Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,618
- 33,475
Na ndo tumewaachia huko sasa sisi Ndukiiiii🏃🏃🏃🏃
Vaa condom kama hutaki mtoto...yaani uko irresponsible afu una defend it,,,sijui una miaka mingapi,ila nakushauri uwe single for the rest of your life,hujui maana ya kuanzisha familia na kuchukua majukumu ya kuilea na kuitunza,I bet Baba yako alikukana, hujatokea kwenye secured home wewe umekosa upendo wa Baba/mama/familia na kuishi ndani ya familia, experience how to love and be loved by your parents and other siblings you might have,pole sana,...