Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Stashed-Presents-Behind-The-Meme-Crying-MJ-1050x654.jpg
Nimejikuta na mie nalia, inaumaaaa eti mwanaume kulia
 
Tatizo hapa ni kuwa mkifika kule out mnajikausha sana, kama unataka kulipia unaweza mwambia bby wako kama utani kuwa bby "Leo natoka na wewe but gharama zoote ni juu yangu, nitafurahi sana kama utafurahia mtoko huu"
Sio humtaarifu alafu jamaa anakaa hapo huku akiwaza expenses atakayo incur kwani wanaume tumeumbwa na aibu hasa tunapopatiwa mtonyo namwanamke ingawa sio wote but most of us
Au kama kweli wewe nenda nae alipe ila siku ya Pili mpatie pesa kama surprise itakayomsaidia kwa muda wa wiki hivi, atajiongeza kuwa ulilenga kumpunguzia gharama za mahusiano na sio mdada anasema eti siwezi mpatia pesa mwanaume... Haipendezi
 
Mapenzi ya kuoneana huruma yanatia kichefuchefu sana kwa kweli!
 
Mwanamke akikuhonga pesa au kukusaidia, atajisifia kwa rafiki mpk habari zitakufikia na haitoshi mkiachana atakusema na kupata aibu kwa kila alichokusaidia hata kama ni mara chache mno.
-nilikuwa najinyima kisa yeye
-vocha namtumia mimi anaongea na wanawake zake
-mimi mbona nipo fair hata bf wa zamani tukitoka out mimi ndo nalipia maranyingi
-mimi sipo hivyo bf akiwa hana namtumia najua kuna kusaidiana.
-kama ingekuwa sio yeye ningekuwa mbali sasa hivi, nimepoteza pesa nyingi sana kwa ajili yake.
**wakati mwingine kutumia hela ya mwanamke ni kutumia hela ya mwanaume mwenzio.
Sasa unaona ushaanza kumsema humuhumu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]



Kweli mwanamke ni mwanamke tuu hutoa siri kwa mifano[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Tusio na pesa tujae kwa wingi kwenye uzi huu kuna fursa ya mdau masharti yake ni nafuu yaan "USIJIKWEZE" mkiwa kwenye bata
Mijitu inajicho kama la Luge mtahaba kuziona na kuzichangamkia fursa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya wa mwisho ndo mshindi hapa
 
You should be grateful at least he is trying to foot the bill. That's a real man. Would you rather have a man who sits back and lets you do everything for him?

Women?!
 
Wanaume wengi, hasa wa JF wanalalamika sana kuwa wanawake tunataka wanaume 'wenye pesa' au waliofanikiwa tu. Pia kuonesha hii (kukubalika bila kuwa na pesa au kuhonga) ndio concern kwa wanaume wengi ni pale nyimbo nyingi za Kitanzania message ni hiyo hiyo, mfano: "Japo sina kitu,......", "Ukawaacha wenye pesa......" Tukilala njaa......"

Nikirudi kwenye mada, Kukosa pesa sio tatizo!!!!!

Mimi ni mtu ninayependa finer things in life. Napenda vitu vizuri na sisubirii mtu anipe. Kwenye kujipa raha sinaga subira wala uoga, najigharamia. Halafu kingine ni kuwa I am generous, sio mchoyo kabisa. Kuwa na mimi na utaexperience kila ninachoexperience. Ukiwa mtu wangu automatically ntakuinclude nikienda shopping, movies, nikipanga safari ya bata nakujumuisha na kila kitu.

Sasa unakuta uko kwenye mahusiano na mtu, akishajua jinsi unaendesha maisha yako anataka kujitutumua kukuimpress. Anataka kukupa huduma zile zile unazojipa mwenyewe au hata zaidi kwa pesa ambazo hana ili tu umuone bora zaidi. Inatia huruma!

Unakuta unamuinvite mtu out anataka kulipa wakati unajua kabisa hawezi kuafford, kwanini mnajitesa wanaume. Mtu ukishapendwa usiwe na hofu, ujue umekubalika ulivyo. Matokeo yake inabidi nishushe hadhi ya starehe zangu ili mpenzi aweze kuafford, ni kuikatili nafsi huko!!!!

Na mwanaume wa hivi atake kulipia kitu halafu umwambie hapana Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....mnuno wake hauishi leo. Atakuaccuse vitu kibao. Baada ya siku kadhaa unamkuta anakula karanga na kijoti, kisa kulipa Ankara zisizo zake.

Ndio maana wadada wanaishia kwa wenye nazo ili kuondokana na hali ya kuona huruma kila siku.
Mjirekebishe!!!!!!!!
Wakati mwingine usiwe unasema ukweli maana unauma
 
Back
Top Bottom