorry a$$ of a man.
 
Nlianza nae akiwa hana kaz ingawa mi mwenyew mission town lakini nlijitahid kwwnda nae sawa hadi alipoanza kufanikiwa.
Sisemi kwamba nlikuwa na uwezo full time kukidhi shida zake na mtoto lakin nlijikuna mkono ulipofikia kwa hali na mali na kila alpokwama nlijaribu kuziba gepu. Mana alikuwa mtu wa maisha ya juu imagine nlikuwa najikamua kias gan ili kwenda nae sawa.
Leo anakupiga mzinga wa 1m ya kodi ya nyumba miez 6, unampatia kibish wakat mwnyew nayokaa nalipa 75k kwa mwez.. kesho kutwa anataka tena hela ya mtoto, ukikaa kmyaa inakuwa kesi 'ooh mtu mwenyew hatunzi mtoto'
Ok pole
Ila usiatelekeze damu yako,tembelea mwanao muhudumie kadiri ya uwezo wako usijiumize
Ukizira ama kukimbia trust me karma haitokuachaa,Hadi kizazi chako cha 4
Just play your part
Maisha yake ya ufahari mwachie ila usikubali nafasi yako Kama baba wa huyo mtoto ipotee,utalipwa kwa majira yake
Pia ukikimbia utalipwaa mtoto hana kosa hakuomba mumzae ilikuwa starehe zenu tu
 
X wngu alikuwa na kaz nzuri kipind hiko fast jet ndo habari ya bongo. Alikuwa ana hela kunizidi hali iliyopelekea kuniona mi kama namwekea wingu tu.
Dharau sana na kuniongelea vbaya kwa mashoga zake hadi kufikia hatua kusema tokea ujauzito sijawahi kuhudumia chochote, mtoto wetu wala yeye! Habari zikawa zinanifikia ila nkimuuliza anasema sio kweli hajasema hivyo.

Sitosahau siku nmejipiga piga nkamtumia kama 210k hivi lakin akarudisha jibu 'Asante ila sijakuomba hela mimi'
Aiseee hiyo ndo ilikuwa mara yang ya mwisho kutuma hela yoyote kwake mwaka juzi hiyo.

Mungu si Defao, baada ya fast jet kupigwa ban bongo nasikia mambo yamechange now hali ni ngum yupo tu nyumban haeleweki na ameanza usumbufu tena na lawama zaidi kuwa nmemtelekeza mtoto.
Sasa mwanamke km huyu hata uwe mwema kiasi gani akiamua kukuharibia kwa mtoto atakuharibia tu.
Duuuh! ni hatari
 
Back
Top Bottom