TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
Hujajua tu100% nimeshanasa, kamtego kamenining'iniza ila mtegaji bado hajaona.😛😛Kama hatari wewe mbona hujanasa?😀😀😀😀😀
Hujajua tu100% nimeshanasa, kamtego kamenining'iniza ila mtegaji bado hajaona.😛😛Kama hatari wewe mbona hujanasa?😀😀😀😀😀
Hiyo huwa ni uwekezaji, na ndiyo maana hata kabla ya kufanya hivyo wanaangalia wapi wagharamie ambapo baadaye kuna return nzuri, siyo unawekeza kilimo cha mpunga kwenye milima ya mawe Dodoma...kwa uzoefu wangu wanawake wengi mwanzoni huonesha wanajali,hawapendi pesa n.k,ukishakaa nae mdamrefu utasikia mwanaume mwenyewe bahili anakukandia kwa watu.,..wasikie ivo ivo...
Kumbe!!Hakuna watu wasio na pesa
Nimekuelewa sana Zurie, lakini nisisikie neno Mwanaume surualiWanaume wengi, hasa wa JF wanalalamika sana kuwa wanawake tunataka wanaume 'wenye pesa' au waliofanikiwa tu. Pia kuonesha hii (kukubalika bila kuwa na pesa au kuhonga) ndio concern kwa wanaume wengi ni pale nyimbo nyingi za Kitanzania message ni hiyo hiyo, mfano: "Japo sina kitu,......", "Ukawaacha wenye pesa......" Tukilala njaa......"
Nikirudi kwenye mada, Kukosa pesa sio tatizo!!!!!
Mimi ni mtu ninayependa finer things in life. Napenda vitu vizuri na sisubirii mtu anipe. Kwenye kujipa raha sinaga subira wala uoga, najigharamia. Halafu kingine ni kuwa I am generous, sio mchoyo kabisa. Kuwa na mimi na utaexperience kila ninachoexperience. Ukiwa mtu wangu automatically ntakuinclude nikienda shopping, movies, nikipanga safari ya bata nakujumuisha na kila kitu.
Sasa unakuta uko kwenye mahusiano na mtu, akishajua jinsi unaendesha maisha yako anataka kujitutumua kukuimpress. Anataka kukupa huduma zile zile unazojipa mwenyewe au hata zaidi kwa pesa ambazo hana ili tu umuone bora zaidi. Inatia huruma!
Unakuta unamuinvite mtu out anataka kulipa wakati unajua kabisa hawezi kuafford, kwanini mnajitesa wanaume. Mtu ukishapendwa usiwe na hofu, ujue umekubalika ulivyo. Matokeo yake inabidi nishushe hadhi ya starehe zangu ili mpenzi aweze kuafford, ni kuikatili nafsi huko!!!!
Na mwanaume wa hivi atake kulipia kitu halafu umwambie hapana Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....mnuno wake hauishi leo. Atakuaccuse vitu kibao. Baada ya siku kadhaa unamkuta anakula karanga na kijoti, kisa kulipa Ankara zisizo zake.
Ndio maana wadada wanaishia kwa wenye nazo ili kuondokana na hali ya kuona huruma kila siku.
Mjirekebishe!!!!!!!!
Siyo hivyo Zurie, kwani wewe hutaniwi mrembo?Wanaume siku hizi mko sneaky sana kiasi kwamba kila anachofanya mwanamke unadhani kina dhamira iliyojificha.
Hiyo avatar iskutshe mamito njoo ule mbuzi Wa kutaga na Ng'ombe Wa mayaiAvatar yako tu inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mgonjwa wa akili, naoka unataka kunishushia bill ya maana kisha ujitie kuvua Nguo kwenye hadhira zigo linidondokee
Wanawake kama wewe wanapatikana kwenye hadithi tu.
Kiuhalisia mwanaume akizidiwa pesa na mwanamke basi ugeuzwa kuwa houseboy.
21st century bado kuna watu wana mentality kama hizi za Australopithecus ???Kulipiwa gharama za starehe na mwanamke nacho ni kipaji binafsi, wanaume kamili hatuwezi, nani atakuwa amemuoa mwenzake sasa?
JF ina comments nzuri jamani![emoji1]Kumbe wasio na pesa bado tuna pa kukimbilia! Nimekupenda bure.
Hell no, sio wote for sure. Inategemea definition yako ya mvuto ni tofauti na ya wengine lkn ww kama ni materialist wenzio sio kabisa. Hata wanaume tusio na pesa sio kwamba ni wabaya na to be on the same page its all about love, caring, respect na creativity bila unafik !!Mara nyingi wanawake wenye kujitegemea na wenye kuwa okay na wanaume wasio na pesa uwa ni wabovu na wasio na mvuto.
Katika hali ya kawaida demu kisu hawezi kuwa fine na lijamaa lenye hela za kuunga unga. Demu ana malengo ya kusukuma Nissan Murano, wewe ambae wese kwenyw vits linakupa shida, mtaanzaje kuwa kwenye same page!?
Ila mademu wabovu na wenye pesa hawana makuu, na ndio hao uwa wana define mapenzi kwa kutoweka criteria ya uwezo wa kipesa wa mwanaume.
Endelea kuhudumiwa, soon utaanza kudeki,ushambaboy unakuhusuDah 2
21st century bado kuna watu wana mentality kama hizi za Australopithecus ???