Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

Tena haya matoto ya siku hizi hovyo kabisa. Afadhali angalau zamani kidogo ilikuwa afadhali. Mtoto asinipende anipende sijali ila nitatimiza wajibu wangu kama mzazi mpaka atakapokuwa na uwezo wa kujitegemea. Baada ya hapo hata tusiposalimiana ni sawa. Hata nife peke yangu nizikwe na halmashauri ya jiji haina noma [emoji109][emoji109][emoji109]
ni kweli upo sahihi mkuu
 
Pole sky eklat,
In fact hili suala siku zote ni complex na ni non directional.
Hence, no one to point a finger at but every case is special and need research and its specific solutions
This is a fact,
Mimi kwa mfano,nilikuwa na mchumba angu,nikamlipia na mahari kabisa,akiwa na ujauzito!

Mke wangu mtarajiwa akiwa na ujauzito mkubwa kabisa,(kama miezi 7) kwa ushahidi usio na shaka aka-date na mwanaume mwingine!

Nilipombana sawa sawa kwa evidences akakiri kuwa kweli ali-date na jamaa mwingine,lakini ni shetani tu alimpitia!

Nikaamua kuahirisha ndoa,na kujinyamzia kimyaaa,naendelea kusikilizia hivi huyu mtoto ni wa kwangu kweli au niliambiwa tu kuwa ni wa kwangu?

Sasa katika kipindi chote hiki cha kusikilizia uhalali wa mtoto,matusi,kejeli na dharau nyingi zinavuma kunijia,(kwa kuwa sitoi pesa ya matunzo ya mtoto)

Lakini mama mtoto ananilaumu na kuniambia atamsimulia mtoto namna nisivyomtunza,lakini hasemi kuwa atamsimulia namna alivyonisaliti kikatili tena akiwa na mtoto tumboni!

Baadhi ya wanawake daaah.....
 
Hasa mama awe hana kazi anajua anamtegemea 100%, kodi atalipa kwa masimango, kitumbua ale na usimtafute mpaka yeye akutafute.
Well said utanyanyasika mpaka ukome ndo maana ni muhimu kujifunza kutokuwa tegemezi , zama za kukaa tu na kusubiri uletewe zimeshaisha
 
Kuna waume za watu huzalisha huko na hawataki wake zao wajue, wao wanapeleka hela tu. hela si kila kitu, mtoto atakumbuka ulivyompeleka hospitali akiwa na homa kali.

Hata kama ulitoa hela waende Agha Khan mtoto anamkumbuka mama yake waliye lala nae pale si mlipa bill
Hela hailei mtoto,Sijui kwa nn wababa wengi hawajui hilo, Hela inasaidia kumtimizia mahitaji yake muhimu tu.. So unaweza kutoa hela lakin presence yako ikikosekana basi mtoto hawez kujua efforts zako yy memory yake itajijenga ni mama ndo kafanya... Then wanasahau mapenz ya mama na mtoto ni (NATURAL) yanaanza kuanzia kwenye kutunga mimba but kwa baba mtoto ana (LEARN) kumpenda ndo maana inatakiwa uwepo wa baba esp pale ambapo mtoto anaanza kutengeneza kumbukumbu 3+
 
Hahahahah yebaba
So anakuwa anambania hela ya matumizi kisa kanyimwa kitumbua?ila inavyofahamika wazazi wakiachana it means yanabaki mahusiano ya watoto tu,why mwanaume atake kumkula mwanamke ambaye ashamwacha na huenda ashaoa mwanamke mwingine?
Wachache wenye huo uelewa yy anataka afanye mambo yake , awe na wanawake kiasi atakacho lakin ww ukae tu ukimsubiri siku akiwa na hamu ya KUKUTUMIA uwepo pale bila kizuizi akutumie kisha ndo atoe huduma .
Wanaume wengi wanakuwa na CHUKI, UBINAFSI, wa hali ya juu pindi mahusiano yanapoisha..
 
Kama Vile Wanawake Walivyo na Uzuri wa Ndani Ambao Huwezi Kuuona kwa Macho Ndivyo na Sisi Wanaume Tulivyo na Pesa za Ndani Sana Huwezi Kuziona kwa Macho


Lakini Zipo!
 
may be ni kweli mimba ilikuwa si yake,may be mama ako alikua malaya au alimbambikiza mimba huwezi jua, lakini hata kama ni kweli huyo ni baba ako,amemwaga mbegu umezaliwa wewe,angetumia condom usingezaliwa wewe
bora kutumia condom sasa baba angu ilo alishindwa namaanisha ndo uzembe alioufanya angetumia kinga nisingekuepo na ni bora ivo kuliko kuzaa afu uzingue mimba c yako....BORA ANGETUMIA KINGA LABDA NINGEKUA MTOTO WA MWANAUME MWENGINE MWENYE UWEZO NA AKILI ZA KULEA.
 
Back
Top Bottom