Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

Na wewe mwanamke kwanini ukatae? Hujui kuwa mwanamke huwa ana msimu maalum wa kutakiwa kumegwa muda wote?.......
Kwa upande wa wanyama hasa mbwa kuna msimu wao ambao huwavutia madume mbali mbali na kufanya msururu wa madume kibao....wanawake acheni chenga toeni vikojileo viwajibishwe kama inavyotakiwa sio wewe kwakuwa unajua kuongea uanze kukisemea jamani toeni vitumike
 
Demiss mimi nimejifunza kutokana na makosa ya hao walionitangulia kukusomesha wakakuboa. Mimi sitakuboa niruhusu nijaribu.
Hahahahah sitaki nimechoka kutongozwaaa
 
Kuna mambo mengine yanakera sana akiii! Sawa najua wanawake kutongozwa jadi yetuuu ila sasa hawa upande wa pili wanaume mnaboaaaa kama nini?

Haya sawa umeniita unitongoze najua hujui kama nina mme oky nimekusikiliza umebwabwaja porojo zakoo mpaka mwisho nimekupa jibu asante mimi nina mtu.

Kinachokera hauamini tenaa unaanza kusema sikutaki kijanja maaajabu mnaboa sana.

Kwanini saivi tukiwajibu SHORT AND CLEAR hamuamini mnapenda kuzungushwa weeeee kama nini?

Huwa napata motoo mimi hasaa pale unapoanza kumponda mpenzi wangu kama unamjua vileee mfyuuu. Ndio mitongozo ya wapi hiyo mnaboa kweli siyo siri.

Sawa umenitongoza nimekukataaa kwanini uanze kunitukana,kunisema vibaya. Kutunga maneno ya uongo uongo juu yangu? Wanaume badilikeni bhn mnaboa na mitongozo yenu.

Nije kwa hawa wanaume walioooa hawa ndo wananiboa mfano hakuna akikutongoza anakujaza masifa kedekede kama nini?

Ushawishi wenu huuu mbaya sana mnadhambi sana nyieee wanaume za watu.
Yani wanavishawishi sana hawa waume za watu mnakeraaa maneno yenu ya kujisifia na kutoa mapromise hamuoni kama mnatuweka wakati mgumu mnaboaaa bhn msiwe mnatongoza hivyo mfyuuu!

Ngoja nifanye utaratibu nianze kuvaa t-shirt zilizoandikwa "SITAKI KUTONGOZWA".

ONYO: Marufuku kumtag mganga wangu kwenye comment zenu zisizokuwa na miguu wala kichwaa wewe nijibu mm kama mimi labda niseme hivi kama ameniroga kwa uchawi wa Grade C nitamuomba aongeze limbwata hata la Grade A.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] CHAMDEKO wangu eehh msg sent and delivered.... Na ole wake mtu anitaje namshusha mshipa... Watu wengine hawasikii onyo mpaka waonywe mara 3
 
Back
Top Bottom