Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Ngoja nifanye utafiti wa questionnaire nitakupa marejesho
 
Kuna jamaa mmoja alipigiwa simu na demu.ambae alikosea namba.jamaa katika maongezi akazimia sauti.siku mbili tatu akampigia tena yule akamtongoza demu akakubali.wakapanga wakutane.demu alikuwa anakaa mbagala jamaa anakaa tazara.wakakubaliana wakutane tazara ili waende sehemu wakakae.demu aliwahi kufika jamaa alipofika wakasalimiana fresh.jamaa akamuuliza demu twende WAP?akajibiwa twende mango garden.jamaa akamwambia demu twende tukapande gari.demu akamwambia usijali nina usafiri wangu twende pale nilipopack.wakaenda wakapanda safari ikaanza.walipofika magomeni mataa demu akaingiza gari sheli.akaweka mafuta ya 15,000.akamwambia jamaa alipe.jamaa akalipa.wakaendelea walipofika kinondoni kona ya kwenda mwananyamala demu akaingia saloon.ghafla akamtuma mfanyakazi wa saluni akamwambia jamaa ampe 15,000.akampa.jamaa akaanza kuogopa mfukoni alikuwa na 40,000,na tayari ameshatoa 30,000.akaona huko mbele atakwenda kuumbuka.akafungua mlango wa gari akatoka nduki.
 
Wanaume wenye uwezo wa kujitutumua miaka hii wamekua wachache, wengi wao wana Tabia ya kukuuliza "Mamii una jero hapo nichanganye na hii tulipe...!!"
Mwongo wewe

Njoo utoke na mm ujionee maajabu
 
Labda kama uelewa wangu mdogo, ila nimeona we mdada sio tu una pesa za kumgharamia boy wako lakini pia unajua maana halisi ya mapenzi..
Mi sio sina pesa ila sina za kutosha mpaka mabata bata na outings ..
Karibu Zurie!!
 
Mwanamke akikuhonga pesa au kukusaidia, atajisifia kwa rafiki mpk habari zitakufikia na haitoshi mkiachana atakusema na kupata aibu kwa kila alichokusaidia hata kama ni mara chache mno.
-nilikuwa najinyima kisa yeye
-vocha namtumia mimi anaongea na wanawake zake
-mimi mbona nipo fair hata bf wa zamani tukitoka out mimi ndo nalipia maranyingi
-mimi sipo hivyo bf akiwa hana namtumia najua kuna kusaidiana.
-kama ingekuwa sio yeye ningekuwa mbali sasa hivi, nimepoteza pesa nyingi sana kwa ajili yake.
**wakati mwingine kutumia hela ya mwanamke ni kutumia hela ya mwanaume mwenzio.
..Asantee..rejea ule uzi mdada analalamika kisa alimuwekea mwanaume mafuta kwenye gari..
 
ndio maana tukaitwa wanaume hata majukumu yetu nadhani mnayajua,tukiwa wawazi sana mnatutukana tukiwa patient mnatutukana wanawake mnamengi nani kazi kuwaelewa so wanaume kwakuwa tupoa kwa anjilini yenu let it be kila kukuchapo mnabadili mahitaji yenu anyway..!thanks for you comment maa tunamsubiri mwingine aje na agenda yake maana sasa yakutofikishwa kileleni imeishiwa makali
 
Mwongo wewe

Njoo utoke na mm ujionee maajabu
Avatar yako tu inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mgonjwa wa akili, naoka unataka kunishushia bill ya maana kisha ujitie kuvua Nguo kwenye hadhira zigo linidondokee
 
Yaani utoke out na msichana wa Kitanzania halafu uko empty pocket? Ahaha sitawahi. Tatizo la hawa wadada akikupa kitu basi amewekeza mpka siku ya mwisho. Nina uhakika girlfriend wangu anajua amenigharamia sh ngapi mpaka sasa ila sisi wanaume hua tukitoa tumetoa hatuhesabu gharama kwa wapenzi wetu.

Kubwa ni kwamba,
Tunaogopa vijembe baada ya kuachana madame, Zurie
...nimeipenda hii..'Ukikuta choo ndotoni usikitumie'..
 
Mimi ni mtu ninayependa finer things in life. Napenda vitu vizuri na sisubirii mtu anipe. Kwenye kujipa raha sinaga subira wala uoga, najigharamia. Halafu kingine ni kuwa I am generous, sio mchoyo kabisa. Kuwa na mimi na utaexperience kila ninachoexperience. Ukiwa mtu wangu automatically ntakuinclude nikienda shopping, movies, nikipanga safari ya bata nakujumuisha na kila kitu.

Mtu ukishapendwa usiwe na hofu, ujue umekubalika ulivyo. Matokeo yake inabidi nishushe hadhi ya starehe zangu ili mpenzi aweze kuafford, ni kuikatili nafsi huko!!!!
Unadhani maneno kama haya hapo☝yanapogonga kichwani mwa mwanaume matokeo yake ni nini?
Lazima atashaeishika kumtafuta huyu mtu😛😛😀😀 huu mtego ni hatari.
...wenye akili tu ndio watategua huu mtego...
 
inategemea umeenda sehemu gani. Kwa sisi wasiokunywa pombe sidhan kama hata 70 inaisha


Na-admire sana wanawake wasiokunywa pombe. Nawatizana kwa jicho tofauti kidogo....especially kama ana uwezo wa kunywa pombe but still anakuwa hanywi.
 
Unadhani maneno kama haya hapo☝yanapogonga kichwani mwa mwanaume matokeo yake ni nini?
Lazima atashaeishika kumtafuta huyu mtu😛😛😀😀 huu mtego ni hatari.
..kwa uzoefu wangu wanawake wengi mwanzoni huonesha wanajali,hawapendi pesa n.k,ukishakaa nae mdamrefu utasikia mwanaume mwenyewe bahili anakukandia kwa watu.,..wasikie ivo ivo...
 
Aisee kumbe wewe "siyo mchoyo", asante kwa taarifa waombaji tunakuja sasa
 
Unadhani maneno kama haya hapo☝yanapogonga kichwani mwa mwanaume matokeo yake ni nini?
Lazima atashaeishika kumtafuta huyu mtu😛😛😀😀 huu mtego ni hatari.
Kama hatari wewe mbona hujanasa?😀😀😀😀😀
 
Upendo ndo wa muhimu, pesa zinatafutwa tu na sio adimu kama upendo. Umuache mtu anakupenda kisa pochi?

Zurie kama haya uliyoandika yana reflect ukweli halisi wa jinsi ulivyo as a woman, basi nakupongeza sana. Nafikiri sasa hivi wako wanawake wachache sana wenye mtazamo chanya kuhusu mapenzi kama wako. Just thinking...!!
 
Back
Top Bottom