Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Yaani utoke out na msichana wa Kitanzania halafu uko empty pocket? Ahaha sitawahi. Tatizo la hawa wadada akikupa kitu basi amewekeza mpka siku ya mwisho. Nina uhakika girlfriend wangu anajua amenigharamia sh ngapi mpaka sasa ila sisi wanaume hua tukitoa tumetoa hatuhesabu gharama kwa wapenzi wetu.

Kubwa ni kwamba,
Tunaogopa vijembe baada ya kuachana madame, Zurie
 
Hahahahahahahaha mtoto kasema yeye sio mchoyo kabisa
Hiyo alibahatika prof. J tuuuuuu nchi nzima, vinginevyo ukutane na mke wa mtu ambaye anatumia pesa yake kulipiza kisasi kwa mume wake au kuutumia mwili wako kujinufaisha
 
ha ha ha... unashng ngapi wewe??????
 
Mahusiano pia yanahitaji makubaliano hats kwenye mambo madogo.

Mnapoanza mahusiano no vizuri mkakubaliana mapema terms za urafiki wenu ili msitofautiane baadaye.
 
Nimependa tu hapo
*baada ya siku kadhaa unamkuta anakula karanga na kijoti*
 
Sasa unaona ushaanza kumsema humuhumu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Kweli mwanamke ni mwanamke tuu hutoa siri kwa mifano[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mimi simo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Post yako haitoi justification ya kwann women wana-prefer zaid rich guys, msimamo wangu unabakia pale pale kuwa most women kwa mwanaume kikubwa wanachotafta na wanachoangalia ni PESA tu Zurie
 
Nmekuelewa saana mdada...watu wanajihangaisha kushindanisha vitu tofauti. Pesa ni pesa mapenzi ni mapenzi.
 
Japo maisha siyo kutesa kila kitu... ila pesa ndiyo kila kitu...
 
Hiyo alibahatika prof. J tuuuuuu nchi nzima, vinginevyo ukutane na mke wa mtu ambaye anatumia pesa yake kulipiza kisasi kwa mume wake au kuutumia mwili wako kujinufaisha
Mkuu uyu Zurie mboga saba unaweza kuungana na prof jay ukaongeza idadi
 
Mara nyingi wanawake wenye kujitegemea na wenye kuwa okay na wanaume wasio na pesa uwa ni wabovu na wasio na mvuto.

Katika hali ya kawaida demu kisu hawezi kuwa fine na lijamaa lenye hela za kuunga unga. Demu ana malengo ya kusukuma Nissan Murano, wewe ambae wese kwenyw vits linakupa shida, mtaanzaje kuwa kwenye same page!?

Ila mademu wabovu na wenye pesa hawana makuu, na ndio hao uwa wana define mapenzi kwa kutoweka criteria ya uwezo wa kipesa wa mwanaume.
 
You should be grateful at least he is trying to foot the bill. That's a real man. Would you rather have a man who sits back and lets you do everything for him?

Women?!
Mimi ndo mpenzi wake na naijua hali yake na najua inamcost vipi kufanya anayofanya...
 
Mara nyingi wanawake wenye kujitegemea na wenye kuwa okay na wanaume wasio na pesa uwa ni wabovu na wasio na mvuto.

Katika hali ya kawaida demu kisu hawezi kuwa fine na lijamaa lenye hela za kuunga unga. Demu ana malengo ya kusukuma Nissan Murano, wewe ambae wese kwenyw vits linakupa shida, mtaanzaje kuwa kwenye same page!?

Ila mademu wabovu na wenye pesa hawana makuu, na ndio hao uwa wana define mapenzi kwa kutoweka criteria ya uwezo wa kipesa wa mwanaume.
Ni kweli mkuu yani mimi mbovu sifai. We mchawi nini, au unanijua??
 
Back
Top Bottom