[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mxeeeeeeew
Ndio maana mimi nasubiri poshoHahahahah una hamu na mchambooo eeeh waiona lakini mood niliyonayo Leo?
Mbn hata kwenye uzi nimeandika muache mavishawishi mnaboa
Samatta Mbwana???au....Miguuu matege ya SAMMATA square
Basi shem na[emoji850]Una hamu na ngumi?
makosa haya Mkuu nani kakupa uwezo wa to judge?,Semenya ni binadamu kama sisi ,wenye haki ya kuchagua ataishi maisha yake,ni role models kwa wengi tu,anaitangaza nchi yake vema ikiwa na kuvunja rekodi za mbio kila mara,wewe una dislike homosexual people?
[emoji23] [emoji23] bichwa lipi hilo?[emoji1] [emoji1]Uwiiii bichwa langu limekuwa kama kitambi cha leemutuz
Hata mimi niimeshanga kwelikweli....yaani nimtongoze mtu kama Demiss?..ambaye ni wa kumtoa kwa kinywaji/dinner then unachapa mara mojaKumbe na Wewe huwa unatongozwa?