Ha haa haaa! Wamekusikia mkuu!Mshapewa onyo... Msinitaje ohoooo!
Mdogo mdogo.... Hao niachie mimiUna hamu na ngumi?
Em waoneshe mkuu, adabu ifate mkondoHalafu watu hawataki kuzingatia
Ha haa haaa safi sana, uzuri bina kapitia JKTMdogo mdogo.... Hao niachie mimi
We kwanini utongozwe afu ukatae unaakili wewe? Yaani kidume kizima nimejitutumua kukutongoza unajua enegy kiasi gani nmetumia kukutongoza afu we ukatae kishambashambaKuna mambo mengine yanakera sana akiii! Sawa najua wanawake kutongozwa jadi yetuuu ila sasa hawa upande wa pili wanaume mnaboaaaa kama nini?
Haya sawa umeniita unitongoze najua hujui kama nina mme oky nimekusikiliza umebwabwaja porojo zakoo mpaka mwisho nimekupa jibu asante mimi nina mtu.
Kinachokera hauamini tenaa unaanza kusema sikutaki kijanja maaajabu mnaboa sana.
Kwanini saivi tukiwajibu SHORT AND CLEAR hamuamini mnapenda kuzungushwa weeeee kama nini?
Huwa napata motoo mimi hasaa pale unapoanza kumponda mpenzi wangu kama unamjua vileee mfyuuu. Ndio mitongozo ya wapi hiyo mnaboa kweli siyo siri.
Sawa umenitongoza nimekukataaa kwanini uanze kunitukana,kunisema vibaya. Kutunga maneno ya uongo uongo juu yangu? Wanaume badilikeni bhn mnaboa na mitongozo yenu.
Nije kwa hawa wanaume walioooa hawa ndo wananiboa mfano hakuna akikutongoza anakujaza masifa kedekede kama nini?
Ushawishi wenu huuu mbaya sana mnadhambi sana nyieee wanaume za watu.
Yani wanavishawishi sana hawa waume za watu mnakeraaa maneno yenu ya kujisifia na kutoa mapromise hamuoni kama mnatuweka wakati mgumu mnaboaaa bhn msiwe mnatongoza hivyo mfyuuu!
Ngoja nifanye utaratibu nianze kuvaa t-shirt zilizoandikwa "SITAKI KUTONGOZWA".
ONYO: Marufuku kumtag mganga wangu kwenye comment zenu zisizokuwa na miguu wala kichwaa wewe nijibu mm kama mimi labda niseme hivi kama ameniroga kwa uchawi wa Grade C nitamuomba aongeze limbwata hata la Grade A.
Sasa mimi nakutongoza hapahapaNa kuna wengine ukimkataa basi ishakuwa kosa utaambulia matusi na kejeli juuu
Inaboa mnooo
We kwanini utongozwe afu ukatae unaakili wewe? Yaani kidume kizima nimejitutumua kukutongoza unajua enegy kiasi gani nmetumia kukutongoza afu we ukatae kishambashamba
Hahahaha haya nitongoze mwayaSasa mimi nakutongoza hapahapa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144]Kunammoja alinitongoza nikamwambia Nina Mume akanambia we jifikirie kwanza Mie Niko tayari muachemmeo uje kwangu
Usinikate nikianza kushusha nondo hapa sema nikikutongoza hapa watu madomo zege wataiba ujuzi wangu nibora nije pmHahahaha haya nitongoze mwaya
Zingatia vigezo na masharti ala!CC mshana jr
Ngoja nioneshe advertise moja[emoji35] [emoji84] [emoji83]Em waoneshe mkuu, adabu ifate mkondo
Kizur kula na nduguyo bwanaUsinikate nikianza kushusha nondo hapa sema nikikutongoza hapa watu madomo zege wataiba ujuzi wangu nibora nije pm
marahaba mpenzi binamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shikamooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]warogeeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] CHAMDEKO wangu eehh msg sent and delivered.... Na ole wake mtu anitaje namshusha mshipa... Watu wengine hawasikii onyo mpaka waonywe mara 3
Ndio maana mimi huwa naomba papuchi short and clear .ooh MI nakupenda Sana, Hakuna, "dada naomba nipate harufu ya samaki kutoka kwako". Dada usiku huu tutumie pamoja,tukiwa na birthday suits?Kuna mambo mengine yanakera sana akiii! Sawa najua wanawake kutongozwa jadi yetuuu ila sasa hawa upande wa pili wanaume mnaboaaaa kama nini?