Dunia ina watu Billion 9,wanawake wapo billion 5,wanaume wapo billion 4
Ina maana Billion moja ya wanawake hawana mtu wa kudate halafu mwanamke anajiona kuwa yeye ndo yeye,na hafikirii kuwa kila baada ya sekunde moja mwanamke anazaliwa duniani,na baada ya saa 6 ndo mwanaume anazaliwa
Na kitu wasichokijua wanawake kuwa mwanaume huwa tunafanya majaribio ya kutongoza,huwa hatupendi ndo maana tunaweza kutamka neno nakupenda kwa sekunde 10 kwa wanawake tofauti tofauti kwa muda mmoja
Wanaume hatukomolewi,bali tunakomoa