Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.
Mbinu ifuatayo inaweza kukusaidia.
Mara tuu unapostuka kutoka katika ndoto kama hiyo, haraka sana geuza shuka uliyoitandika kitandani kwako na ile uliyojifunika pia kisha endelea na usingiz wako.
Yani, shuka uliyoitandika itoe ule upande ulio juu uwe chini and vice versa, na ile shuka uliyojifunika vivyo hivyo.
Unajua nini kitatokea?
Na yeye yule uliyemuota muda huo huo kama yupo usingizini ataota exactly the same ndoto kama uliyoota wewe, yani ataota unamgegeda.
Kesho yake ukisha amka mtafute na usipitishe siku mwombe gemu, hakatai. hata awe nani hachomoki.
NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Kumbuka inafanya kazi kama na yeye mhusika kwa muda huo atakuwa amelala hivyo inashauriwa ifanyike wakati wa usiku.
me namwota donlucchese ngoja nikugeuzie shuka uje mwenyewe. loh kumbe mbuni ipo....
FUTUHI ya Staatv na yule jamaa Karumanzila.
Hahahaaaa, uwe unafuatilia futuhi.
Imefanyiwa utafiti na wajasiria ngono walio bobea kwelikweli.Imefanyiwa utafiti na watu gani hao?
Mkuu... Je hii inaapply kwa wanawake pia??? kama ni ndio basi kuna member humu huwa naiota avatar yake. Nitadu ze nid ful afu nije nimpm!!!!!!!
sikujua mapema. jana nilimuota farkhina, ningejua ningeapply formula fasta sana. eeh..Mungu nisaidie nimuote tena utamu uleule. mia
^^
Ha ha ngoja nijaribu Kuna mwanamke mmoja humu jamvini namuota kila siku,tatizo matawi ya benki..
Ntakuletea majibu
^^
poa mkuu na kama utakuwa umelala na mkeo atakuruhusu ubadilishe hayo mashuka???,,
Na mwanamke akiwa ndio anaota, kisha aka-upside down shuka lake wewe mwanaume utaota unafanya/unafanywa nini?
Mmmmh...!! Hadi avatar..?? Utashangaa unakuta ni jike,,,
Mi nakumbuka tuliambiwa ukimuota demu, geuka kichwa kiende kule miguu ilipokuwa na miguu iwe sehemu ya kichwa, kifuatacho ni kama jamaa alivyoeleza. Sijawahi kuiapply hii though.
Sema hii formula inakinzana na nyingine inayosema kama demu unampenda halafu ukaota unamgonga ujue huyo demu ndo basi hutakaa umpate, kwa hiyo mi najitahidi kweli nisimuote demu nayemkubali; hii ninaikubali asilimia kama 79%.
mi napenda mwenye akili ya kujaza wallet sio wallet peke yake km za mkopo je.! zikiisha tunatumbuliana mijicho ..lol.!
hahahahahaaaaa....!!!.miaNext time hutoota utachipua hasa lol...hahahahaha