Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,123
- 62,114
Inasikitisha sana...kuna familia moja niliitembelea muda kidogo baba alipata pesa miaka hiyo baada ya muda pesa ikakata akatelekeza familia,mama ameachiwa watoto 6 ndio anapambana yeye mwenyewe bila msaidizi kuwahudumia kwa chakula na kila kitu,mbaya zaidi kuna siku inapita wanakula mlo mmoja...ni hatari sana.