Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Kwakweli wasio na pesa leo wakupenda. Japo love ni more than money japo pesa ikikosekana inakuwa tabu.
Kosa ni kukosa pesa huo ndio ukweliWanaume wengi, hasa wa JF wanalalamika sana kuwa wanawake tunataka wanaume 'wenye pesa' au waliofanikiwa tu. Pia kuonesha hii (kukubalika bila kuwa na pesa au kuhonga) ndio concern kwa wanaume wengi ni pale nyimbo nyingi za Kitanzania message ni hiyo hiyo, mfano: "Japo sina kitu,......", "Ukawaacha wenye pesa......" Tukilala njaa......"
Nikirudi kwenye mada, Kukosa pesa sio tatizo!!!!!
Mimi ni mtu ninayependa finer things in life. Napenda vitu vizuri na sisubirii mtu anipe. Kwenye kujipa raha sinaga subira wala uoga, najigharamia. Halafu kingine ni kuwa I am generous, sio mchoyo kabisa. Kuwa na mimi na utaexperience kila ninachoexperience. Ukiwa mtu wangu automatically ntakuinclude nikienda shopping, movies, nikipanga safari ya bata nakujumuisha na kila kitu.
Sasa unakuta uko kwenye mahusiano na mtu, akishajua jinsi unaendesha maisha yako anataka kujitutumua kukuimpress. Anataka kukupa huduma zile zile unazojipa mwenyewe au hata zaidi kwa pesa ambazo hana ili tu umuone bora zaidi. Inatia huruma!
Unakuta unamuinvite mtu out anataka kulipa wakati unajua kabisa hawezi kuafford, kwanini mnajitesa wanaume. Mtu ukishapendwa usiwe na hofu, ujue umekubalika ulivyo. Matokeo yake inabidi nishushe hadhi ya starehe zangu ili mpenzi aweze kuafford, ni kuikatili nafsi huko!!!!
Na mwanaume wa hivi atake kulipia kitu halafu umwambie hapana Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....mnuno wake hauishi leo. Atakuaccuse vitu kibao. Baada ya siku kadhaa unamkuta anakula karanga na kijoti, kisa kulipa Ankara zisizo zake.
Ndio maana wadada wanaishia kwa wenye nazo ili kuondokana na hali ya kuona huruma kila siku.
Mjirekebishe!!!!!!!!
Naomba kuwa rafiki yako Zurie ili niexperience hayo usemayo kama ni kweliWanaume wengi, hasa wa JF wanalalamika sana kuwa wanawake tunataka wanaume 'wenye pesa' au waliofanikiwa tu. Pia kuonesha hii (kukubalika bila kuwa na pesa au kuhonga) ndio concern kwa wanaume wengi ni pale nyimbo nyingi za Kitanzania message ni hiyo hiyo, mfano: "Japo sina kitu,......", "Ukawaacha wenye pesa......" Tukilala njaa......"
Nikirudi kwenye mada, Kukosa pesa sio tatizo!!!!!
Mimi ni mtu ninayependa finer things in life. Napenda vitu vizuri na sisubirii mtu anipe. Kwenye kujipa raha sinaga subira wala uoga, najigharamia. Halafu kingine ni kuwa I am generous, sio mchoyo kabisa. Kuwa na mimi na utaexperience kila ninachoexperience. Ukiwa mtu wangu automatically ntakuinclude nikienda shopping, movies, nikipanga safari ya bata nakujumuisha na kila kitu.
Sasa unakuta uko kwenye mahusiano na mtu, akishajua jinsi unaendesha maisha yako anataka kujitutumua kukuimpress. Anataka kukupa huduma zile zile unazojipa mwenyewe au hata zaidi kwa pesa ambazo hana ili tu umuone bora zaidi. Inatia huruma!
Unakuta unamuinvite mtu out anataka kulipa wakati unajua kabisa hawezi kuafford, kwanini mnajitesa wanaume. Mtu ukishapendwa usiwe na hofu, ujue umekubalika ulivyo. Matokeo yake inabidi nishushe hadhi ya starehe zangu ili mpenzi aweze kuafford, ni kuikatili nafsi huko!!!!
Na mwanaume wa hivi atake kulipia kitu halafu umwambie hapana Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....mnuno wake hauishi leo. Atakuaccuse vitu kibao. Baada ya siku kadhaa unamkuta anakula karanga na kijoti, kisa kulipa Ankara zisizo zake.
Ndio maana wadada wanaishia kwa wenye nazo ili kuondokana na hali ya kuona huruma kila siku.
Mjirekebishe!!!!!!!!
DuuhKama nimemwelewa mtoa mada vile!
Kwenye chemistry kuna theory moja ya heat inasema unapochanganya kitu cha moto na cha baridi pamoja, kile cha moto kitapoteza joto lake kwa kiwango sawa na kile cha baridi kitakavyogain joto
When two or more objects at different temperatures are brought together in an isolated environment, they eventually reach the same temperature by the process of heat exchange. That is, warmer materials transfer heat to colder materials until their temperatures are the same.
Ndo maana unakuta watu wanasema chemistry haijakubali, ina maana mwenye joto kagoma kugawa joto lake, au mwenye baridi kagoma kupokea joto.
Duuh
Mimi nilidhan wanapo sema chemistry haijakubali
Wana maanisha BOND
Elecrovalent bond
Maana nayo yaleta maana,okay poapoa nmekusoma mkuu
Upendo ndo wa muhimu, pesa zinatafutwa tu na sio adimu kama upendo. Umuache mtu anakupenda kisa pochi?
Mkuuu umedanganyaHio inaweza kuwa kweli ila impact yake ni kwa asilimia chache mno humu nchini. Kwa asilimia ya population yaweza kuwa 0.005% ya wanawake waliopo nchini ndio wanaguswa na hilo.
Waliobaki pesa mbele kama tai.
Watu kwa fursa[emoji23] [emoji23] [emoji23] umewekwa kwenye listThat is a key point umeongea Zurie.
Ukweli matatizo yapo pande zote, wapo wanaume ambao wanafikiri mapenzi ni pesa tu na kwa vile wanazo basi wanategemea kila mwanamke lazima aseme YEs saa yoyote, na wengine ni wapumbav kiasi kwamba yupo razi kukopa au kujitutumua na kima chake cha chini ili mradi tu aonyeshe yy ni matawi juu.
Then wapo wanawake ambao wao penzi means money only, no money no love. Hawa vicheche hata kama ana kazi namshahara yy anategemea kila sekunde mwanaume anunue na kulipa kila kitu, na wengine hata akipat nafasi anaweza pekuawallet na akakuibia !! Hata ukiamua kumnunulia kitu au agiza yupo razi akupe bei ya juu ya uongo ili mradi tu akuvune..! Hawa huwa hawajali status yako, au umri, au chochote ili mradi tu wallet ipo full. Hawana shukran hawa ukimpa zawadi anaweza uza, na at times anaweza kujifanya anakunywa Absolute au JD lkn hesabu zake ni kubeba lichupa zima ili akauze ..
Then kuna wachache km wewe Zurie, naamini mpo wachache sana na ambao pia unluckily wengi mnaishia kukutana na njemba za ajabu ajabu, either vicheche km hao hapo juu, au wale wanaoona wewe kutoa offer au lipia ni kuwanyanyasa !!
Unamsikia mtu bila aibu badala ya kusifia penzi lake yy anasema ngoja nikamchune demu wangu... Sasa hayo ni mapenzi gani...!!
Karne ya 21 hii, tubadilike. People can be just friends na km imepangwa mtajikuta wenyewe mnasogea step by step. Kununua au nunuliwa ni sawa tu as long as all mpo okay na hakuna masharti attached. Ni sawa na kufu nguo za mpenzi wako, pika msosi (yes whats wrong wewe mwanaume kumpikia mwenzio even gf.... na surprises mbalimbali hata kama ni just sticker notes ??