Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

uzuri ni kwamba huwa hamkatai moja kwa moja.......unajifanya leo mgumu nikirudi kivingine unaniachia papuchi...
maisha ndio haya....... hamnaga ujanja hata kidogo mbele ya pesa ndio maana hata ukinichomolea ktk tongozo langu la awali nikikucheki kwenye tigo,m pesa hamrudishagi salio na hapo ndipo uchawi wetu tulipo uficha dhidi ya wanawake wa kisasa hamna jinsi ya kutukwepa......
Mbn hata kwenye uzi nimeandika muache mavishawishi mnaboa
 
Unaweza ukawa Mwanamke lakini ukawa ni ' Semenya ' Mkuu.
makosa haya Mkuu nani kakupa uwezo wa to judge?,Semenya ni binadamu kama sisi ,wenye haki ya kuchagua ataishi maisha yake,ni role models kwa wengi tu,anaitangaza nchi yake vema ikiwa na kuvunja rekodi za mbio kila mara,wewe una dislike homosexual people?
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom