Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Mwanamke akikuhonga pesa au kukusaidia, atajisifia kwa rafiki mpk habari zitakufikia na haitoshi mkiachana atakusema na kupata aibu kwa kila alichokusaidia hata kama ni mara chache mno.
-nilikuwa najinyima kisa yeye
-vocha namtumia mimi anaongea na wanawake zake
-mimi mbona nipo fair hata bf wa zamani tukitoka out mimi ndo nalipia maranyingi
-mimi sipo hivyo bf akiwa hana namtumia najua kuna kusaidiana.
-kama ingekuwa sio yeye ningekuwa mbali sasa hivi, nimepoteza pesa nyingi sana kwa ajili yake.
**wakati mwingine kutumia hela ya mwanamke ni kutumia hela ya mwanaume mwenzio.
Upo sahihi kabisa mkuu

Ndivyo walivyo wanawake wa kibongo

Ila labda wapo wa tofauti na waelewa wa dizain ya mtoa mada...ila wengi wa gals wa kibongo ndio wanaowadis men after.
 
Endelea kuhudumiwa, soon utaanza kudeki,ushambaboy unakuhusu

Sawa, lakini kama nadeki with heart au nahudumia garden yetu kama sehemu ya daily work out au maandalizi ya uwanja mpya wa libeneke siku hiyo shida ipo wapi ?
 
Ivi unataka kusema mwanaume asikupe hta mia kwa vile amekukuta mambo safi hutamwanzishia thredi?
 
Karanga na kijoti [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio asinipe hata mia, ila asinipe laki akabaki na 5000 kwenye akaunti.
Hapo umegusa penyewe mi pia nishawahi kuwa muhanga msione tunawapa hela vile au hata vile huwa tunaenda kuumilia maumivu gheto
 
Wanaume wengi, hasa wa JF wanalalamika sana kuwa wanawake tunataka wanaume 'wenye pesa' au waliofanikiwa tu. Pia kuonesha hii (kukubalika bila kuwa na pesa au kuhonga) ndio concern kwa wanaume wengi ni pale nyimbo nyingi za Kitanzania message ni hiyo hiyo, mfano: "Japo sina kitu,......", "Ukawaacha wenye pesa......" Tukilala njaa......"

Nikirudi kwenye mada, Kukosa pesa sio tatizo!!!!!

Mimi ni mtu ninayependa finer things in life. Napenda vitu vizuri na sisubirii mtu anipe. Kwenye kujipa raha sinaga subira wala uoga, najigharamia. Halafu kingine ni kuwa I am generous, sio mchoyo kabisa. Kuwa na mimi na utaexperience kila ninachoexperience. Ukiwa mtu wangu automatically ntakuinclude nikienda shopping, movies, nikipanga safari ya bata nakujumuisha na kila kitu.

Sasa unakuta uko kwenye mahusiano na mtu, akishajua jinsi unaendesha maisha yako anataka kujitutumua kukuimpress. Anataka kukupa huduma zile zile unazojipa mwenyewe au hata zaidi kwa pesa ambazo hana ili tu umuone bora zaidi. Inatia huruma!

Unakuta unamuinvite mtu out anataka kulipa wakati unajua kabisa hawezi kuafford, kwanini mnajitesa wanaume. Mtu ukishapendwa usiwe na hofu, ujue umekubalika ulivyo. Matokeo yake inabidi nishushe hadhi ya starehe zangu ili mpenzi aweze kuafford, ni kuikatili nafsi huko!!!!

Na mwanaume wa hivi atake kulipia kitu halafu umwambie hapana Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....mnuno wake hauishi leo. Atakuaccuse vitu kibao. Baada ya siku kadhaa unamkuta anakula karanga na kijoti, kisa kulipa Ankara zisizo zake.

Ndio maana wadada wanaishia kwa wenye nazo ili kuondokana na hali ya kuona huruma kila siku.
Mjirekebishe!!!!!!!!
Kweli wewe ni Zurie......,Mnuno,karanga na kijoti..ts strange but truth
 
Ni sawa lakini tatizo ni kwamba sio wanawake wote wapo kama ww.
 
Hapa km anasubiriwa mwanaume asiye na pesa basi hatotokea. Sote pesa tunazo ila shida ni kiasi cha pesa tulichonacho ukilinganisha na matumizi.
 
Wanawake wa aina hii wapo ila ni asilimia chache sana,... ila kwa jamii yetu yenye shida na umaskini wa hapa na pale bado pesa au mafanikio vitaendelea kuwa "chambo" au ushawishi mkubwa wa kuwa na mtu katika mapenzi
 
Back
Top Bottom