mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanidanganya ehNyingi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanidanganya ehNyingi tu
Simpendi mwanamke anayeongelea mahusiano yake yaliyopita,huyo bado ana element za mapenzi huko alikoyoka au alibwagwa roho yake haijakubali,kwa hiyo muamuzi wa mahusiano yenu ni yeye na hivyo mwanamke huyo HANA DHAMANA,kwako amejiegesha kwa kukosa pa kuangukia tu.Mwanamke akikuhonga pesa au kukusaidia, atajisifia kwa rafiki mpk habari zitakufikia na haitoshi mkiachana atakusema na kupata aibu kwa kila alichokusaidia hata kama ni mara chache mno.
-nilikuwa najinyima kisa yeye
-vocha namtumia mimi anaongea na wanawake zake
-mimi mbona nipo fair hata bf wa zamani tukitoka out mimi ndo nalipia maranyingi
-mimi sipo hivyo bf akiwa hana namtumia najua kuna kusaidiana.
-kama ingekuwa sio yeye ningekuwa mbali sasa hivi, nimepoteza pesa nyingi sana kwa ajili yake.
**wakati mwingine kutumia hela ya mwanamke ni kutumia hela ya mwanaume mwenzio.
Unataka sh ngap kwan?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanidanganya eh
Lakini wanaume kwanini mnawaacha wenzenu ghafla...atleast muwe mnasubiri penzi life natural death. Matokeo yake mtoto wa watu anabaki kukuongelea tu kwani ana kovuSimpendi mwanamke anayeongelea mahusiano yake yaliyopita,huyo bado ana element za mapenzi huko alikoyoka au alibwagwa roho yake haijakubali,kwa hiyo muamuzi wa mahusiano yenu ni yeye na hivyo mwanamke huyo HANA DHAMANA,kwako amejiegesha kwa kukosa pa kuangukia tu.
Utakazonipa napokea kuomba sjazoeaUnataka sh ngap kwan?!
Amri ya kwanza....... Huko ni kuto jiamini pia,Personally nikiwa sina hela siwezi kuwa involved na kiumbe anaitwa mwanamke. Hii ni amri yangu ya 12.
Njoo uchukueUtakazonipa napokea kuomba sjazoea
Mbona unalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweeeh
Hii inaitwa chozi la damu
Umenena vema mkuu [emoji122] [emoji122]That is a key point umeongea Zurie.
Ukweli matatizo yapo pande zote, wapo wanaume ambao wanafikiri mapenzi ni pesa tu na kwa vile wanazo basi wanategemea kila mwanamke lazima aseme YEs saa yoyote, na wengine ni wapumbav kiasi kwamba yupo razi kukopa au kujitutumua na kima chake cha chini ili mradi tu aonyeshe yy ni matawi juu.
Then wapo wanawake ambao wao penzi means money only, no money no love. Hawa vicheche hata kama ana kazi namshahara yy anategemea kila sekunde mwanaume anunue na kulipa kila kitu, na wengine hata akipat nafasi anaweza pekuawallet na akakuibia !! Hata ukiamua kumnunulia kitu au agiza yupo razi akupe bei ya juu ya uongo ili mradi tu akuvune..! Hawa huwa hawajali status yako, au umri, au chochote ili mradi tu wallet ipo full. Hawana shukran hawa ukimpa zawadi anaweza uza, na at times anaweza kujifanya anakunywa Absolute au JD lkn hesabu zake ni kubeba lichupa zima ili akauze ..
Then kuna wachache km wewe Zurie, naamini mpo wachache sana na ambao pia unluckily wengi mnaishia kukutana na njemba za ajabu ajabu, either vicheche km hao hapo juu, au wale wanaoona wewe kutoa offer au lipia ni kuwanyanyasa !!
Unamsikia mtu bila aibu badala ya kusifia penzi lake yy anasema ngoja nikamchune demu wangu... Sasa hayo ni mapenzi gani...!!
Karne ya 21 hii, tubadilike. People can be just friends na km imepangwa mtajikuta wenyewe mnasogea step by step. Kununua au nunuliwa ni sawa tu as long as all mpo okay na hakuna masharti attached. Ni sawa na kufu nguo za mpenzi wako, pika msosi (yes whats wrong wewe mwanaume kumpikia mwenzio even gf.... na surprises mbalimbali hata kama ni just sticker notes ??
Wakati mwingi sana kuachana wanawake huwa ndiyo chanzo,akipata namba ya simu ya mtu anaemdanganya kwa kumuwekea CHAMBO kikumbwa kwenye ndoana na kabla hajajiridhisha,huwa anaanza dharau upande A,na kwakuwa sisi huwa tunakihisi hilo basi huamua kujiepusha tu.Lakini wanaume kwanini mnawaacha wenzenu ghafla...atleast muwe mnasubiri penzi life natural death. Matokeo yake mtoto wa watu anabaki kukuongelea tu kwani ana kovu
Mara nyingi wanawake wenye kujitegemea na wenye kuwa okay na wanaume wasio na pesa uwa ni wabovu na wasio na mvuto.
Katika hali ya kawaida demu kisu hawezi kuwa fine na lijamaa lenye hela za kuunga unga. Demu ana malengo ya kusukuma Nissan Murano, wewe ambae wese kwenyw vits linakupa shida, mtaanzaje kuwa kwenye same page!?
Ila mademu wabovu na wenye pesa hawana makuu, na ndio hao uwa wana define mapenzi kwa kutoweka criteria ya uwezo wa kipesa wa mwanaume.
kwa mujibu wa mtoa mada kuna wanaume hawana pesaHakuna mwanaume asiye na pesa