[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Wakomeeee kabisa akikutongoza atakusifia hata kama una komwe ukishamkataaa mama weeeee utaitwa ASHA BOKO
Kuna mambo mengine unaona kabisa huyu demu hanitaki wewe unaendelea tuuu kama zuzu mfyuuuuIshakuwa ni kasumba,mwanamke anahitaji ushawishi ili akubali ombi lako..wanaume ni rahisi kwa kuangalia,mwanamke anahitaji wkt mwingne ashawishiwe.so ukinikatalia leo,nitakuwa na imani bado hujanijaza vzr moyoni..kesho nakuja tena kujaribu..ni km mkulima apandae mbegu.na kuna kasumba ht jwa wanawake,ht km anakutaka lkn kwwnza lzm akukatae ili pengne usimuone mwepesi(ili kujiongeza thamani) sasa kung'ang'aniwa ni sawa tuu..labda utanipa kesho[emoji3]
Yani iko hivi wanaume wanaamini kwamba mwanamke anabembelezwa muda mrefu kama mtu simtaki namkataaa na anaona kabisa hakubaliki kwangu lakini anaendelea na usumbufuuuu.Demiss tatizo unamuacha mtu anabwabwaja unampa matumaini, mpaka ukimwambia una mume anakuona mzushi.
Inatakiwa kabla mtu hajaanza kubwabwaja unamkata kauli ajue you mean business.
Siyo unamuachia mtu kasha invest mashairi kuanzia ya Amiri Akida Andanenga "Sauti ya Kiza" mpaka William Shakespeare, halafu umwambie una mtu?
Atakuona mzushi tu unacheza mchezo wa "playing hard to get".
Sasa hichi tu, ndiyo unaandikia novel jamvini..??? You can't be serious..! Shithole brain..Kuna mambo mengine yanakera sana akiii! Sawa najua wanawake kutongozwa jadi yetuuu ila sasa hawa upande wa pili wanaume mnaboaaaa kama nini?
Haya sawa umeniita unitongoze najua hujui kama nina mme oky nimekusikiliza umebwabwaja porojo zakoo mpaka mwisho nimekupa jibu asante mimi nina mtu.
Kinachokera hauamini tenaa unaanza kusema sikutaki kijanja maaajabu mnaboa sana.
Kwanini saivi tukiwajibu SHORT AND CLEAR hamuamini mnapenda kuzungushwa weeeee kama nini?
Huwa napata motoo mimi hasaa pale unapoanza kumponda mpenzi wangu kama unamjua vileee mfyuuu. Ndio mitongozo ya wapi hiyo mnaboa kweli siyo siri.
Sawa umenitongoza nimekukataaa kwanini uanze kunitukana,kunisema vibaya. Kutunga maneno ya uongo uongo juu yangu? Wanaume badilikeni bhn mnaboa na mitongozo yenu.
Nije kwa hawa wanaume walioooa hawa ndo wananiboa mfano hakuna akikutongoza anakujaza masifa kedekede kama nini?
Ushawishi wenu huuu mbaya sana mnadhambi sana nyieee wanaume za watu.
Yani wanavishawishi sana hawa waume za watu mnakeraaa maneno yenu ya kujisifia na kutoa mapromise hamuoni kama mnatuweka wakati mgumu mnaboaaa bhn msiwe mnatongoza hivyo mfyuuu!
Ngoja nifanye utaratibu nianze kuvaa t-shirt zilizoandikwa "SITAKI KUTONGOZWA".
ONYO: Marufuku kumtag mganga wangu kwenye comment zenu zisizokuwa na miguu wala kichwaa wewe nijibu mm kama mimi labda niseme hivi kama ameniroga kwa uchawi wa Grade C nitamuomba aongeze limbwata hata la Grade A.
Safiii kabisa unajua jibu la kwanza ndio huwa la ukweli ila ukiendelea kumshawishi mwanamke kwa porojoo nzuri lazima umdakeee.Sky walker my nigga. Take five.
Mimi nina sheria moja, 0 au 1, sina neutral ground. Ninapo mu aproach mwanamke yoyote huwa nina kuwa tayari kwa majibu yotote. Mwanamke akinikubali basi naendelea. Akikataa huwa silazimishi nakubaliana na hali halisi hata kama sababu ni za kitoto maana najua effect itakuwa kwake.
Si force.. akinikataa hataniona wala kunisikia tena.. napotea mazima.
Demiss unavujisha siri ...[emoji23][emoji23]Safiii kabisa unajua jibu la kwanza ndio huwa la ukweli ila ukiendelea kumshawishi mwanamke kwa porojoo nzuri lazima umdakeee.
Binadamu hatujakamilika ujue.
Bora usemeee wewe wanaboaaa sanaHivi seriously siku hizi kuna mwanaume anatongoza na kusubiri ajibiwe? Me hua najikuta tu tayari niko kwenye mahusiano maswala sijui ya jibu langu au blah blah sijapitia na wala siwezi kufanya. Wapige kibuti tu hao wanatumia njia za enzi ya mwalimu.
Yeeeee ya kweli kabisa kanike mayoooNilkuwa nimenuna ila nimechekaaa jinga sana weeeeeee