Hata Konda akisimamisha daladala alafu usipande utakoma.Na kuna wengine ukimkataa basi ishakuwa kosa utaambulia matusi na kejeli juuu
Inaboa mnooo
Ewaaaa......Umeonaa binamu
Lazima ulizaliwa ulayaKUBALI WITO KATAA MANENO
Siyo kila wito ni kutongozwa
Hahahaha siku hizi mkuu no "MTONGOZO" ni vitendo na lugha ya picha tuUsipotongozwa mwezi unaenda kuvunja nazi njia panda na kuoga maji ya magadi, fyuuuu
Hukumpa tusi lolote?[emoji3][emoji3]Kunammoja alinitongoza nikamwambia Nina Mume akanambia we jifikirie kwanza Mie Niko tayari muachemmeo uje kwangu
Nini mbaya bina?Naumwa binaaaa
Najua umesahau ulizaliwa wapi, ngoja nimuulize shangazi[emoji23][emoji23][emoji23]bina jaman acha basi
Yaani unaposemaga shitaki ukipandisha na kibega ndo unanipaga kamoyo kumetameta yaani kanangw'enyaHahahahahah haya bhn mm sitaki