Rahabu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 5,527
- 3,345
Hajui alitendalo maana inafikia mahali unaongea Hadi Maneno yanaisha haelewi jamani wanaume tufanyejeHukumpa tusi lolote?[emoji3][emoji3]
Hajui alitendalo maana inafikia mahali unaongea Hadi Maneno yanaisha haelewi jamani wanaume tufanyejeHukumpa tusi lolote?[emoji3][emoji3]
Poleeee! Umeng'oa au umeli-medicate?Jino
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poleHajui alitendalo maana inafikia mahali unaongea Hadi Maneno yanaisha haelewi jamani wanaume tufanyeje
Nenda google kadownload app ya videorder hapooo utapata kila kituwazee mwenye wimbo wa adele hello na james mtoto wa dandu ft madiluu system mamuu mp3 naomb anitumie hapa, usiniambie google wala youtube huko zipo lkn kuzipakua ni inshu nyingne, samahan kwa kutoka nje ya reli
kuna mmoja huyo aliniambia sasa nimekufuata pm ili iwejeNa kuna wengine ukimkataa basi ishakuwa kosa utaambulia matusi na kejeli juuu
Inaboa mnooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaweza ukawa Mwanamke lakini ukawa ni ' Semenya ' Mkuu.
Naomba tuheshimiane Genta nakuheshimu sana ujueeeee tena sitaki ugomvi na wewe kama huna cha kucomment pita kushoto
Nyinyi Ndio wale Mtu Nitalifanikisha Tu kukuingiza gheto anabaka KabisaAiseeee balaaaa huwa nataman kuwapa makondeee