PutinV
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 1,046
- 1,651
Kasema hawaitajiki na sio hawahitajikiKwanini hawahitajiki?
Kasema hawaitajiki na sio hawahitajikiKwanini hawahitajiki?
Hahahahah eti kaning'iniza Nini?Mafurushi ya hivyo baadae yanakuja na kauli kama "mzazi ni mzazi tu" kisa kaning'iza via vya uzazi.
Au atalaumiwa mama kuwa kamjaza sumu mtoto wakihisi watoto ni wajinga hawaelewi wala hawaoni kinachoendelea.
Kasema hawaitajiki na sio hawahitajiki
Mradi mtoto ni wako mwanaume wa kweli anaendelea kutunza.X wngu alikuwa na kaz nzuri kipind hiko fast jet ndo habari ya bongo. Alikuwa ana hela kunizidi hali iliyopelekea kuniona mi kama namwekea wingu tu.
Dharau sana na kuniongelea vbaya kwa mashoga zake hadi kufikia hatua kusema tokea ujauzito sijawahi kuhudumia chochote, mtoto wetu wala yeye! Habari zikawa zinanifikia ila nkimuuliza anasema sio kweli hajasema hivyo.
Sitosahau siku nmejipiga piga nkamtumia kama 210k hivi lakin akarudisha jibu 'Asante ila sijakuomba hela mimi'
Aiseee hiyo ndo ilikuwa mara yang ya mwisho kutuma hela yoyote kwake mwaka juzi hiyo.
Mungu si Defao, baada ya fast jet kupigwa ban bongo nasikia mambo yamechange now hali ni ngum yupo tu nyumban haeleweki na ameanza usumbufu tena na lawama zaidi kuwa nmemtelekeza mtoto.
Sasa mwanamke km huyu hata uwe mwema kiasi gani akiamua kukuharibia kwa mtoto atakuharibia tu.
Wanaume wachache wanakimbia familia sio kwa kuwatelekeza bali kwa ugumu wa maisha anakimbia ili akatafute maisha na akiyapata anarudi home ili achukue familia anakuta tayar mwanamke keshazalishwa tena kumamake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hebu sema ukweli na Mungu wako asikie,je uliwah kumhudumia toka mnaanza,kipindi Cha ujauzito,alipojifungua mtoto,mahitaj ya kichanga,ulimtunza uzazi?ama hukuwah jishughulisha kisa uliona ana kazi basi ukakaa pembeni kama huhusiki?jibu hili kwa ukweli wa dhati toka moyoni mwakoX wngu alikuwa na kaz nzuri kipind hiko fast jet ndo habari ya bongo. Alikuwa ana hela kunizidi hali iliyopelekea kuniona mi kama namwekea wingu tu.
Dharau sana na kuniongelea vbaya kwa mashoga zake hadi kufikia hatua kusema tokea ujauzito sijawahi kuhudumia chochote, mtoto wetu wala yeye! Habari zikawa zinanifikia ila nkimuuliza anasema sio kweli hajasema hivyo.
Sitosahau siku nmejipiga piga nkamtumia kama 210k hivi lakin akarudisha jibu 'Asante ila sijakuomba hela mimi'
Aiseee hiyo ndo ilikuwa mara yang ya mwisho kutuma hela yoyote kwake mwaka juzi hiyo.
Mungu si Defao, baada ya fast jet kupigwa ban bongo nasikia mambo yamechange now hali ni ngum yupo tu nyumban haeleweki na ameanza usumbufu tena na lawama zaidi kuwa nmemtelekeza mtoto.
Sasa mwanamke km huyu hata uwe mwema kiasi gani akiamua kukuharibia kwa mtoto atakuharibia tu.
Sasa kama baba ulijua kuwa mama atalea mtoto wake mwenyewe na ukamuacha kwanini baadaye urudi kutaka huyo mtoto? Na kweli wonders shall never end.Wakati unajipa kiburi kuwa ndoa sio lazima utazaa na kulea mtoto wako mwenyewe hukuyafikiria haya [emoji38][emoji38][emoji38]???
Wonders shall never end!
Na unajiona mwanaume kamili kabisa? Basi kuanzia leo naomba na mashoga nao waanze kuonekana kama wanaume kamili.mwanaume tunazalisha hata uzeeni.
mwanaume wa kweli ukizaa watoto wawili na mwanamke wa kwanza sikilizia kwanza kama wana akili ndo uzae tena, kama wajinga wajinga na wanamsikiliza sana mama yao my friend picha chuni wote kama Dr wa uchagani (rip) kisha piga mimba pengine hadi uone kuwa kuna mtoto mwenye akili ndipo utulie sasa.
usizani wanaume hatuwazi miaka 50 mbele, binafsi hata nikiwa 60 yy wakanikataa watoto ntaoa tena nazaa kabisa.
Point is usikimbie jukumu la kulea watoto wako ukikimbia ukarudi basi kubali kuchukiwa na watoto wako na ndo hali halisi ilivyo kwa dunia ya sasa hutaki jichimbie kaburi ujizikeBABA atabakia kua baba tuu hatamkatae vipii hilo ni biologicaly ukipinga utakua ni upumbavu wako tuuu..
Wakati mnapanua hamkujua kuna option zaidi ya moja kwenye malezi.?! Mnajenga chuki kwa watoto sababu ya ujinga wenu binafsi na visasi vyakipuzi..
Hasira zako husiamishie kwa watoto..uliyataka mwenyewe
Hahahahah shosti umewaamulia leo,Point is usikimbie jukumu la kulea watoto wako ukikimbia ukarudi basi kubali kuchukiwa na watoto wako na ndo hali halisi ilivyo kwa dunia ya sasa hutaki jichimbie kaburi ujizike
You have summarised it well without missing the point.Point is usikimbie jukumu la kulea watoto wako ukikimbia ukarudi basi kubali kuchukiwa na watoto wako na ndo hali halisi ilivyo kwa dunia ya sasa hutaki jichimbie kaburi ujizike
Hahahaha si ndio hapo sasaHahahahah shosti umewaamulia leo,
Naona kina daimond bongo wako wengi sana
Halafu wakijaona kina bi Sandra wanajilia mema ya nchi mibata,misafari kibao nje ya nchi wanaanza kwenda kulia kwa kina shigongo
Wahenga walisema kuzaa si kazi, kazi kulea mwana sasa akili kumkichwa we jisemeleshe baba atabaki kuwa baba ndio utakua baba jina lakini mtoto hatakupenda kama baba.
You have summarised it well without missing the point.
Wanawake wa aina ya mtoa mada hawaitajiki kwenye jamii...
Ulichosema ni sahihi kabisa wengi maisha yakiwa hayaeleweki wanakimbia lakini huo ni upimbi. Kama familia yako unaipenda mwanaume lazima ukomae kaa na mwenzio mtafute namna ya kukabiliana na hiyo hali ngumu na kama utaonyesha mapenzi ya dhati kwa mkeo utakula vinono hata hujui vinatoka wapi😀Wanaume wachache wanakimbia familia sio kwa kuwatelekeza bali kwa ugumu wa maisha anakimbia ili akatafute maisha na akiyapata anarudi home ili achukue familia anakuta tayar mwanamke keshazalishwa tena kumamake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]